LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkuu 50,000 wote hao ? Hamas kama ina wapiganaji wengi sihani kama watakuwa wana vuka 20,000.
Gaza mtoto akizaliwa wa Kiume tayar anakuwa ni member wa Hamas na akifikisha miaka 18 ndio anajiunga rasmi ktk oparesheni zao.

Na inasemekana mzazi akijifungua mtoto wa Kiume inakuwa sherehe kubwa kuliko wa kike maana wanajua ni new Hamas in town na anaanza kumezeshwa matango pori na chuki dhidi ya Israel on the spot.

Kama ni mfuatiliaji mzuri shule nyingi za nursery Gaza dressing code yao ni mavazi ya kijeshi, bunduki za plastic(sawa na fagio la shule kwa huku kwetu) kama huna hivyo vitu unarudishwa kwenu
 
IMG_6928.png
Israel kapatikana lol; siku 5 na watu 1300 kufa na wapalestina 1200 around the same figure. Walishazoea kuua wenzao maelfu wao 5 au 10 wamekufa na kujeruhiwa, vita imeisha lakini sasa cha mtee makuni wanakiona mwe.
 
Binafsi,nadhan hata Sasa lengo ni kuidhoofisha HAMAS na si kuimaliza,lkn matokeo mengine ni Israel kuongeza ardhi mashariki Kwa Jerusalem Kwa kuchukuwa Bethlehem na Hebron.
Na pengine kuondoa msikiti WA Al Aqsa na kujenga hekalu.

Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
 
Gaza mtoto akizaliwa wa Kiume tayar anakuwa ni member wa Hamas na akifikisha miaka 18 ndio anajiunga rasmi ktk oparesheni zao.

Na inasemekana mzazi akijifungua mtoto wa Kiume inakuwa sherehe kubwa kuliko wa kike maana wanajua ni new Hamas in town na anaanza kumezeshwa matango pori na chuki dhidi ya Israel on the spot.

Kama ni mfuatiliaji mzuri shule nyingi za nursery Gaza dressing code yao ni mavazi ya kijeshi, bunduki za plastic(sawa na fagio la shule kwa huku kwetu) kama huna hivyo vitu unarudishwa kwenu
ni kweli usemayo, mtoto wa kuime anaanza kujazwa ujinga wa kuwachukia Islael kuliko chochote Duniani tangu akiwa umri mdogo, cha kufanya kwa Islael ni kusambaratisha kabisa utawala wa Gaza ambao upo mikononi wa HAMAS.
 
Ngoma bado mbichi Gaza.

Hakuna Maji, Umeme, Mafuta ama msaada wa kibadamu wowote hadi muwaachie mateka wetu wote - Waziri.

  • Israeli minister says no electricity, fuel or humanitarian aid into Gaza until Hamas releases all captives.
  • Israel continued to pummel Gaza with air raids, killing dozens of people, including nine children in the city of Khan Younis.
Jeshi lolote linalo tegemea msaada wa njaa, kiu na magonjwa ili lishinde vita basi jua ni jeshi dhaifu na la hovyo.
 
Gaza mtoto akizaliwa wa Kiume tayar anakuwa ni member wa Hamas na akifikisha miaka 18 ndio anajiunga rasmi ktk oparesheni zao.

Na inasemekana mzazi akijifungua mtoto wa Kiume inakuwa sherehe kubwa kuliko wa kike maana wanajua ni new Hamas in town na anaanza kumezeshwa matango pori na chuki dhidi ya Israel on the spot.

Kama ni mfuatiliaji mzuri shule nyingi za nursery Gaza dressing code yao ni mavazi ya kijeshi, bunduki za plastic(sawa na fagio la shule kwa huku kwetu) kama huna hivyo vitu unarudishwa kwenu
Sio kweli na sidhani kama Hamas ana silaha za kutosha kwa ajili ya kumpa ili apambane.
 
Ozil alikuwa mchezaji wa mpira mkuu na sio member wa Hamas, Nina Wana wengi tu wafuasi wa munyaazi mungu ila ndio hivyo naishi nao kwa akili.
Unaishi nao kinafiki wao wanadhani wana rafiki kumbe una chuki kubwa juu yao.
 
Tatizo umeme. Hii inasababisha watazamsji tusione vizuri.
 
Kama Hamas au Iran au Hezbolah wangekuwa na mabomu ya nyuklia wasingesita kuyatumia dhidi ya Israel maana tumeona ukatili wao dhidi ya raia.

Sasa kwasababu Israel anayo mabomu ya nyuklia karibu 100, ni wakati sasa aangushe moja Gaza lingine Beirut na lingine Tehran ili mashariki ya kati itulie.

Japan waliacha fujo na kiherehere baada ya atomic bomb kushushwa.
 
Back
Top Bottom