LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Bila shaka kufika tarehe 10 Nov Israel itakuwa imefutwa kwenye ramani, wapalestina wataichukua ardhi yao, Allah atakuwa ameshinda!!! Takbiirrrr
Wewe punguani shabiki mandazi tu.

Harvard students walk out from talk given by Isrseli Ambassador
 

Attachments

  • 6b667286-db51-4a84-9838-eb1a8da8c1a1.mov
    6.5 MB
Ni watu wazima, wewe pambana na kutafuta ada, january imekaribia, una shida nyingi kuwazidi.
Nani alikwambia hao wana shida ya kusomesha watoto, wao si wanajua elimu ni madrassa tu.
 
Kazi iliyofanywa na Yemen hii hapa.
Umbali ambao UAV/kombora inapaswa kusafiri kutoka Yemen hadi Israeli ni zaidi ya maili 1000.
Kuna punguani mmoja humu anasema Yemen hawana silaha
 
Sawa. Ila kumbushushaneni nyie Wapalestina wa Mchambawima kuacha kulialia kwenye nyuzi zengine.
Tofautisha na Kuuliwa raia wa kawaida na Kuuliwa mpiganaji, kwani hao wanaotetea Palestina wanatetea wale raia wa kawaida Kuuliwa ama wanatetea Hamas kuuliwa?

Vita vina sheria zake na Israel ana Commit war crime badala ya kupigana na Hamas anapigana na Madokta, Waandishi wa habari, msalaba mwekundu, Un etc.
 
Nimekuelewa sana, naskilizia hapa wakristu bandia wataokuja kukupinga, na kushangilia mauaji ya wapalestina
 
Kuvunja uhusiano na Israel haisaidii, bali ni kudumisha uhusiano ili kuishawishi isiendelee kufanya mauaji ya Wapalestina kwa sababu ya Hamas!
 
Tuondolee upuuzi wako wewe Chawa wa Magaidi ya Hamas
 
Wakati Hamas inachokoza kwa makombora mliimba "Ara Akibaru"... mmepigwa sasa mnaanza kuzitukana dini!! hizo dini ndo ziliwatuma kuichokoza Israel?
 
Kwanza, kwa picha uliyoweka dp yako inaonesha uwezo wa akili ni mmbovu sana.

Cha pili, moyo wako ni zao la chuki la kiislam liliotengenezwa enzi na enzi.

Cha tatu, una akili za kigaidi kama vile picha ya ayatollha muaaji ulimuweka katika dp yako.

Conclusion:
Israel ni ya Isaac mwana ibrahim na wala sio ya mtoto wa kijakazi wake huyl ismael. Nyie mlipewa nchi yenu ila bado mnang'ang'ania kuja israel.

Israel ni wayahudi na sio hao magaidi wenzako.
 
Shida Hamas wanatumia nguvu nyingi bila akili.

Umesema mkuu, najiuliza mno strategy ya Hamas ilikua ipi.....Maana kinachoelekea Gaza, hasa upande wa Kaskazini itakuwa magofu, Na Israel itaikalia muda mrefu, Idadi ya Wapelestine wanaokufa kila kukicha inatisha.
Gaza 80% Umeme unatoka Israel, Wapelestine wengi ajira yao iko Israel, ukiwazuia kuingia ni maumivu makubwa kwa Wapelestine......anyway tusibiri tuone mwisho wake....Maana naona kilichotekea 1967 na 1973 kinatokea tena.....Hamas imerudisha mno jitihada zake za kupigania haki yake......Wataanza moja tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…