LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Japo sijasoma ulichoandika ila naamini umeandika ujinga,

Na tambua Hamas ni wanaume wa kweli na watashinda dhidi ya madhalimu ..
Mkuu ndio nimeandika ujinga ila sasa wanalia lia nini kutafuta huruma.
Mara oooh mtuombee
Mara oooh tunaonewa.
Wanaume wa kweli waga wanalialia kweli na kutafuta huruma wakati wa vita.
 
Mimi nauliza mfano Hamas asingelianzisha vanga ina maana kusingekua na vita ? Je , hawa watu (Palestine na Israel) walishagawana mipaka ? au kuna mmoja anataka eneo kubwa zaidi au anataka kila mmoja anataka amfute mwenzake mazima amiliki eneo mwenyewe !! Nisaidieni mimi ni Generation Z
 
A quick analysis of tonight's events in Gaza:
Israeli army tanks attempted to penetrate the Gaza border but failed and suffered heavy losses, according to several Hebrew sources.

Also, some Israeli tanks entered the border, but were ambushed, forcing the occupation forces to retreat. Until this moment, Israel has lost more than 20 tanks in Gaza
 
Kuna Vita isiyo namateka au vifo.

Unadhani hakuna Hamas waliodakwa pia?

Akili za Tandale hizi.
 
Mnasemaga hv hv kujifariji tokea mwaka 1967
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…