LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
kitakachofuata hapo, hakutakuwa na mawasiliano ya simu, wala radio wala tv, unabaki unakimbiakimbia tu hujui wenzako wako wapi. hata kwa magaidi hayatajua wenzao wapo wapi, wajipaneje, shida tupu.
Wapiganaji watatumia radio call wasiliano ya settlite .
Ila raia wa kawaida watateseka maana taarifa itakuwa ngumu kupata.
Wasije wakawa wanaaribu hata miundombinu yao huko.
Vita vinaisha majengo , yote hamna kitu.
 
Kweli maana mazingira ya kule alafu kila mtu ni adui hadi raia ni noma. Urban war ni ngumu sana. Hata US wenyewe huwa wanakimbia.
Urban warfare ni ngumu sana na inachukua muda mrefu.

Na mbinu aliyoitumia Hamas ni Israel kujitia kitanzi mwenyewe. Mateka wote raia na makamanda wa kijeshi na wanajeshi wamewekwa Gaza. Na mateka ni wengi. Raia wake wamefanywa ngao. Akilipua lipua tu Gaza anawaua na watu wake.

Ngoja tuone atachukua uthubutu gani!
 
Una ushahidi wa hichi unachoandika au story za kahawa?😂
shida yenu huwa ni shule. tangu mwaka 1951 kuna sheria Israel inaitwa Civil defence law, ambayo kila ukijenga nyumba, lazima uweke "bomb shelter" yaani handaki chini yake ambapo vita ikianza, unaweza kukimbilia chini maisha yakaendelea.
 
Ngoja kwanza, kwahiyo hoja imehama kutoka Israel kufeli operation mwaka 2014 na sasa hoja ni Mossad walikuwa wapi leo.

Mossad sio Mungu kwamba kila siri wanatakiwa wajue. Na walishafeli missions nyingi tu, nyingine zikiwa za kwao wenyewe wakiandaa mashambulizi dhidi ya Israel au washirika wake ili wapate justification ya kutoa adhabu kwa wapinzani wao.

Ni jambo la kawaida Israel ikivamiwa wanakuwepo wapiga kelele wanaodai Israel itafeli, haina nguvu, itapigwa. Sanasana utakaa masaa 48 after that uanze kulialia na kutoa huruma kwa mashujaa wako wa s

Kwa hiyo ww makosa yakitokea upande wa unao wapenda ndo hoja ya wao ni binadamu sio mungu ina kuwa na maana, lakini ikitokea upande usio upenda sasa hapo hoja binadamu hajakamilka hivyo ana fanya makosa haina mashiko sio?

Ww si ndo unashinda humu unaziponda integensia za Urusi pale inapo tokea tukio lolote la kiusalama ndani ya nchi hiyo? Au kwenye integensia za Urusi malaika ndo wanao fanya kazi na sio binadamu hivyo hawasitahili kufanya makosa?

Tatizo lako mkuu huwa unaongea kumaliza na ndio maana mwisho huwa unajikuta umeumbuka.

Kila siku ulikuwa unaimwagia sifa mosad lakini leo hii hiyo mosad kwa miaka mingi imeshindwa kudhibiti kabisa silaha zi siifikie Hamas licha ya kuizingira gaza kila upande tena eneo lenyewe ni dogo mno.
Kwa udogo wa eneo la Israel kufanyiwa ambush kama ya leo ni dhihirisho tosha ya kuwa hiyo mosad huwa mnaikuza tu lakini ni ya kawaida sana.
Tabia yako ya kutokuwa na akiba ya maneno imekufanya mpaka sasa umeukimbia uzi wa vita ya Ukraine.
Ulikuwa unashinda kwenye uzi kazi yako ni kuzisifia silaha za kimagharibi kuwa ni bora na za Urusi ni dhaifu ,leo hii Ukraine unafanya Offenseve kwa kutumia maelfu ya hizo silaha za kimagharibi lakini mpaka sasa zimeshindwa kuisaidia Ukraine kuteka hata wilaya moja kwa zaidi ya miezi 5.
 
