Shirika la habari la AFP limeandaa orodha ya wageni 100 ambao wamethibitishwa kufariki, kutoweka, au kuchukuliwa mateka, kulingana na taarifa kutoka kwa mamlaka za kitaifa.Wengine wengi hawajulikanaji walipo
Marekani:27 wamekufa
Thailand:24 wamekufa
Ufaransa:15 wamekufa
Nepal:10 wamekufa
Argentina:Saba wamekufa
Ukraine:Saba wamekufa
Urusi:Wanne wamekufa
Uingereza:Wanne wamekufa
Chile:Wanne wamekufa
Austria:Watatu wamekufa
Belarusi:Watatu wamekufa
Kanada:Watatu wamekufa
Uchina:Watatu wamekufa
Ufilipino:Watatu wamekufa
Brazil:Watatu wamekufa
Peru:Wawili wamekufa
Romania:Wawili wamekufa
Australia, Azabajani, Kambodia, Ireland, Ureno, Uhispania, Uswizi, Kolombia, Paragwai:Mtu mmoja amekufa
Ujerumani, Mexico:Mateka kadhaa wamekamatwa
Italia, Paraguay, Sri Lanka, Tanzania:Kadhaa hawajulikani walipo