LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hamas ni jeshi bora kabisa dunian,isarel n mmarekani watapata kichapo sana sana
 
Wataachaje kuua watoto wakati wapiganaji wanatumia raia kujikinga?
Kama wao ni wanaume waende mstari wa mbele, pia raia wameonywa kuondoka hawataki unategemea waachwe huku wao wakiendelea kurusha silaha israel?

Acha haya maujinga nyie
Raia waondoke waende wapi?
 
Sasa unategemea Hamas anajificha wapi Zaid ya katikat ya watu na mahospitalin na misikitin. Na Israel imewaambia safari hii wanapiga popote watakapojificha. Waliua kikatili nao wanatumia njia hiyo hiyo. Mpaka waombe poo subiri.
Ulivyo mjinga unadhani Gaza itafutwa? Gaza ina wakazi zaidi ya milioni 2.5 na hawaendi popote wako hapo hapo.
 
Kwa nini wao wanajificha kwa watoto na wanawake kama hawataki hao watoto wapigwe?
Popote watakapojificha au kutumia kujifichia kitaangamizwa bila jicho la huruma
Nilitegemea wangeendelea kusherehekea kama walivyofanya wakati Israel walivyoshambuliwa
 
Mnaanzaga hv hv na baadae mnakimbia.
Unakumbuka uliniambia IDF inaogopa kuingia Gaza?
NB: NILIKUAMBIAGA TUCHAMBUE KWA DATA NA UHALISIA WA UWANJA WA MAPAMBANO VITA VYA 2006 KATI YA IDF NA HEZBOLLAH
ILA UKANIKIMBIA.
TATIZO WEWE NI MDINI NA MSHABIKI ILA SIO MCHAMBUZI WA MEDANI ZA HALI HALISI KWENYE UWANJA WA VITA.
 

Msako wa magaidi unaendelea kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…