Ni mimi tu au hadi nyie munahisi kuna mfumuko wa bei unakuja na vita ya Israel na Palestina inaenda kuangushiwa jumba bovu kwamba ndio chanzo 😂
 
Kwa jinsi shirika la kijasusi la Israeli la mossad lilivyo na uwezo mkubwa Basi hii inanifanya niamini huenda hili jambo walikua wanalijua litatokea hivyo wameacha kwa makusudi kabisa litokee ili kuonyesha dunia uchokozi wa hamas na kupata sapoti kubwa pale watakapoanza kujibu mapigo, na hili linaenda sambamba kabisa na suala la Saudi Arabia na Israeli kutaka kuestablish diplomatic relationship. Hivyo Kuna mchezo Hamas na palestina wanachezewa bila kujua.
Well said mkuu
 
BREAKING:

150 rockets were just launched from Gaza toward Tel Aviv
 
Nimeona BBC hapa kwamba tayari wazayuni zaidi 150 wamekwishaangamizwa hadi muda huu

Israel hawatokuja sahau hii siku walizoea kuonea Hamas safari hii wamenyooshwa!!

Wakati huo huo huko Iran wanafanya sherehe kubwa sana kwa kurusha mafataki juu...Hatari sana....
IMG_20231007_201300_949.jpg
Screenshot_20231007-195141.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20231007-195144.jpg
    Screenshot_20231007-195144.jpg
    25.2 KB · Views: 3
Urban warfare ni ngumu sana na inachukua muda mrefu.

Na mbinu aliyoitumia Hamas ni Israel kujitia kitanzi mwenyewe. Mateka wote raia na makamanda wa kijeshi na wanajeshi wamewekwa Gaza. Na mateka ni wengi. Raia wake wamefanywa ngao. Akilipua lipua tu Gaza anawaua na watu wake.

Ngoja tuone atachukua uthubutu gani!
Ni kweli, kama kwa hiki kilichofanyika leo hao madogo wa Hamas wangeingia na suicidal drones za iran kama hata buku na kuzilaunch kutokea ndani ya israel janga lingekuwa kubwa zaidi.
 
Naona dalili za siku moja kuja kutokea maafa duniani kama ya Hiloshima na Nagasaki. Marekani ilishatoa muongozo, na hii hali itajirudia tu wakati wowote. USA inaitetea Israel. Qatar na Iran wanaisupport Palestina. Makundi ya Kiislam lazima yaunge mkono Hamas. Mi sielewi lakini huo tu ni wasiwasi wangu.

Hivi,kwa anaeelewa History vizuli. Eneo Israel inalopigania huko Palestina ni lake,au ni ubabe tu?
Ardhi ya palestine ni ya waarabu wa kabila la kanaani tangu kabla yaaqub ambaye ndiye israeli mwenyewe wala hajazaliwa, lakini wakati wa nabii musa alayhi ssalaam alipewa amri ya kuwatoa wana waisraeli utumwani huko misri kuwarudisha kwenye ardhi takatifu ya palestine wakakataa, mpaka baadae yushaa mwana wa nuni alayhi ssalaam alipofanikiwa kuwaingiza katika ardhi yao hiyo waliyoandikiwa.

Waliishi hapo katika vipindi tofauti tofauti kwa zaidi ya miaka 400, walipoharibu tena agano lao na allah ndio wakawa wanazurura hawana pa kwenda na watu wanawafanya maadui kila kona, mwisho hiyo ardhi hawatoishi kwa amani isipokuwa watu wema wawe waarabu, waisraeli au waafrika, ila asili mahali hapo ni ardhi ya waarabu tangu kabla nabii yaaqub ambaye ni baba wa waisraeli hata hajafikiriwa kuzaliwa.
 
rocket zitaisha muda si mrefu, hadi sasaivi wamerusha rocket 7,000. zikiisha wataanza kukimbia kimbia.
 
Back
Top Bottom