LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
HAMAS KUNDI LAKISENGE LA KIGAIDI NAVUA NGUO ZANGU ZOTE NAKUWALAANI HAPA CHUMBANI KWANGU.

HAMAS NDIO WATESI WA RAIA WA PALESTINA AMBAO HAWANA HATIA.

HAMAS DOESN'T REPRESENT PALESTINIANS.

MAUMBWA HAWA.
Haitasaidia na laana haitafika... Kuonesha huwapendi HAMAS omba kujiunga na jeshi la Israel ili ukawakabili Hamas huko Gaza
 
We umelewa mav.i sio bure
Hapana. Hukupaswa kunitusi. Mimi siyo Pro Israel. Nasikitika kwa jinsi dunia yote ilivyoweka mikono nyuma wakati Wapalestina wakifanyiwa uhaini wa hali ya juu ndani ya ardhi yao. Amekosekana hata moja wa kuingilia uharibifu unaofanywa na Israel na kwa uzoefu Israel haijawahi kurudisha ardhi inayoipora.
 
Afu hz vaa kobazi zinasemq wanaonewa mazafantazzzz piga mpaka mtz wameteka au kuua afu mtu hata hiyo dini hajui ilikoanzia anataka kuleta u mnyaazi hapa
 
Halafu watu wanasema Hawa wanaonewa
Mbona Hamas walishatoa taarifa ya hao mateka kuuwawa na makombora ya hao Waisraeli yanayorushwa hovyo kwenye ardhi ya Wapalestina!

Si wamechagua kujibu madhambulizi kwa kutumia nguvu nyingi, badala ya akili. Na haya ndiyo matokeo yake sasa. Au huoni yale mateso wanayopitia Wapalestina wasio na hatia kila siku?
 
HAMAS imewaponza ndugu zao,Iran ni mbwa anayebweka tu lakini hawezi kung'ata,huu ndo ulikuwa wakati mzuri sana kwa Iran kuingia vitani na Israel ili aonyeshe uanaume wake.
tuliambiwa Iran itaingia kuisaidia HAMAS, lakini hadi muda huu kimyaa, Lebanon pia tuliambiwa hivyo hivyo kimyaa.

Ni kweli hako ka Gaza kanakwenda kuwa kambi ya kijeshi ya Islael.

HAMAS mmewaponza waparestina, maisha yao yanakwenda kuharibika kabisa. Aliyewekeza Gaza maisha yake yote leo hana chochote zaidi ya uhai wake kama nao kabakia nao dadeq.
 
Walipo waua wa israel walitumia akili nyingi au upuuzi mwingi..? Hakuna kuhurumiwa pelekea moto mpaka gaza ichukuliwe mazima
 
Na isipo kuwa hivyo ?
 
Isingekuwa rahisi kiasi hicho. Palestina baada ya kutawaliwa na Roman Empire ikawa chini ya Dola ya Ottoman (Waturuki) kwa miaka 400 (1517 - 1917).

After Ottoman Empire wakafuatia Waingereza, then UN kimsingi ikaidhinisha mtawala mpya ambaye ni Myahudi (1947 hadi kesho).

Katika kipindi chote hiki Wapalestina wameishi kwa mateso mithili ya utumwa.

Wengi walikodishiwa ardhi kama wapangaji ambapo hata hivyo walinyang'anywa na kubaki mafukara na wategemezi na wasio na ajira baada ya Wayahudi wahamiaji kuinunua kwa wamiliki wa awali waliokuwa ughaibuni.

1) The Churchill white paper (1923): ^idadi ya wahamiaji haipaswi kuzidi uwezo kiuchumi wa Palestina.^

2) Sir John Hope-Simpson report (Oct. 1930): ^zoezi la uhamiaji lisitishwe; kusiwepo ongezeko la makazi ya Kiyahudi.^

3) Passfield white paper: ^Wayahudi na Waarabu wako katika mizani sawa kiutu. Ardhi isiruhusiwe tena kwenda kwa wahamiaji wapya. Zoezi la uhamiaji na uendelezaji wa makazi ya Wayahudi lidhibitiwe vilivyo.^

4) Peel Commission (June 1937): Kuna haja ya kuwepo taifa huru la Israel na Palestina.

5) The British government white paper (Feb 1939): ^Uhamiaji usitishwe. Uhuru wa Palestina ndani ya miaka 10.^

6) Biltmore Program (May 1942): ^Kuanzishwe haraka Jumuia ya Madola ya Wayahudi Palestina.^

7) UN 29 Nov 1947: 56% ya ardhi ya Palestina chini ya Wayahudi wachache kwa idadi.
 
Hamas bado wanarusha makombola - hii image ni ya leo mchana huu...



Hamas has fired more rockets into the south of Israel. We heard sirens and saw the Iron Dome intercepting them. Then 10 minutes later, more rockets and more interceptions. Earlier, there was a rocket hit in one of the residential homes.

There has been a constant barrage of rockets on and off, and also alerts in Tel Aviv in the last hour.
 
biafra hawakuwai kuua raia wema ila hamas wamefanya hivyo
 
We jamaa mnafiki sana, mwanzoni ulikua unachekelea Israel iliposhambuliwa, kibao kimegeuka umeanza kutia huruma.

Kichapo ndo kwanza kimeanza... na Israel inazidi kujiongezea eneo la ardhi kwa ulimbukeni wa magaidi.
Jumamosi iliyopita umma mkubwa sana wa kiarabu/kiislamu na marafiki zao ulilipuka kwa furaha ukisema allah akbar, allah akbar, allah akbar ukifurahia magaidi wa hamas kuua wayahudi na wasio wayahudi jumamos iliyofuata kibao kimegeuka umma ule ule uliofurahia mauaji leo hii unalalamika wayahudi wanapochukua hatua za kujilinda dhidi ya magaid ya hamas🤣😂 kweli biblia haiwah kusema uongo inaposema utukufu wa mwisho wa nyumba ile utakuwa mkubwa kuliko wa kwanza
 
Kuchukua Ardhi ya mwenzako kwa ubabe na ukatili wa kutisha kama aliokuwa anafanya Israel kwa miongo kadhaa.., Palestine hana haki ya kujitetea?
Mtu yeyote ana haki ya kujitetea kama usalama wake uko hatihati, mkuu.

Swali la msingi: Unajiteteaje? Kwa gharama ya uhai? Raia wasio na hatia? Kupoteza hata kile kidogo ulicho nacho?

Ikiwa ndivyo wamechagua, basi ni uamuzi mgumu na wa kishujaa sana kwa upande wao.

Wapalestina hawapaswi kubezwa wala kuchekwa. Nani ajuaye, huenda walikuwa wamefikia hatua ya kuchukia hata maisha na uhai wenyewe.

Hawa wanastahili kuhurumiwa na kusaidiwa kwa kila hali na kila nchi yenye fursa na uwezo na inayopenda amani duniani.

Kitendo chochote cha ukatili kwa pande zote mbili hakikubaliki.
 
Watanzania ni 2 tu ndo hawajapatikana
Wengine zaidi ya 300 wako salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…