LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ndio maana ww ni mpumbavu ww nchi hiyo ardhi ya nchi yako unayo ishi ulihaidiwa na mungu?
 
Kinachonisikitisha ni kuona Bado raia wanaishi hapo Gaza Hadi muda huu .

Kwa kweli naumia Sana. Sijui ni Kwanini hawamwagi sumu ?
 
kawahamisha nato akili sasa marekani atagarami ukraine na israel afu akija kutoka amechoka sana china anakaa hapo juu bila ubishi
Huo ni mtazamo wako tu usio na uhalisia, Rusia kamwe hawezi kuwatumia Hamas kumpiga muisraeli. Hivi ulishawahi sikia mahali popote Rusia na Israeli wanavutana?
 
You are brain washed by the Western colonialists.
Pole sana ndugu, huwezi kuwa mchambuzi wa mambo kama hufuatilii from the root.

Utabakibkuona wenzako wanachambua mambo na kuwaambia as you wrote hapo juu.

Ukiona kuna jambo hulijui na mwenzako mwenye weredi kaliandika elewa kuwa hiyo ni elimu kwako utaenda kuwapa wanao wajao.
 
Aisee hii ya mdogo wake kufariki uganda sikujua !
Nitasima vzr historia hiyo!

Yes yes
Wengi wanafikiri vita zinazopiganwa israe ni vita za kawaida....hawajui
Ndo maana tunawaangalia tu!
 
🤝🤝 Indeed
Kujifunza pia muhimu
 
Operation safisha Gaza; wananchi watakiwa kuondoka na kuacha makazi yao ndani ya masaa 24 yajayo.
 
Haondoki mtu ng'o.... Israel inatafuta mbinu za kuikalia Gaza.

 
History has a way of repeating itself.

“I want to see no Red Cross, no Caritas, no World Council of Churches, no Pope, no missionary, no UN delegation. I want to prevent even one Igbo(Biafra) from having even one piece of food to eat before their capitulation".

"We shoot at everything that moves and when our troops march into the centre of Igbo territory, we shoot at everything: even things that do not move”.

“All is fair in war and starvation is one of the weapons of war".

"I don’t see why we should feed our enemies fat in order for them to fight harder”.

--Ni maneno ya Benjamin Adekunle, (Commander, 3rd Marine Commander Division, Nigerian Army) aliyoyasema kupitia French Radio Reporter tarehe July 28, 1969.

--------+++--------+++------+++--------+++--------+++--

Nigeria war of aggression against Biafran people was supported and sponsored by British government, .

Over 5 million Biafrans were killed, one million children were starved to death.

Biafra massacre was justified with the silence of UN and the rest of the world.

Today history is repeating its way, but now between Israel and Palestine .
 
Operation safisha Gaza; wananchi watakiwa kuondoka na kuacha makazi yao ndani ya masaa 24 yajayo.
Kaamua kuacha raia watoke!?..Qatar alitaka kusitisha uuzaji wa gesi ikiwa raia wasingeachiwa kutoka, Hamas wamesema hizo ni fake propaganda
 
Uamuzi wa HAMAS kuishambulia Israel ulikuwa hauna busara, sababu Gaza strip ilivyo ukibananishwa huna pa kukimbilia, yaani HAMAS watakamatwa kama kuku bandani.

Nenda kwenye ramani uangalie vizuri ukanda wa Gaza ulivyo - exit ni mbili tu - either ukimbilie Lebanon, Mistri ama Syria ambapo ni km nyingi mno kutoka Gaza na check points za kutosha on the way.

Sasa fikiri mipaka yote imefungwa yaani banda limefungwa sasa ni muda wa kukimbiza kuku - aisee hali ni mbaya. ka ukanda haka hakana ulinzi wa anga, hakuna maji wala umeme wa kujitegemea - kila kitu kiko linked na Israel na ndiyo wameminya kitufe - hamna kutoka hamna kuingia - yaani nje ntinti & ndani ntiti.

Si jambo la mzaha, ndugu zangu Gaza ni damu - Israel ni damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…