4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
mbaaz [emoji23][emoji23][emoji23]mama samia siawape hao magaidi angalau ton 40 za mbaazi wawaachie waTanzania wenzetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbaaz [emoji23][emoji23][emoji23]mama samia siawape hao magaidi angalau ton 40 za mbaazi wawaachie waTanzania wenzetu.
Raia waondoke waende wapi?Wataachaje kuua watoto wakati wapiganaji wanatumia raia kujikinga?
Kama wao ni wanaume waende mstari wa mbele, pia raia wameonywa kuondoka hawataki unategemea waachwe huku wao wakiendelea kurusha silaha israel?
Acha haya maujinga nyie
Ulivyo mjinga unadhani Gaza itafutwa? Gaza ina wakazi zaidi ya milioni 2.5 na hawaendi popote wako hapo hapo.Sasa unategemea Hamas anajificha wapi Zaid ya katikat ya watu na mahospitalin na misikitin. Na Israel imewaambia safari hii wanapiga popote watakapojificha. Waliua kikatili nao wanatumia njia hiyo hiyo. Mpaka waombe poo subiri.
Kwani nani alikuanbia kwamba Hamas wote ni wanaume na ni watu wazima?Tatizo Israel wanaua watoto, wanawake, wakiua askari hakuna atakaelalamika
Hizi ni habari zinazotolewa na wavaa makubasi ktk kujifariji. Eti nao wanafanya propaganda
When you grab the balls of a wild lion, death is a necessary outcome.Naamka usiku wa manane kuwambea dua waislam wa Palestina.
Pia familia yangu yote niamsha kufanya dua maalum kuwapombea Palestina wanaonyanganywa ardhi yao.
Dua ni silaha kwa adui
View attachment 2796545
Washakufa kibao. Bado unatia takwimu za kabla ya vita??Ulivyo mjinga unadhani Gaza itafutwa? Gaza ina wakazi zaidi ya milioni 2.5 na hawaendi popote wako hapo hapo.
Wamekufa wangapi? wanafika laki tano? Hata wakifa milioni bado waliobaki watakuwa wengi tuWashakufa kibao. Bado unatia takwimu za kabla ya vita??
😂 😂.. magaidi wawe bora kuliko wenye dunia?Hamas ni jeshi bora kabisa dunian,isarel n mmarekani watapata kichapo sana sana
Tatizo Israel wanaua watoto, wanawake, wakiua askari hakuna atakaelalamika
Ni jeshi bora kabisa😂 😂.. magaidi wawe bora kuliko wenye dunia?
Mahali salama, kukaa pamoja na magaidi ni hatari.Raia waondoke waende wapi?
Nilitegemea wangeendelea kusherehekea kama walivyofanya wakati Israel walivyoshambuliwaKwa nini wao wanajificha kwa watoto na wanawake kama hawataki hao watoto wapigwe?
Popote watakapojificha au kutumia kujifichia kitaangamizwa bila jicho la huruma
Nilitegemea wangeendelea kusherehekea kama walivyofanya wakati Israel walivyoshambuliwa
Mnadanganywa sana na media za propaganda.
Tazameni wayahudi wakichezea kichapo:
View: https://youtu.be/oxuYgOrxRiw?si=sUlAP3AOkq1i8bl1
Mnaanzaga hv hv na baadae mnakimbia.Baada ya ahadi za muda mrefu kwamba Israel ikiingia Gaza na wao watarudisha mapigo.Leo kundi hilo lenye silaha za kisasa zaidi kushinda Hamas wameanza vita na Israel.
Tangu Israel ianze kushambulia kusini mwa Lebanon karibu askari 50 wa kundi hilo wameuwawa bila kuonesha kurudisha mapigo.
Muda mfupi uliopita jeshi la idf limesema limerushiwa kombora la kutungulia ndege kwenye ndege zao sambamba na mengine kadhaa yaliyoelekezwa katikati ya nchi.
Inakumbukwa mnamo mwaka 2006 HizbuLah waliweza kulitia hasara kubwa jeshi la Israel na hatimae vita hivyo kusitishwa.
Hamas wanarusha makombora wakiwa wamejificha mahospitalini na mashuleni. Hivyo hakuna namna! acha dawa iwaingieTatizo Israel wanaua watoto, wanawake, wakiua askari hakuna atakaelalamika
Sijui hao wanaosema Israel inashambuliwa wanapata wapi news. Hivi sasa hali ni tete Gaza. Hamas wanashambuliwa mno kiasi cha kwamba hali ya raia nayo siyo salama hata kidogo. Tatizo kubwa ni kwamba Hamas wanajificha kwa raia na pia wamechimba mahandaki chini ya hospitali na sehemu zingine za huduma ya jamii. Israel nayo inasema watawafuata huko huko walipojificha Hamas. In the next two months, Gaza itakuwa tambarare. Hali si shwari kabisa Gaza