Sasa unategemea Hamas anajificha wapi Zaid ya katikat ya watu na mahospitalin na misikitin. Na Israel imewaambia safari hii wanapiga popote watakapojificha. Waliua kikatili nao wanatumia njia hiyo hiyo. Mpaka waombe poo subiri.Tatizo Israel wanaua watoto, wanawake, wakiua askari hakuna atakaelalamika
Watanzania Hamas hawana shida naoHao magaidi mbona hawataki kuwaachilia hata wale watanzania na mateka wote kwa ujumla, je wanafikiri kuwazuilia mataka kutawasaidiaje kufanikisha ndoto yao
Millitary analyst wa Bongo.Mambo yetu kivyetu vyetu[emoji23][emoji23]
Young Boy Recites Song on Hamas TV: The Jews Are Barbaric Apes, the Most Evil of CreaturesTutaendelea kuwaunga mkono wapalestina na kuendelea kuwaombea ndugu katika imaani. Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kila majaribu wanayopitia
Allahumma Amiin Amiin
Iko live saa hii wanaingia mlango kwa mlango wapo humo Gaza na bendera kabisa.Hii mijamaa ni mijinga kweli kweli. Sasa inashangilia ikiwauwa askari wa Israel ila kichapo kikirud wanaanza kulia lia kuonewa huruma
Dah askari msomali wa Hargeisa Somali land.
baada ya Gaza yote kuchukuliwa mtaanza kusema free Gaza wkt mlianzisha uchokoz na bado mnaendeleza uchokozBaada ya ahadi za muda mrefu kwamba Israel ikiingia Gaza na wao watarudisha mapigo.Leo kundi hilo lenye silaha za kisasa zaidi kushinda Hamas wameanza vita na Israel.
Tangu Israel ianze kushambulia kusini mwa Lebanon karibu askari 50 wa kundi hilo wameuwawa bila kuonesha kurudisha mapigo.
Muda mfupi uliopita jeshi la idf limesema limerushiwa kombora la kutungulia ndege kwenye ndege zao sambamba na mengine kadhaa yaliyoelekezwa katikati ya nchi.
Inakumbukwa mnamo mwaka 2006 HizbuLah waliweza kulitia hasara kubwa jeshi la Israel na hatimae vita hivyo kusitishwa.
kwann wasiwaachie?Watanzania Hamas hawana shida nao
Baada ya Urusi Sasa ni Tanzania
Kwenye vita Kawaida hiyo nyuma ya magaidi ya hamas yupo iran, lebanon na wasaidizi wengine.Hii imenifanya Nicheke sana Marekani Hajawahi Kwenda Kupigana bila Mbwa wake nyuma yaani yeye kama yeye Mtu mmoja Hana ubavu huo
USA never goes to a party without friends, because the fear of getting knocked out is real
Along with American warships, NATO also sent its own toys for Gaza
Pelekeni tani 30 za mahindi ndugu zetu waachiweHao magaidi mbona hawataki kuwaachilia hata wale watanzania na mateka wote kwa ujumla, je wanafikiri kuwazuilia mataka kutawasaidiaje kufanikisha ndoto yao
Hamas wana hamas za hali ya juu kupigana.Netanyahu kasema anapiga avunje serikali yao,wakiwaachia mateka pia haisaidii.Na wana njaa na kiu.Wasipokufa sasa watauliwa baadae.A quick analysis of tonight's events in Gaza:
Israeli army tanks attempted to penetrate the Gaza border but failed and suffered heavy losses, according to several Hebrew sources.
Also, some Israeli tanks entered the border, but were ambushed, forcing the occupation forces to retreat. Until this moment, Israel has lost more than 20 tanks in Gaza
Poa mkuuWatu wazima hatuna makando kando mkuu