kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Sasa unategemea Hamas anajificha wapi Zaid ya katikat ya watu na mahospitalin na misikitin. Na Israel imewaambia safari hii wanapiga popote watakapojificha. Waliua kikatili nao wanatumia njia hiyo hiyo. Mpaka waombe poo subiri.Tatizo Israel wanaua watoto, wanawake, wakiua askari hakuna atakaelalamika