LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
na wakati hamas wakiua wanawake, watoto, wazee, wa israel na watu wa mataifa mengine na wakiteka nyara wasio waisrael ile haikuwa collective punishment?
Braza wasamehe wamechanganyikiwa jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndio maana wamezima Internet ili tusione maiti za wanajeshi wake ila wanajidanganya tutajua tu hata wafanyeje.
Hamas's commanders killed during last night IDS offensive in Gaza.

Asem Abu Rataba- Chief commender in charge of Aerial forces
Ratab Abu Tshaiban -Marinetime commender.
 
Hamas's commanders killed during last night IDS offensive in Gaza.

Asem Abu Rataba- Chief commender in charge of Aerial forces
Ratab Abu Tshaiban -Marinetime commender.
Gaza wanakufa ka kuku wanaoumwa mdondo yaan wanaanguka duble. duble dah vita mbaya sana
 
Israel si afanye zile covert operation mission zake kama za Entebbe 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hii issue ni bora waombe mazungumzo, IDF haitoweza kuchukua hao mateka.

Israel wanapata hasara kupoteza askari lakini hawasemi, 2006 serikali ya Israel ilitoa onyo kali sana juu ya waandishi kutoa taarifa za vifo na majeruhi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣wewe ndio hujitambuhi braza, wala hakuna unachokielewa hapa, kaa kwa kutulia ok
Akili za kizayuni. Bora uwe kama sisi Waisrael wa kiroho. Hao watakuvuruga akili wala hawahitaji mtu awatetee au ajiunge nao. Hahaha
 
A senior official from the Israeli Army announced that Hamas has electronic warfare systems that disrupts the Iron Dome.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa Iron dome na ground invasion gaza umeziconnect vipi
[emoji3][emoji3][emoji3] swali zuri sana.Nasubiri jibu pia
 
na wakati hamas wakiua wanawake, watoto, wazee, wa israel na watu wa mataifa mengine na wakiteka nyara wasio waisrael ile haikuwa collective punishment?
Kile kikundi hakiwakilishi Wapalestina wote.
 
Na video za HAMAS wakiwa wamejeruhiwa hizo huna?
 
Israel-Palestine war LIVE: IDF expands ground operations in 'rolling start' to Gaza invasion, 150 underground bases are hit and 'two Hamas commanders killed' in night of carnage​

Israel-Palestine war LIVE: IDF expands ground operations in 'rolling start' to Gaza invasion, 150 underground bases are hit and 'two Hamas commanders killed' in night of carnage​

Hamas underlined that its forces in Gaza were ready to confront Israeli attacks with "full force"
 
Habari, nmevutiwa na hiki kitu. Naomba nifafanulie hizo ni nchi gani kwa sasa maana nmevutiwa kujua na kujifunza nawe.

Falme hizo kama zinavyojidhihirisha katika taifa la Mungu kwenye biblia ni MISRI, ASHURU, BABELI, UMEDI & UAJEMI, UYUNANI, RUMI YA KIPAGANI na RUMI YA KIDINI. Maana kwa mm ukisema

Uajemi ni Irani
Misri ni misri
Rumi ya kidini ni europe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…