LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Tatizo Israel wanaua watoto, wanawake, wakiua askari hakuna atakaelalamika
Wataachaje kuua watoto wakati wapiganaji wanatumia raia kujikinga?
Kama wao ni wanaume waende mstari wa mbele, pia raia wameonywa kuondoka hawataki unategemea waachwe huku wao wakiendelea kurusha silaha israel?

Acha haya maujinga nyie
 
Hii mijamaa ni mijinga kweli kweli. Sasa inashangilia ikiwauwa askari wa Israel ila kichapo kikirud wanaanza kulia lia kuonewa huruma

Tatizo la hao mashoga mnaowatetea wanaua raia wasio na hatia walitakiwa wapigane na hao Hamas wenyewe sio kulipua grocery ,holy houses,hospitals,bakery ndio kuna Hamas huko?
 
Tatizo la hao mashoga mnaowatetea wanaua raia wasio na hatia walitakiwa wapigane na hao Hamas wenyewe sio kulipua grocery ,holy houses,hospitals,bakery ndio kuna Hamas huko?
Mashoga halafu wanawapa kichapo Sheikh. Kweli mnakula urojo. Hamas wenyewe wanalianzisha halafu wanakimbia wangejitokeza kama askari wapigane na mashoga sasa mbona wanajificha mashimoni kama kenge.
 
Baada ya ahadi za muda mrefu kwamba Israel ikiingia Gaza na wao watarudisha mapigo.Leo kundi hilo lenye silaha za kisasa zaidi kushinda Hamas wameanza vita na Israel.

Tangu Israel ianze kushambulia kusini mwa Lebanon karibu askari 50 wa kundi hilo wameuwawa bila kuonesha kurudisha mapigo.

Muda mfupi uliopita jeshi la idf limesema limerushiwa kombora la kutungulia ndege kwenye ndege zao sambamba na mengine kadhaa yaliyoelekezwa katikati ya nchi.

Inakumbukwa mnamo mwaka 2006 HizbuLah waliweza kulitia hasara kubwa jeshi la Israel na hatimae vita hivyo kusitishwa.
Wacha kazi iendelee
 
Tatizo la hao mashoga mnaowatetea wanaua raia wasio na hatia walitakiwa wapigane na hao Hamas wenyewe sio kulipua grocery ,holy houses,hospitals,bakery ndio kuna Hamas huko?
Hamas wako wapi si wenyewe ndio wanadai wameporwa ardhi sasa wataipataje kama wanajificha kwenye mahandaki chini ya ardhi kama mapanya si wawafuate waisrael wawapige wakomboe ardhi yao. Bure kabisa.
 
Unaleta malumbano ya nini wakati dunia nzima inafahamu vizuri kabisa kwamba magaidi ni watu gani.
Unalojazwa ujinga wewe ndiyo imeshakuwa dunia nzima?

Ikiwa wewe umejazwa ujinga wakuamini myahudi ni Mungu wako, usifikiri dunia nzima wana ujinga huo.

Umeitaza avideo clip niliyoiweka juu hapo? Au bando la shemeji?
 
Back
Top Bottom