LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nadhani tungejikiti kwenye hoja za taifa letu kuliko kujizima data kama unavyojidhihirisha kwenye hilo andiko lako hapo. Ccm wanaendelea kuipukutisha Nchi tupo tu kama mazuzu halafu eti mara Gaza mara Palestina acheni ufala.
 
Hali inaendelea kuwa mbaya mno upande wa parestina Leo. Iran wanamuangukia Israeli aone hurdle
Misri harikadharika. Si maji si chakula si umeme . Israeli amesema atawapiga palestina mpaka wasiwe na uwezo wa kupigana tena!
 
Wakitumia hayo mabomu umeshang'amua ya kwamba wewe Kwa upande wako utapata faida gani?
 
Ni kweli inabidi uishi nao kwa akili kwa sababu ndo watakuja kukuolea mabinti zako.
Swala la kuoa binti yangu sikatai maana siwez mpangia mwanangu ndoa au kupenda mtu wake. Shida inakuja kenge amuite kafiri aisee
 
Jeshi lolote linalo tegemea msaada wa njaa, kiu na magonjwa ili lishinde vita basi jua ni jeshi dhaifu na la hovyo.
unapopambanana na magaidi, huhitaji jeshi bora tu you need something extra - magaidi ni watu washenzi tu hivi.

Watanyooka tu, achana na kitu kinaitwa njaa. 😀
 
Kama Hamas au Iran au Hezbolah wangekuwa na mabomu ya nyuklia wasingesita kuyatumia dhidi ya Israel maana tumeona ukatili wao dhidi ya raia.

Sasa kwasababu Israel anayo mabomu ya nyuklia karibu 100, ni wakati sasa aangushe moja Gaza lingine Beirut na lingine Tehran ili mashariki ya kati itulie.

Japan waliacha fujo na kiherehere baada ya atomic bomb kushushwa.
kama iran hawana bomu za nuclear kisa eti mpk sasa hawajaitumia basi israel pia hawana hiyo nuclear ndo maana mpk sasa hawajaitumia
 
Waziri wa nishati wa Israel aitwaye Israel Katz amesema hakuna tone la maji hata moja litakalopelekwa Gaza wala chakula chochote na hata gari la mafuta kwa ajili ya kituo cha umeme, mpaka hapo raia wao wanaokisiwa kufikia 150 watakapoachiwa huru
Wananchi wa Gaza wanasema hawastahiki Adhabu hii kwani wao sio HAMAS

‘We’re not Hamas’: Gaza residents say airstrikes are putting civilians in grave danger


1697108679691.png

1697108957798.png

No power, water or fuel to Gaza until hostages freed, says Israel minister

 
Hii Safi Sana ili kukomesha Hao magaidi.Gaza kila mtu ni Gaidi;Baba,Mama,Mjomba, Shangazi,Kaka, Dada,binamu, Bibi, Babu wote ni magaidi.Wazee ambao hawawezi kupigana vita wanaSupport vijana na watoto wadogo ambao hawaendi vitani Sasa ni magaidi watarajiwa wa kesho.Ni sawa na ukoo wa panya kila mmoja ni mwizi🤔
 
Hii Safi Sana ili kukomesha Hao magaidi.Gaza kila mtu ni Gaidi;Baba,Mama,Mjomba, Shangazi,Kaka, Dada,binamu, Bibi, Babu wote ni magaidi.Wazee ambao hawawezi kupigana vita wanaSupport vijana na watoto wadogo ambao hawaendi vitani Sasa ni magaidi watarajiwa wa kesho.Ni sawa na ukoo wa panya kila mmoja ni mwizi🤔
Una roho mbaya sana.Wewe huwezi kuwa muislamu wala mkristo.Kama si myahudi basi huna dini kabisa ni kama mnyama wa porini.
 
Dah!Hawa watu ni shida kweli.Naamini Hamas walishajiandaa kwa kadhia hizo.Hamas wawahudumie Wapalestina mahitaji yao.
Wajiandae wapi? Zaidi ya kuwapa shida tu wenzao, mbona ukingo wa magharibi wanaishi fresh tu?? Wahuni wanalianzisha baadaye watoto wa wanawake ndio waathirika wakubwa na kuanza kutafuta huruma!! Ila zamu hii cjui
 
Back
Top Bottom