Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Ukikua utaacha nini?Ukikua Ataacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikua utaacha nini?Ukikua Ataacha
Swala la kuoa binti yangu sikatai maana siwez mpangia mwanangu ndoa au kupenda mtu wake. Shida inakuja kenge amuite kafiri aiseeNi kweli inabidi uishi nao kwa akili kwa sababu ndo watakuja kukuolea mabinti zako.
unapopambanana na magaidi, huhitaji jeshi bora tu you need something extra - magaidi ni watu washenzi tu hivi.Jeshi lolote linalo tegemea msaada wa njaa, kiu na magonjwa ili lishinde vita basi jua ni jeshi dhaifu na la hovyo.
kama iran hawana bomu za nuclear kisa eti mpk sasa hawajaitumia basi israel pia hawana hiyo nuclear ndo maana mpk sasa hawajaitumiaKama Hamas au Iran au Hezbolah wangekuwa na mabomu ya nyuklia wasingesita kuyatumia dhidi ya Israel maana tumeona ukatili wao dhidi ya raia.
Sasa kwasababu Israel anayo mabomu ya nyuklia karibu 100, ni wakati sasa aangushe moja Gaza lingine Beirut na lingine Tehran ili mashariki ya kati itulie.
Japan waliacha fujo na kiherehere baada ya atomic bomb kushushwa.
Unawatakia ushindi mnono?😂Kutoka lugombo mwaya kyela nawatakia ushindi wa kishindo taifa la israeli
Una roho mbaya sana.Wewe huwezi kuwa muislamu wala mkristo.Kama si myahudi basi huna dini kabisa ni kama mnyama wa porini.Hii Safi Sana ili kukomesha Hao magaidi.Gaza kila mtu ni Gaidi;Baba,Mama,Mjomba, Shangazi,Kaka, Dada,binamu, Bibi, Babu wote ni magaidi.Wazee ambao hawawezi kupigana vita wanaSupport vijana na watoto wadogo ambao hawaendi vitani Sasa ni magaidi watarajiwa wa kesho.Ni sawa na ukoo wa panya kila mmoja ni mwizi🤔
Wajiandae wapi? Zaidi ya kuwapa shida tu wenzao, mbona ukingo wa magharibi wanaishi fresh tu?? Wahuni wanalianzisha baadaye watoto wa wanawake ndio waathirika wakubwa na kuanza kutafuta huruma!! Ila zamu hii cjuiDah!Hawa watu ni shida kweli.Naamini Hamas walishajiandaa kwa kadhia hizo.Hamas wawahudumie Wapalestina mahitaji yao.
Mwisho wa Israel na Amerika ni mwaka huu au ujao.Allah daima yuko pamoja na anayedhulumiwa na hampi njia ya kudumu anayedhulumu.Kulitafuta, kuli get, wacha wauwawe, kuna watu wanapenda heka heka kila siku, ndo hivyo sasa.