Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Wapiganaji watatumia radio call wasiliano ya settlite .kitakachofuata hapo, hakutakuwa na mawasiliano ya simu, wala radio wala tv, unabaki unakimbiakimbia tu hujui wenzako wako wapi. hata kwa magaidi hayatajua wenzao wapo wapi, wajipaneje, shida tupu.
Ila raia wa kawaida watateseka maana taarifa itakuwa ngumu kupata.
Wasije wakawa wanaaribu hata miundombinu yao huko.
Vita vinaisha majengo , yote hamna kitu.