LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hamas ni jeshi bora kabisa dunian,isarel n mmarekani watapata kichapo sana sana
 
Wataachaje kuua watoto wakati wapiganaji wanatumia raia kujikinga?
Kama wao ni wanaume waende mstari wa mbele, pia raia wameonywa kuondoka hawataki unategemea waachwe huku wao wakiendelea kurusha silaha israel?

Acha haya maujinga nyie
Raia waondoke waende wapi?
 
Sasa unategemea Hamas anajificha wapi Zaid ya katikat ya watu na mahospitalin na misikitin. Na Israel imewaambia safari hii wanapiga popote watakapojificha. Waliua kikatili nao wanatumia njia hiyo hiyo. Mpaka waombe poo subiri.
Ulivyo mjinga unadhani Gaza itafutwa? Gaza ina wakazi zaidi ya milioni 2.5 na hawaendi popote wako hapo hapo.
 
Naamka usiku wa manane kuwambea dua waislam wa Palestina.
Pia familia yangu yote niamsha kufanya dua maalum kuwapombea Palestina wanaonyanganywa ardhi yao.
Dua ni silaha kwa adui
1698562877548.png
 
Kwa nini wao wanajificha kwa watoto na wanawake kama hawataki hao watoto wapigwe?
Popote watakapojificha au kutumia kujifichia kitaangamizwa bila jicho la huruma
Nilitegemea wangeendelea kusherehekea kama walivyofanya wakati Israel walivyoshambuliwa
 
Baada ya ahadi za muda mrefu kwamba Israel ikiingia Gaza na wao watarudisha mapigo.Leo kundi hilo lenye silaha za kisasa zaidi kushinda Hamas wameanza vita na Israel.

Tangu Israel ianze kushambulia kusini mwa Lebanon karibu askari 50 wa kundi hilo wameuwawa bila kuonesha kurudisha mapigo.

Muda mfupi uliopita jeshi la idf limesema limerushiwa kombora la kutungulia ndege kwenye ndege zao sambamba na mengine kadhaa yaliyoelekezwa katikati ya nchi.

Inakumbukwa mnamo mwaka 2006 HizbuLah waliweza kulitia hasara kubwa jeshi la Israel na hatimae vita hivyo kusitishwa.
Mnaanzaga hv hv na baadae mnakimbia.
Unakumbuka uliniambia IDF inaogopa kuingia Gaza?
NB: NILIKUAMBIAGA TUCHAMBUE KWA DATA NA UHALISIA WA UWANJA WA MAPAMBANO VITA VYA 2006 KATI YA IDF NA HEZBOLLAH
ILA UKANIKIMBIA.
TATIZO WEWE NI MDINI NA MSHABIKI ILA SIO MCHAMBUZI WA MEDANI ZA HALI HALISI KWENYE UWANJA WA VITA.
 
Sijui hao wanaosema Israel inashambuliwa wanapata wapi news. Hivi sasa hali ni tete Gaza. Hamas wanashambuliwa mno kiasi cha kwamba hali ya raia nayo siyo salama hata kidogo. Tatizo kubwa ni kwamba Hamas wanajificha kwa raia na pia wamechimba mahandaki chini ya hospitali na sehemu zingine za huduma ya jamii. Israel nayo inasema watawafuata huko huko walipojificha Hamas. In the next two months, Gaza itakuwa tambarare. Hali si shwari kabisa Gaza

Msako wa magaidi unaendelea kama kawa
 
Back
Top Bottom