LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nilijua tu atakua Muhindu tu,,,we Mtu anakunywa mkojo wa ng’ombe na m*vi unategemea awe na akili au roho nzuri,jamaa wanachuki sana huko kwao wanaua waislam,wakristo,,,unauliwa kisa umekula nyama ya ng’ombe smh
 
Kwa vipindi na nyakati tofauti, chunguza sana kwa umakini hali za kiuchumi na kijamii kwa nchi zote zenye mahusiano mabaya ya kidiplomasia na nchi ya Israeli. Aidha kwa upande mwingine chunguza zile ambazo zina mahusiano mazuri na nchi hii.

Ni vyema tukatafakari vyema nukuu ifuatayo kutoka katika maandiko matakatifu,

WARAKA KWA WARUMI 11

1 Kwa hiyo nauliza, je, Mungu amewakataa watu wake? La, sivyo. Mimi mwenyewe ni Mwisraeli, wa uzao wa Ibrahimu na wa kabila la Benjamini.

2 Mungu hajawakataa watu wake ambao aliwajua tokea mwanzo. Hamfahamu Maandiko yanavyosema kuhusu Eliya, jinsi alivyomlalamikia Mungu kuhusu Waisraeli akisema,

3 “Bwana, wamewaua manabii wako na kuziharibu madhabahu zako, nimebaki mimi peke yangu, nao wanataka kuniua?

4 Na Mungu alimjibuje? “Nime bakiza kwa ajili yangu watu elfu saba ambao hawajapiga magoti kumwabudu Baali.”

5 Ndivyo ilivyo hata sasa; wapo wachache wal iosalia ambao Mungu amewachagua kwa neema yake.

6 Lakini ikiwa wamechaguliwa kwa neema, haiwezekani tena wakachaguliwa kwa msingi wa matendo. Kama ingekuwa hivyo, neema isingekuwa neema tena.
 
Dini zimepumbaza watu. Israel wanafanyia watu unyama usio na mfano lakini dini zimepumbaza watu hawataki kuliona hilo, wanakesha wakiiombea Israel wakati mungu mwenyewe ameshindwa kuilinda Israel.

Mungu mwenyezi uwezo wa kuilinda Israel hana halafu mijitu mipumbavu inakesha kuiombea Israel na inapeleka maombi kwa huyo huyo mungu asie na uwezo wowote wa kuilinda Israel yake, hizi ni akili ama mavi?

Unakuja lijitu ligogo ama lihehe la huko iringa limeshindwa 'kuwaombea' (kitu kinaitwa maombi hakina msaada wowote kwenye maisha ya binaadam) wangoni ama wahehe wenzie, anakesha na kufunga kuiombea Israel na unakuta anatembea na bendera ya Israel kwenye gari ama nyumba yake.

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine kitu kinachoitwa Mungu hakipo na wala hakina uwezo wowote wa kufanya chochote.
 
Mpumbavu Wewe.
 
Wahehe wamekufanya nn??...au umewahi kupigwa vdole na hayoo makabila... avoid falacy of haste generalization
 
Zinazokusaidia wewe habari za Wapalestina wakifanyiwa mauwaji ya kimbari?
 
na mtoto anafanya nn hapo si tangazo lilitoka tyr
unamwambia mtu atoke kwake anatoko anaenda kukaa kwenye jengo la hospitali unapiga bomu hospitali ndiyo maana nakuambia acha ushabiki mandazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…