Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vipindi na nyakati tofauti, chunguza sana kwa umakini hali za kiuchumi na kijamii kwa nchi zote zenye mahusiano mabaya ya kidiplomasia na nchi ya Israeli. Aidha kwa upande mwingine chunguza zile ambazo zina mahusiano mazuri na nchi hii.Huu ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuvunja mahusiano na Israel haraka sana kwa yanayoendelea huko Gaza!!
Huko nyuma tuliwahi kusema kuwa "kila mtu anastahili haki ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake". Pia tulisema kwamba kila watu wana haki ya kuwa na mahali ambapo watakuwa salama kutoka vitisho vyovyote vya utu wao na nafasi yao kama jamaa.
Tokea enzi za Nyerere tuliamini ya kwamba hakuna mwanadamu mwingine ambaye ana haki ya kumtawala kwa nguvu mwanadamu mwingine kwa kisingizio chochote kile. Hii ilikuwa ni falsafa yetu dhidi ya ukoloni.
Leo hii tunashuhudia yanayoendelea Palestina ambapo karibu maelfu ya watu wameshauawa. Je, Bunge linapokutana siku chache zijazo zilaani mauaji hayo? Je, serikali ilaani pande zote mbili kwa kusababisha mazingira ambayo yanamnyima mwanadamu nafasi ya kuwa huru kufanya lolote? Tunapaswa tuungane na nchi nyingine mfano Bolivia ambazo zimevunja uhusiano na Israel kutokana na suala la Gaza
Hatuwezi kuendelea kulisapoti taifa la kigaidi ambalo lina mchango mkubwa wa ubaguzi wa Rangi na.ambalo limeshiriki kuwaangamiza Waafrika wengi mfano wakati wa makaburi walitoa misaada ya kila aina kwa makaburu ili waendelee kuwauwa watu weusi kule Africa ya kusini bado zile cases za waafrika waethiopia kufungwa vizazi wasizae kwa nguvu!
Kwa yanayoendelea naiomba serikali ivunje uhusiano mara moja na huu utawala katili wa Israel View attachment 2799632View attachment 2799631View attachment 2799633View attachment 2799634
Kweli ukiwa muislamu hata Kama umesoma lazima uwe na chembe chembe za utahaira katika ubongo.
Mbona hajafa George bush? Mbona hajafa netanyau?
Mpumbavu Wewe.Dini zimepumbaza watu. Israel wanafanyia watu unyama usio na mfano lakini dini zimepumbaza watu hawataki kuliona hilo, wanakesha wakiiombea Israel wakati mungu mwenyewe ameshindwa kuilinda Israel.
Mungu mwenyezi uwezo wa kuilinda Israel hana halafu mijitu mipumbavu inakesha kuiombea Israel na inapeleka maombi kwa huyo huyo mungu asie na uwezo wowote wa kuilinda Israel yake, hizi ni akili ama mavi?
Unakuja lijitu ligogo ama lihehe la huko iringa limeshindwa 'kuwaombea' (kitu kinaitwa maombi hakina msaada wowote kwenye maisha ya binaadam) wangoni ama wahehe wenzie, anakesha na kufunga kuiombea Israel na unakuta anatembea na bendera ya Israel kwenye gari ama nyumba yake.
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine kitu kinachoitwa Mungu hakipo na wala hakina uwezo wowote wa kufanya chochote.
Na wapalestina walichofanya kupitia Hamasi..Nani alianzisha unyama!???Hawa wazayuni ushetani wanaofanya huko shetani mwenyewe akasome
Mzee hapo unachoomba akiwezi kutimia Yani mpka Uhuru upatikane.We bwana Mungu tunakuomba umalize hii vita!!
Wahehe wamekufanya nn??...au umewahi kupigwa vdole na hayoo makabila... avoid falacy of haste generalizationDini zimepumbaza watu. Israel wanafanyia watu unyama usio na mfano lakini dini zimepumbaza watu hawataki kuliona hilo, wanakesha wakiiombea Israel wakati mungu mwenyewe ameshindwa kuilinda Israel.
Mungu mwenyezi uwezo wa kuilinda Israel hana halafu mijitu mipumbavu inakesha kuiombea Israel na inapeleka maombi kwa huyo huyo mungu asie na uwezo wowote wa kuilinda Israel yake, hizi ni akili ama mavi?
Unakuja lijitu ligogo ama lihehe la huko iringa limeshindwa 'kuwaombea' (kitu kinaitwa maombi hakina msaada wowote kwenye maisha ya binaadam) wangoni ama wahehe wenzie, anakesha na kufunga kuiombea Israel na unakuta anatembea na bendera ya Israel kwenye gari ama nyumba yake.
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine kitu kinachoitwa Mungu hakipo na wala hakina uwezo wowote wa kufanya chochote.
hawa watabokolewa kama mbwa koko, waachane na hiyo kitu.[emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]View attachment 2799330
vita hii kuisha hadi kundi hilo la magaidi la HAMAS kusambaratishwa kikamilifu, kinachoendelea Gaza ni balaa kubwa.We bwana Mungu tunakuomba umalize hii vita!!
Nakubali lakini bahati mbaya uwa sitaki ushauri kutoka kwa Mashoga.Ungeachana na hii makitu.......ushauri wa bureeee
Kufurahia nini?Unafurahia?
Zinazokusaidia wewe habari za Wapalestina wakifanyiwa mauwaji ya kimbari?Hivi unajua hizi habari zenu za kutunga hazisaidii wala kuongeza na hata kupunguza chochote dhidi ya maangamizi ya waPalestina na hazikusaidii hata wewe zaidi ya kutaka kujifariji huku kila siku donda linazidi kupanuka?
Wanaume wa Dar bhana, mkoje?
unamwambia mtu atoke kwake anatoko anaenda kukaa kwenye jengo la hospitali unapiga bomu hospitali ndiyo maana nakuambia acha ushabiki mandazi.na mtoto anafanya nn hapo si tangazo lilitoka tyr