LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kobazi wameiona? Wakiiona watafurahi sana wakisema allah yuko pamoja nao. Kunguru anajulikana ni mtukutu akitumwa jambo yeye huenda kufanya mambo yake na haleti ripoti. Njiwa ni mtiifu akitumwa huleta majibu
 
Mshangao mwingine ni kitendo cha india kupeperusha bendera ya israel na kuinga mkono kupambambana na magaidi wakati wengine wanaandamana na kuilaani. India itabarikiwa sana na uchumi wake utakua kwa kasi ya ajabu, india inajua inachokifanya
 
Mshangao mwingine ni kitendo cha india kupeperusha bendera ya israel na kuinga mkono kupambambana na magaidi wakati wengine wanaandamana na kuilaani. India itabarikiwa sana na uchumi wake utakua kwa kasi ya ajabu, india inajua inachokifanya
Wahindi na waislamu hawapatani... Wahindi wanaona unagaribu Dini yao ya Hinduism na Buddhism... Hapo juzi kati tu watoto kadhaa wakiislam pale India walidhihakiwa kisa ni waislamu... Wahindi wanaamini waislamu wa kule India wanaoa dada zao ili kuwabadilisha dini, sasa kutendo cha waislamu kuwaoa dada zao na kuwabadilisha dini kinawakela sana... Hapo wahindi lazima wasapoti israeli pia ukijumuisha na ushirikiano wa kivita na kiuchumi baina ya nchi hizi
 
Media Coverage: "The number of Israeli soldiers and settlers killed by Palestinian freedom fighters has soared up to 300, and at least 1590 others were injured, according to Hebrew sources."
Hahahahah any update maalimu?
 
India na Pakistan Wana bifu la kinyambis na wapikstan ni waislamu na wahindu ni wahindu wahindu wa pakistana wanakiona Cha mtema Kuni na waslam wa India wanakiona Cha moto all in all wakristo wanapata sana shida Pakistan kuliko India nadhan Islam sio dini ya amani kama tunavyoaminishwa
 
Kwa muda mfupi sana Gaza kumeweza kuchakaa vibaya sana hizo ni baadi ya picha



Israeli tunaambiwa taifa teule la Mungu limeamua kufanya uharibifu wa hali ya juu kabisa hawakuishia kupiga tu walizuia hadi misaada ya kijamii kuingia jambo ambalo Putin hakufanya hivyo bado tukaambiwa putin ni mbaya anawatesa wa ukraine ila Taifa la Mungu wapo sahihi wakiungwa mkono na marekani kwa kile wanachokifanya

Kama Putin angeamua kufanya kama hiki kinachofanywa na Israeli basi ukraine isingekuwepo hadi muda huu kwa muda wanaopambana.
 
Unajuaje kama Putin alitamani kufanya hayo ila akashindwa?
 
Kuna vita katika uhalisia na vita ya kwenye movies za hollywood na story kwenye vitabu.

Hio teknolojia ya Israel ya hali ya juu imeshindwa kuzuia Hamas wanaruka ndani ya Israel na paragliders, nchi inapewa msaada zaidi ya $ 3 Billion toka US kila mwaka lakini sioni maajabu yeyote. upumbavu tu.

 
Wanaolalamika hawajui hata UN iko upande wa Israel ila ni kudanganya umma kupitia vyombo vya habari, mbona alipopigwa Israel ndio ikaonekana Hamas gaidi, hizo ni njama Tu za

UN na israel
 
USIJAZWE CHUKI WE JAMAA ZA ISLAMAPHOBIA.
INDIA NI TAIFA LENYE UDINI NA LIMEKUA LIKITESA WAISLAM MIAKA NA MIAKA.
ILA NENDA QATAR,BAHRAIN,SAUDIA,UAE,TURKEY N.K HIZO NI NCHI ZENYE IDADI KUBWA YA WAISLAM NA WALA HUSILII WAKRISTO NA MAYAHUDI WAKITESWA.
AMITABH BACCHAN AMESILIMU NA ALIKUA MHINDU JIULIZE KAKIONA NN KATIKA UISLAM.
 
Ndio maana Xin Jin Ping alisema kuwa USA Ina siasa za kizamani za kujichagulia ukweli na uongo unatokana na mwenye nguvu,ilhali kiuhalisia Israel ndio mnyang'anyi alieteka maeneo ya Palestine na USA imekataa kuitambua Palestina kama taifa huru.
Hiko ndio chanzo Cha mgogoro wasisingizie mengine.
Putin naye kasema suluhisho ni Palestina kutambulika kama taifa huru maana hakuna nchi inayokubali kuishi under blockade.
GUSTAVO PETRO AMETOA TAMKO LEO KUWA ITASITISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA NA ISRAEL NA IMEMTAKA BALOZI WA ISRAEL AONDOKE COLOMBIA HUKU AKISEMA KUWA ISRAEL HANA TOFAUTI NA UTAWALA WA NAZI WA ADOLF HITLER.
CLARE SHORT WAZIRI WA ZAMANI WA MAENDELEO YA KIMATAIFA YA UK AMEDAI PIA KUWA USA NA EU WANA SERA MFU NA ZA KIJINGA KUISAPOTI ISRAEL NA KUKATAA KUITAMBUA PALESTINA KAMA TAIFA HURU.
JEFFREY SACHS US POLITICAL ANALYST AMESEMA KUWA USA INATAKIWA IACHE SERA ZA KIZAMANI WORLD ORDER INABADILIKA NA DUNIA SIO KIPOFU TENA KUICHAGULIA KIPI SAHIHI NA KIPI SIO SAHIHI.
 
Hawajui hata mambo ya kimataifa wanashabikia tu vitu waelekeze
 
Hahahahah any update maalimu?
Tizama aljazeera,BBC,CGTN takriban raia 1400 2a Israel wameua ,wanajeshi wa Israel 299 wameua ,mateka 150 was kiraia wametekwa na Hamas na mateka 100 was kijeshi was Israel wametekwa na Hamas.
Pia takriban raia laki tano wa Israel wamehama nchi na wengine wanaendelea kuhama nchi.
Usipoiona hiyo habari katika vyombo vya habari nilovyokutajia NAHAMA JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…