Mimi nashangilia mpaka kesho, hivi unafikiri Mpalestina kakaa kijinga? Tazama kimbembe hiki:Tulia dawa iwaingie. Si ulishangilia kipindi hamas wanaua Waisraeli
Acha kuchamba na kulalamika hapa JF.
Nawe nenda huko Gaza ukawapiganie wapalestina.
Hizo picha ni kutafuta tu huruma hata hamas waliua watu mchanganyiko wakiwemo watoto, kuna jamii inaishi watoto wenyewe kuanzia miaka 7-12 bila watu wazima?ndio maana Israel wameumua kuwamaliza hawa watoto sio? Ndio taifa teule waliotumwa na mungu kuua watoto sio?
Kujificha ni mbinu ya kivita. Kitu kama ujui kaa kmyaMashoga halafu wanawapa kichapo Sheikh. Kweli mnakula urojo. Hamas wenyewe wanalianzisha halafu wanakimbia wangejitokeza kama askari wapigane na mashoga sasa mbona wanajificha mashimoni kama kenge.
Tatizo ni kwamba Kuna wapelestina wanawapenda Hamas kuliko ndugu zao wako radhi kutohama maeneo hatarishi kisa tu Hamas wamewaambia msiondoke, mzazi anayeipenda familia yake hawez wasikiliza hao wajinga maana wao ni wanajeshi wameshaapa wanajua muda wwte wanauliwa, zipo sehemu salama kwa raia kwann wasipelekwe huko kuliko kupelekea umauti wa kulazimishwa?Kwamba hamas wamejificha na hawa watoto?mbona sioni maiti zao hapaView attachment 2796608
Ndoo hapo mkuu najiulizaga kila siku. Hawa watu ni watu wakuwaogopa saana na wanajua kuchagua na picha za kupost ili waonewe huruma. Ila uzuri israel hana ujinga huo anaua hata wajifiche katikati ya wazeeWalichokoza, wao wakaua bila kuchagua wanaua nini saivi wanasema eti watoto na wanawake na vikongwe tu ndo wameuawa, ni jamii gani hiyo wanatenga watoto na wanawake tu kukaa bila wanaume? Afu wanasahau hamas wanajificha katikati ya raia kwaivo walitaka Israel wawachambue vipi ndo warushe kombora
Kama wanapiga, mbona wanalia?Mnadanganywa sana na media za propaganda.
Tazameni wayahudi wakichezea kichapo:
View: https://youtu.be/oxuYgOrxRiw?si=sUlAP3AOkq1i8bl1
Kulia kuna ajabu ipi? Wewe hulii?Kama wanapiga, mbona wanalia?
Wanalia wasaidiwe...Kulia kuna ajabu ipi? Wewe hulii?
Sasa mbona unalalamika waambie wakajifiche tena hospital waone ule moto kama wa juz. Vita walianzisha kikatili so wasilalamike wakijibiwa kikatili.Kujificha ni mbinu ya kivita. Kitu kama ujui kaa kmya
Kulia kuna ajabu ipi? Wewe hulii?
Kitabu cha Mungu kama ningeandika mimi wasukuma wote ningewaweka kwenye daraja maarumu na wangepata kinga kubwa kwa kuwatisha makabila mengine.
Hicho ndicho walichofanya walioandika kitabu kile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanamgambo wa Israel kaminywaHii mijamaa ni mijinga kweli kweli. Sasa inashangilia ikiwauwa askari wa Israel ila kichapo kikirud wanaanza kulia lia kuonewa huruma
Hahahaha ucrud ukilia tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanamgambo wa Israel kaminywaView attachment 2796859
Kwa hiyo mchukua videos yuko nyuma? Au hao Hezbola / Hamas pia walikuwa nyuma ya Waisraeli wakichukua hizo video? Endeleeni kujifariji. Sie tunaona live kinachoendelea. Siyo computer programming.Mnadanganywa sana na media za propaganda.
Tazameni wayahudi wakichezea kichapo:
View: https://youtu.be/oxuYgOrxRiw?si=sUlAP3AOkq1i8bl1