LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nadhani tungejikiti kwenye hoja za taifa letu kuliko kujizima data kama unavyojidhihirisha kwenye hilo andiko lako hapo. Ccm wanaendelea kuipukutisha Nchi tupo tu kama mazuzu halafu eti mara Gaza mara Palestina acheni ufala.
 
Hali inaendelea kuwa mbaya mno upande wa parestina Leo. Iran wanamuangukia Israeli aone hurdle
Misri harikadharika. Si maji si chakula si umeme . Israeli amesema atawapiga palestina mpaka wasiwe na uwezo wa kupigana tena!
 
Wakitumia hayo mabomu umeshang'amua ya kwamba wewe Kwa upande wako utapata faida gani?
 
Ni kweli inabidi uishi nao kwa akili kwa sababu ndo watakuja kukuolea mabinti zako.
Swala la kuoa binti yangu sikatai maana siwez mpangia mwanangu ndoa au kupenda mtu wake. Shida inakuja kenge amuite kafiri aisee
 
Jeshi lolote linalo tegemea msaada wa njaa, kiu na magonjwa ili lishinde vita basi jua ni jeshi dhaifu na la hovyo.
unapopambanana na magaidi, huhitaji jeshi bora tu you need something extra - magaidi ni watu washenzi tu hivi.

Watanyooka tu, achana na kitu kinaitwa njaa. 😀
 
kama iran hawana bomu za nuclear kisa eti mpk sasa hawajaitumia basi israel pia hawana hiyo nuclear ndo maana mpk sasa hawajaitumia
 
Hii Safi Sana ili kukomesha Hao magaidi.Gaza kila mtu ni Gaidi;Baba,Mama,Mjomba, Shangazi,Kaka, Dada,binamu, Bibi, Babu wote ni magaidi.Wazee ambao hawawezi kupigana vita wanaSupport vijana na watoto wadogo ambao hawaendi vitani Sasa ni magaidi watarajiwa wa kesho.Ni sawa na ukoo wa panya kila mmoja ni mwizi🤔
 
Una roho mbaya sana.Wewe huwezi kuwa muislamu wala mkristo.Kama si myahudi basi huna dini kabisa ni kama mnyama wa porini.
 
Dah!Hawa watu ni shida kweli.Naamini Hamas walishajiandaa kwa kadhia hizo.Hamas wawahudumie Wapalestina mahitaji yao.
Wajiandae wapi? Zaidi ya kuwapa shida tu wenzao, mbona ukingo wa magharibi wanaishi fresh tu?? Wahuni wanalianzisha baadaye watoto wa wanawake ndio waathirika wakubwa na kuanza kutafuta huruma!! Ila zamu hii cjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…