matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Aisee inafikirisha🙌🤔Angalia hii kitu hapa chini ndiyo Israel wanafanya kwanza. View attachment 2780669
Unauliza maswali ya kitoto sana. Huwezi kujisomea?Tanganyika na waTanganyika tulikiwa hapa hapa Tanzania. Ila kabla ya 1947 hapakuwa na nchi inaitwa Israel, ilikuwa wapi?
Uamuzi ulipitishwa na Baraza Kuu la UN (Nov 1947), ikiwemo Marekani na USSR.Jasmoni Tegga Kwahiyo Israeli waliwapora waPalestina ardhi mwaka 1947 kijeshi kwa msaada wa Marekani (under UN disguise) , Sivyo? Kwmaba katika partition Israeli alipewa 95% ya Ardhi na Palestine akaachwa kwenye kaukanda ka Gaza, sio? Au hiyo partion ilikiwa asilimia ngapi kwa ngapi?
Vita sio lele mama.Uamuzi wa HAMAS kuishambulia Israel ulikuwa hauna busara, sababu Gaza strip ilivyo ukibananishwa huna pa kukimbilia, yaani HAMAS watakamatwa kama kuku bandani.
Nenda kwenye ramani uangalie vizuri ukanda wa Gaza ulivyo - exit ni mbili tu - either ukimbilie Lebanon, Mistri ama Syria ambapo ni km nyingi mno kutoka Gaza na check points za kutosha on the way.
Sasa fikiri mipaka yote imefungwa yaani banda limefungwa sasa ni muda wa kukimbiza kuku - aisee hali ni mbaya. ka ukanda haka hakana ulinzi wa anga, hakuna maji wala umeme wa kujitegemea - kila kitu kiko linked na Israel na ndiyo wameminya kitufe - hamna kutoka hamna kuingia - yaani nje ntinti & ndani ntiti.
Si jambo la mzaha, ndugu zangu Gaza ni damu - Israel ni damu.
Asante Sana🤝Operation safisha Gaza; wananchi watakiwa kuondoka na kuacha makazi yao ndani ya masaa 24 yajayo.
Achana nae huyoSasa kinachokufanya utukane ni kipo? Wewe unawafahamu Wayahudi kuliko Wapalestina? Wapalestina wenyewe wanajua kuwa Wayahudi wamekuwa nao pale miaka yote walikua wamegawana maeneo ya kukaa, wanachokidai ni baadhi ya maeneo wanayogombania ambayo kila mmoja ana historia nayo, pia maeneo mengine ni yale ambayo Israel aliyachukua na kuyakalia kimabavu kwa sababu za kiusalama.
Halafu unaibuka wewe kutoka sijui mashimo ya wapi huko na ubishi wako wa Kiswahili baada ya kushiba kande ngumu unajitoa akili kuongea vitu ambavyo inabidi mtu atumie hekima kukujibu kama ninavyokujibu. Otherwise mwingine anaweza akakuona umerukwa na akili tu.
Sera ya kuifuta Israel kwamba pale siyo kwao hiyo haijawahi kuwa sera ya wapalestina, sababu wanajua fika kuwa wale wapo nao pale miaka yote. Sera ya kuifuta Usrael wala siyo hata ya waarabu wote, hiyo ni sera ya Iran na baadi tu ya waarabu.
Ukifundishwa na mwenye chuki lazima aiharibu akili yako. Kwa kifupi unaweza kusema waalimu wenu waliowafundishe mgogora wa Israel na Palestina walizif%i#r@ akila zenu badala ya kuzifundisha na sasa mmebaki kuwa mashoga wa kiakili
kwa miaka mingi wamekuwa wakipotosha watu humu kwa historia zao za kuchonga tulikua tunawaangalia kama hatujui.Achana nae huyo
Hana analojua ndo maana full kutukana baada ya kuona walichokitegemea Kwa isarel hakijatimia
Waliofukiwa kama hivi ndiyo idadi yao haijajulikana mpaka vifusi vitakapofukuliwa.
Wanataka Israel wawepende zaidi watoto, akina mama na wazee wa Kipalestina kuliko Wapalestina wenyewe wanavyopendana.Aisee inafikirisha🙌🤔
Wanataka Israel wawepende zaidi watoto, akina mama na wazee wa Kipalestina kuliko Wapalestina wenyewe wanavyopendanaAngalia hii kitu hapa chini ndiyo Israel wanafanya kwanza. View attachment 2780669
Technically, hakuna tofauti kati ya Mpalestina na Mwarabu. Wote ni Waarabu.Waarabu ndiyo wamewaharibu kabisa Wapalestina, Wamewafanyia Wapalestina Arabanization mpaka sasa huwezi kupitia utamaduni ukamtafuta Mpalestina umtofautishe na Mwarabu.
Ni rahisi sana kwa Mpalestina kuoa au kuolewa ma Myahudi kuliko Mpalestina kuoa Mwarabu. Hayo hawayaoni kabisa, kumbafu zao
kuna waarabu wa bongo pia mkuu umewasahau?Kuna Waarabu wa Saudi, Syria, Yemen, Palestina etc.
Hamas wameshaingia kwenye 18 za ukoo wa Yuda, ni balaa !! tunasubiri kuandika historia mpya ya Middle east 2023.Yaaa,24 hrs hapo pawe peupeee
Technically, yeah nakubaliana na wewe.Technically, hakuna tofauti kati ya Mpalestina na Mwarabu. Wote ni Waarabu.
Kuna Waarabu wa Saudi, Syria, Yemen, Palestina etc.
Palestina ni geographical location ambapo wakazi wake ni Wapalestina.