Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Wapiganaji watatumia radio call wasiliano ya settlite .kitakachofuata hapo, hakutakuwa na mawasiliano ya simu, wala radio wala tv, unabaki unakimbiakimbia tu hujui wenzako wako wapi. hata kwa magaidi hayatajua wenzao wapo wapi, wajipaneje, shida tupu.
Urban warfare ni ngumu sana na inachukua muda mrefu.Kweli maana mazingira ya kule alafu kila mtu ni adui hadi raia ni noma. Urban war ni ngumu sana. Hata US wenyewe huwa wanakimbia.
Russia na USA hawapitwi na jambo
shida yenu huwa ni shule. tangu mwaka 1951 kuna sheria Israel inaitwa Civil defence law, ambayo kila ukijenga nyumba, lazima uweke "bomb shelter" yaani handaki chini yake ambapo vita ikianza, unaweza kukimbilia chini maisha yakaendelea.Una ushahidi wa hichi unachoandika au story za kahawa?😂
Ngoja kwanza, kwahiyo hoja imehama kutoka Israel kufeli operation mwaka 2014 na sasa hoja ni Mossad walikuwa wapi leo.
Mossad sio Mungu kwamba kila siri wanatakiwa wajue. Na walishafeli missions nyingi tu, nyingine zikiwa za kwao wenyewe wakiandaa mashambulizi dhidi ya Israel au washirika wake ili wapate justification ya kutoa adhabu kwa wapinzani wao.
Ni jambo la kawaida Israel ikivamiwa wanakuwepo wapiga kelele wanaodai Israel itafeli, haina nguvu, itapigwa. Sanasana utakaa masaa 48 after that uanze kulialia na kutoa huruma kwa mashujaa wako wa s
Ooh ahsante sana mkuu kwa kunikumbusha.Alikuwa Gamal Nasser
Well said mkuuKwa jinsi shirika la kijasusi la Israeli la mossad lilivyo na uwezo mkubwa Basi hii inanifanya niamini huenda hili jambo walikua wanalijua litatokea hivyo wameacha kwa makusudi kabisa litokee ili kuonyesha dunia uchokozi wa hamas na kupata sapoti kubwa pale watakapoanza kujibu mapigo, na hili linaenda sambamba kabisa na suala la Saudi Arabia na Israeli kutaka kuestablish diplomatic relationship. Hivyo Kuna mchezo Hamas na palestina wanachezewa bila kujua.
Ni kweli, kama kwa hiki kilichofanyika leo hao madogo wa Hamas wangeingia na suicidal drones za iran kama hata buku na kuzilaunch kutokea ndani ya israel janga lingekuwa kubwa zaidi.Urban warfare ni ngumu sana na inachukua muda mrefu.
Na mbinu aliyoitumia Hamas ni Israel kujitia kitanzi mwenyewe. Mateka wote raia na makamanda wa kijeshi na wanajeshi wamewekwa Gaza. Na mateka ni wengi. Raia wake wamefanywa ngao. Akilipua lipua tu Gaza anawaua na watu wake.
Ngoja tuone atachukua uthubutu gani!
Hii ngoma nzito wakae mezani tuHamas wameanza upyaaa...
Muda huu wametarget Tel Aviv kabisa..
View: https://twitter.com/WarMonitors/status/1710704021504151788?t=9QXanf9ZjIQJddMENxQO2w&s=19
Ardhi ya palestine ni ya waarabu wa kabila la kanaani tangu kabla yaaqub ambaye ndiye israeli mwenyewe wala hajazaliwa, lakini wakati wa nabii musa alayhi ssalaam alipewa amri ya kuwatoa wana waisraeli utumwani huko misri kuwarudisha kwenye ardhi takatifu ya palestine wakakataa, mpaka baadae yushaa mwana wa nuni alayhi ssalaam alipofanikiwa kuwaingiza katika ardhi yao hiyo waliyoandikiwa.Naona dalili za siku moja kuja kutokea maafa duniani kama ya Hiloshima na Nagasaki. Marekani ilishatoa muongozo, na hii hali itajirudia tu wakati wowote. USA inaitetea Israel. Qatar na Iran wanaisupport Palestina. Makundi ya Kiislam lazima yaunge mkono Hamas. Mi sielewi lakini huo tu ni wasiwasi wangu.
Hivi,kwa anaeelewa History vizuli. Eneo Israel inalopigania huko Palestina ni lake,au ni ubabe tu?