LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Haha haaa. Kumbe wewe mbaazi? Israel anakitu gani? Sema USA , NATO na UK wanashirikiana kupigana na hamas. Isreal cha mtoto. Isreal bila NATIO; AMERICA sawa na kumsukuma mlevi.
Isreal akisimama pekee yake Tanzania wanampiga
Ahahahahaha! Kwahiyo ndio kusema Hamas na Waarabu wanawaogopa Marekani na NATO sio? Basi nimekuelewa.
 
Haha haaa. Kumbe wewe mbaazi? Israel anakitu gani? Sema USA , NATO na UK wanashirikiana kupigana na hamas. Isreal cha mtoto. Isreal bila NATIO; AMERICA sawa na kumsukuma mlevi.
Isreal akisimama pekee yake Tanzania wanampiga
Samahani ndugu! Hivi upo serious?
 
Huo ushahidi alioutoa upo wapi? Uweke hapa basi nasi tuuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema hivi vita vya kidini
Vita vya kidini wapi wewe mjinga;
Unadhani Palestine Kuna dini moja tu
Na Israel unadhani Kuna dini moja
Wanaunga mkono Palestine Ni dini moja tu ????
Je wanaunga Israel Ni Dini moja tu ?
Siku nyingine ufiche upumbavu wako usiwadhalilisha wenzako
 
Vita vya kidini wapi wewe mjinga;
Unadhani Palestine Kuna dini moja tu
Na Israel unadhani Kuna dini moja
Wanaunga mkono Palestine Ni dini moja tu ????
Je wanaunga Israel Ni Dini moja tu ?
Siku nyingine ufiche upumbavu wako usiwadhalilisha wenzako
Hivi ni vita vya kidini dhidi ya waislam
 
Ete Osama bin Laden naye alikuwa anafanya yote yale kwa niaba ya Mungu wetu huyu huyu. HIVI HAO MABIKIRA WALIOKO MBINGUNI NI WAHINDI AU WACHINA AU WAZUNGU AU WAAFRIKA AU DADA ZAO WAARABU?
 
Sijawai kuona sheikh akitabiri jambo alafu likatokea...

Alafu kabla yakuchagua upande wa wafilisti ambao ni wapalestina, unatakiwa ujue kwamba hao jamaa wameteka Watanzania wenzetu, hivyo pia ni maadui kwetu
 
Dini ni utumwa wa waafrika wengi sana.

Sisi kama Atheists tunapo jaribu kuwa elewesha wafia dini, Wana ishia kubisha bisha tu na hoja zao dhaifu.

Dini zimepumbaza Akili za waafrika wengi sana.
 
Hivi ni vita vya kidini dhidi ya waislam
Jibu maswali Kwanza
Palestine Kuna dini moja tu? Israel Kuna dini moja tu ?
Kama huwezi jibu tulia achana na haya Mambo yanakuzidi uwezo ,

usionekane pimbi aliyekaririshwa vitu na kuvisema Kama zuzu bila kufikiri
 
Huyu shekhe aminikumbusha jambo moja kwamba mnafiki siku zote husimamia unafiki wake,.
Amesema Israel alitetewa na Mungu ,hilo ni neno na ahadi ya Mungu kwa Yakobo, aitwaye Israel.
Leo hio kizazi cha cha Israel limezungukwa na maadui, ulimwengu mzima unaandamana juu yao, lakini Mungu hatawaacha atawatetea hata ulimwengu wote utawatenga.
Ni swala la muda tu shekhe atnyamaza au atakuja analia wanawake na watoto wanauliwa
 
Kwa hiyo wamekimbia kutoka Gaza au wanaendelea na kazi ya kuwasaka Hamas waliojificha kwa kuvaa madera na hijab hospitalini!
 
Wako walipo jikusanya mwanza wanadhani Gaza ni sehemu ya kutengeneza Hollywood film, wataishia hapo hapo walipo.

Mtasikia Israel anaomba peace kwa kuwatumia vibaraka vyao wa kiarabu.
 
Habari za karibuni kutoka televisheni ya Aljazeera zimesema wanamgambo wa Hamas wametangaza kuwa vifaru na matingatinga ya Israel vimelazimika kurudi nyuma baada ya mapigano baina yao.

Taarifa hii itakuwa inaendana na zile taarifa za mashambulizi yaliyoitwa ya awamu ya pili ambapo vifaru zaidi ya ishirini vilioneshwa vikipigwa na kuungua kutoka katika makombora ya Hamas

Taarifa hiyo ya Hamas bado haijathibitishwa na jeshi la Idf.Hata hivyo jeshi hili limekiri kuwa hapo juzi kulikuwa na mapambano na wanamgambo wa Hamas ndani ya Israel maeneo ya Erez ikiwa ni wiki ya tatu tangu shambulio la kushtukiza la Oktoba 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…