Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia imeamua kumsuport Israel nakumtenga palestinaKwa namna ambavyo Israel (taifa teule la Mungu) anavyo ifumua Gaza, na bado anapata misaada kutoka kwa Western governments, this is not fair kabisa..... Vipi kama Urusi angeifumua Ukreine kama anavyofanya Myahudi?
Ndio maana ww ni mpumbavu ww nchi hiyo ardhi ya nchi yako unayo ishi ulihaidiwa na mungu?Ardhi ya Wafilisti kwa maandiko au mkataba gani!?. Mungu alimwambia Ibrahim "Toka nyumbani kwa Baba yako na mama yako nami nitakupa" Nchi". Tena wakamwambia Yakobo ambaye ni babu wa hawa kina Netanyahu kuwa "Uzao wako utakwenda utumwani misri muda wa miaka 400 nami nitakutoa huko na kukupa ardhi hii kwanini wasing'ang'anie pale misri Goshen kama ni eneo walipewa na Yusufu ila Yusufu akawa mjanja akawaambia" Najua Mungu atawajilia, siku akiwajilia kuwa chukua Msiache mifupa yangu huku misri ".
Hiyo ardhi ni mali ya Israel, Mungu yehova yupo so clear mpaka mipaka ya makazi yao ameitaja very open na wao wanajua ndio maana wakiwatandika wana occupy the space chap kwa ukali utashangaa. Gaza imeenda tayari, wamejichanganya wenyewe. Bibilia inasema, kwa mtini jifunze tawi lake lijapoanza kuchanua........asomaye na afahamu.
Kinachonisikitisha ni kuona Bado raia wanaishi hapo Gaza Hadi muda huu .Benjamin Netanyau ana uchungu sana na haya magaidi ya kipalestina mdogo wake akiitwa Yonatan Netanyau aliuwawa kwenye operation entebe alipokuwa akiiongoza kikosi cha kuokoa ndege iliyokuwa imetekwa na magaidi ya kipalestina uokoaji ulifanikiwa 100% ila yeye Yonatan alipoteza maisha.
Ukiingalia sura ya Netanyau unaona kabisa anamaanisha.
Hamas walitegemea wavuke mpaka wa Israel wauwe watu halafu Israel iwachekee tu! Kama Nyerere alianzisha vita na Uganda baada ya Uganda kufanya mashambulizi mpakani nini cha ajabu kwa Israel kuwachapa magaidi wa hamas🤣😂
Any way wanaoilinda Israel kimaombi waendelee maana hii ni vita ya rohoni kinachoendelea ni udhihirisho wa kinachoendelea kwenye ulimwengu wa roho.
Huo ni mtazamo wako tu usio na uhalisia, Rusia kamwe hawezi kuwatumia Hamas kumpiga muisraeli. Hivi ulishawahi sikia mahali popote Rusia na Israeli wanavutana?kawahamisha nato akili sasa marekani atagarami ukraine na israel afu akija kutoka amechoka sana china anakaa hapo juu bila ubishi
Pole sana ndugu, huwezi kuwa mchambuzi wa mambo kama hufuatilii from the root.You are brain washed by the Western colonialists.
Aisee hii ya mdogo wake kufariki uganda sikujua !Benjamin Netanyau ana uchungu sana na haya magaidi ya kipalestina mdogo wake akiitwa Yonatan Netanyau aliuwawa kwenye operation entebe alipokuwa akiiongoza kikosi cha kuokoa ndege iliyokuwa imetekwa na magaidi ya kipalestina uokoaji ulifanikiwa 100% ila yeye Yonatan alipoteza maisha.
Ukiingalia sura ya Netanyau unaona kabisa anamaanisha.
Hamas walitegemea wavuke mpaka wa Israel wauwe watu halafu Israel iwachekee tu! Kama Nyerere alianzisha vita na Uganda baada ya Uganda kufanya mashambulizi mpakani nini cha ajabu kwa Israel kuwachapa magaidi wa hamas🤣😂
Any way wanaoilinda Israel kimaombi waendelee maana hii ni vita ya rohoni kinachoendelea ni udhihirisho wa kinachoendelea kwenye ulimwengu wa roho.
Angalia hii kitu hapa chini ndiyo Israel wanafanya kwanza.Binafsi naona kama muda wa kwenda huko bado maana naona bado magorofa yamesalia ilipaswa wayadondoshe yote ili uwe uwanja ndipo waingie!
🤝🤝 IndeedPole sana ndugu, huwezi kuwa mchambuzi wa mambo kama hufuatilii from the root.
Utabakibkuona wenzako wanachambua mambo na kuwaambia as you wrote hapo juu.
Ukiona kuna jambo hulijui na mwenzako mwenye weredi kaliandika elewa kuwa hiyo ni elimu kwako utaenda kuwapa wanao wajao.
Operation safisha Gaza; wananchi watakiwa kuondoka na kuacha makazi yao ndani ya masaa 24 yajayo.Silaha wanaweka kwenye hayo maghorofa!?..ndipo wanapopanga mambo yao?.. Israel Wana vifaa vya kusikiliza kinaendelea nini Gaza,high tech surveillance 24/7,Kama wanatumia hayo maghorofa wameshindwa nini kuwamaliza siku zote hizo?!..umefikiri kutumia nini!?
Waondoke kupitia wapi wakati maeneo yote wameyafungaOperation safisha Gaza; wananchi watakiwa kuondoka na kuacha makazi yao ndani ya masaa 24 yajayo.
ICC ipo kazini, japo mabeberu watajaribu kuikwamisha.Kwa nini hakuna mtu au nchi ambayo imepeleka shtaka ICC ili Netanyahu akamatwe kwa mauaji ya Halaiki gaza?
Gaza is Palestine forever, haondoki mtu ng'o..Operation safisha Gaza; wananchi watakiwa kuondoka na kuacha makazi yao ndani ya masaa 24 yajayo.
Haondoki mtu ng'o.... Israel inatafuta mbinu za kuikalia Gaza.Operation safisha Gaza; wananchi watakiwa kuondoka na kuacha makazi yao ndani ya masaa 24 yajayo.
Waparestina wapatao 1.1m wanatakiwa kuondoka Gaza ndani ya masaa 24 ajayo kupisha operation chakaza ndani ya Gaza ili kuwasaka na kuwasambaratisha wanamgambo wa HAMAS.
UN imetoa angalizo kwamba zoezi hili linaweza kuwa gumu na kuwaathiri watu hao kwa kiwango kikubwa.
The Israeli military has told civilians in Gaza City to leave their homes, says military operations will take place in the area “in the following days”.
Kaamua kuacha raia watoke!?..Qatar alitaka kusitisha uuzaji wa gesi ikiwa raia wasingeachiwa kutoka, Hamas wamesema hizo ni fake propagandaOperation safisha Gaza; wananchi watakiwa kuondoka na kuacha makazi yao ndani ya masaa 24 yajayo.