Wanaume wanaojificha nyuma ya watoto na wanawake. ?Japo sijasoma ulichoandika ila naamini umeandika ujinga,
Na tambua Hamas ni wanaume wa kweli na watashinda dhidi ya madhalimu ..
Watazoea kuishi kwa kufanya utekaji, dawa ni kuungana na Israeli kuwatokomeza.mama samia siawape hao magaidi angalau ton 40 za mbaazi wawaachie waTanzania wenzetu.
Wataachaje kuua watoto wakati wapiganaji wanatumia raia kujikinga?Tatizo Israel wanaua watoto, wanawake, wakiua askari hakuna atakaelalamika
Unafikiri wakiua magaidi hao Hamas watakubali si watasema tu kwamba Israel wameua wanawake na watoto.Tatizo Israel wanaua watoto, wanawake, wakiua askari hakuna atakaelalamika
It's just a matter of days before the rockets are completely muzzled.
Hata 2006 walidhani hivyohivyo.It's just a matter of days before the rockets are completely muzzled.
Si ni nyie mnaounga mkono ugaidi ndio waga mnasema Marekani hana lolote sasa tushike ipi.Wayahudi bila mabwana zao wa Kamarekani hawana ujanja.
Kwa hiyo, hiyo 2006 yenu waarabu walifanikiwa kuifuta kabisa Israel kwenye ramani ya dunia...😂😂😂Hata 2006 walidhani hivyohivyo.
Kunaugaidi zaidi wa wayahudi na Samarekeani? Kuwa mkweli wa nafsi yako.Si ni nyie mnaounga mkono ugaidi ndio waga mnasema Marekani hana lolote sasa tushike ipi.
Hii mijamaa ni mijinga kweli kweli. Sasa inashangilia ikiwauwa askari wa Israel ila kichapo kikirud wanaanza kulia lia kuonewa huruma
Mashoga halafu wanawapa kichapo Sheikh. Kweli mnakula urojo. Hamas wenyewe wanalianzisha halafu wanakimbia wangejitokeza kama askari wapigane na mashoga sasa mbona wanajificha mashimoni kama kenge.Tatizo la hao mashoga mnaowatetea wanaua raia wasio na hatia walitakiwa wapigane na hao Hamas wenyewe sio kulipua grocery ,holy houses,hospitals,bakery ndio kuna Hamas huko?
Mashoga halafu wanawapa kichapo Sheikh. Kweli mnakula urojo. Hamas wenyewe wanalianzisha halafu wanakimbia wangejitokeza kama askari wapigane na mashoga sasa mbona wanajificha mashimoni kama kenge.
Vip bado Israel inaogopa kuingia Gaza au kichapo kishaanza
Wapigane nao kivipi huku ngao yao watoto na wamama mbele.wapigane na hao Hamas wenyewe
Wacha kazi iendeleeBaada ya ahadi za muda mrefu kwamba Israel ikiingia Gaza na wao watarudisha mapigo.Leo kundi hilo lenye silaha za kisasa zaidi kushinda Hamas wameanza vita na Israel.
Tangu Israel ianze kushambulia kusini mwa Lebanon karibu askari 50 wa kundi hilo wameuwawa bila kuonesha kurudisha mapigo.
Muda mfupi uliopita jeshi la idf limesema limerushiwa kombora la kutungulia ndege kwenye ndege zao sambamba na mengine kadhaa yaliyoelekezwa katikati ya nchi.
Inakumbukwa mnamo mwaka 2006 HizbuLah waliweza kulitia hasara kubwa jeshi la Israel na hatimae vita hivyo kusitishwa.
Unaleta malumbano ya nini wakati dunia nzima inafahamu vizuri kabisa kwamba magaidi ni watu gani.Kunaugaidi zaidi wa wayahudi na Samarekeani? Kuwa mkweli wa nafsi yako.
Hamas wako wapi si wenyewe ndio wanadai wameporwa ardhi sasa wataipataje kama wanajificha kwenye mahandaki chini ya ardhi kama mapanya si wawafuate waisrael wawapige wakomboe ardhi yao. Bure kabisa.Tatizo la hao mashoga mnaowatetea wanaua raia wasio na hatia walitakiwa wapigane na hao Hamas wenyewe sio kulipua grocery ,holy houses,hospitals,bakery ndio kuna Hamas huko?
Unalojazwa ujinga wewe ndiyo imeshakuwa dunia nzima?Unaleta malumbano ya nini wakati dunia nzima inafahamu vizuri kabisa kwamba magaidi ni watu gani.