LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Tatizo Israel wanaua watoto, wanawake, wakiua askari hakuna atakaelalamika
Sasa unategemea Hamas anajificha wapi Zaid ya katikat ya watu na mahospitalin na misikitin. Na Israel imewaambia safari hii wanapiga popote watakapojificha. Waliua kikatili nao wanatumia njia hiyo hiyo. Mpaka waombe poo subiri.
 
Millitary analyst wa Bongo.Mambo yetu kivyetu vyetu[emoji23][emoji23]
IMG_20231028_224710.jpg
 
Baada ya ahadi za muda mrefu kwamba Israel ikiingia Gaza na wao watarudisha mapigo.Leo kundi hilo lenye silaha za kisasa zaidi kushinda Hamas wameanza vita na Israel.

Tangu Israel ianze kushambulia kusini mwa Lebanon karibu askari 50 wa kundi hilo wameuwawa bila kuonesha kurudisha mapigo.

Muda mfupi uliopita jeshi la idf limesema limerushiwa kombora la kutungulia ndege kwenye ndege zao sambamba na mengine kadhaa yaliyoelekezwa katikati ya nchi.

Inakumbukwa mnamo mwaka 2006 HizbuLah waliweza kulitia hasara kubwa jeshi la Israel na hatimae vita hivyo kusitishwa.
baada ya Gaza yote kuchukuliwa mtaanza kusema free Gaza wkt mlianzisha uchokoz na bado mnaendeleza uchokoz
 
Sijui hao wanaosema Israel inashambuliwa wanapata wapi news. Hivi sasa hali ni tete Gaza. Hamas wanashambuliwa mno kiasi cha kwamba hali ya raia nayo siyo salama hata kidogo. Tatizo kubwa ni kwamba Hamas wanajificha kwa raia na pia wamechimba mahandaki chini ya hospitali na sehemu zingine za huduma ya jamii. Israel nayo inasema watawafuata huko huko walipojificha Hamas. In the next two months, Gaza itakuwa tambarare. Hali si shwari kabisa Gaza
 
Hii imenifanya Nicheke sana Marekani Hajawahi Kwenda Kupigana bila Mbwa wake nyuma yaani yeye kama yeye Mtu mmoja Hana ubavu huo

USA never goes to a party without friends, because the fear of getting knocked out is real

Along with American warships, NATO also sent its own toys for Gaza
Kwenye vita Kawaida hiyo nyuma ya magaidi ya hamas yupo iran, lebanon na wasaidizi wengine.
Kwenye vita ya ukraine urusi anasaidiwa na Iran.
 
Hao magaidi mbona hawataki kuwaachilia hata wale watanzania na mateka wote kwa ujumla, je wanafikiri kuwazuilia mataka kutawasaidiaje kufanikisha ndoto yao
Pelekeni tani 30 za mahindi ndugu zetu waachiwe
 
Kila siku nazidi kuombea na kufurahia amani ya Nchi yangu

nawaombea watoto na wajukuu zangu waishi katika Tanzania yenye amani kama ninavyoishi Baba na Babu yao.

Amani ndio kila kitu
 
A quick analysis of tonight's events in Gaza:
Israeli army tanks attempted to penetrate the Gaza border but failed and suffered heavy losses, according to several Hebrew sources.

Also, some Israeli tanks entered the border, but were ambushed, forcing the occupation forces to retreat. Until this moment, Israel has lost more than 20 tanks in Gaza
Hamas wana hamas za hali ya juu kupigana.Netanyahu kasema anapiga avunje serikali yao,wakiwaachia mateka pia haisaidii.Na wana njaa na kiu.Wasipokufa sasa watauliwa baadae.
Hata kama mimi napigana kwa nguvu zote.Kwanza nachukua chakulana maji kwenye kibegi cha IDF halafu naondoka na bunduki.
 
Back
Top Bottom