Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Gaza mtoto akizaliwa wa Kiume tayar anakuwa ni member wa Hamas na akifikisha miaka 18 ndio anajiunga rasmi ktk oparesheni zao.Mkuu 50,000 wote hao ? Hamas kama ina wapiganaji wengi sihani kama watakuwa wana vuka 20,000.
Na inasemekana mzazi akijifungua mtoto wa Kiume inakuwa sherehe kubwa kuliko wa kike maana wanajua ni new Hamas in town na anaanza kumezeshwa matango pori na chuki dhidi ya Israel on the spot.
Kama ni mfuatiliaji mzuri shule nyingi za nursery Gaza dressing code yao ni mavazi ya kijeshi, bunduki za plastic(sawa na fagio la shule kwa huku kwetu) kama huna hivyo vitu unarudishwa kwenu