Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe punguani shabiki mandazi tu.Bila shaka kufika tarehe 10 Nov Israel itakuwa imefutwa kwenye ramani, wapalestina wataichukua ardhi yao, Allah atakuwa ameshinda!!! Takbiirrrr
Nani alikwambia hao wana shida ya kusomesha watoto, wao si wanajua elimu ni madrassa tu.Ni watu wazima, wewe pambana na kutafuta ada, january imekaribia, una shida nyingi kuwazidi.
Umbali ambao UAV/kombora inapaswa kusafiri kutoka Yemen hadi Israeli ni zaidi ya maili 1000.Kazi iliyofanywa na Yemen hii hapa.
Tulieni dawa iwaingie
Uliupeleka wewe apo siyo?Ushoga uneenea uarabuni
Tofautisha na Kuuliwa raia wa kawaida na Kuuliwa mpiganaji, kwani hao wanaotetea Palestina wanatetea wale raia wa kawaida Kuuliwa ama wanatetea Hamas kuuliwa?Sawa. Ila kumbushushaneni nyie Wapalestina wa Mchambawima kuacha kulialia kwenye nyuzi zengine.
Tuondolee upuuzi wako wewe Chawa wa Magaidi ya HamasHuu ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuvunja mahusiano na Israel haraka sana kwa yanayoendelea huko Gaza!!
Huko nyuma tuliwahi kusema kuwa "kila mtu anastahili haki ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake". Pia tulisema kwamba kila watu wana haki ya kuwa na mahali ambapo watakuwa salama kutoka vitisho vyovyote vya utu wao na nafasi yao kama jamaa.
Tokea enzi za Nyerere tuliamini ya kwamba hakuna mwanadamu mwingine ambaye ana haki ya kumtawala kwa nguvu mwanadamu mwingine kwa kisingizio chochote kile. Hii ilikuwa ni falsafa yetu dhidi ya ukoloni.
Leo hii tunashuhudia yanayoendelea Palestina ambapo karibu maelfu ya watu wameshauawa. Je, Bunge linapokutana siku chache zijazo zilaani mauaji hayo? Je, serikali ilaani pande zote mbili kwa kusababisha mazingira ambayo yanamnyima mwanadamu nafasi ya kuwa huru kufanya lolote? Tunapaswa tuungane na nchi nyingine mfano Bolivia ambazo zimevunja uhusiano na Israel kutokana na suala la Gaza
Hatuwezi kuendelea kulisapoti taifa la kigaidi ambalo lina mchango mkubwa wa ubaguzi wa Rangi na.ambalo limeshiriki kuwaangamiza Waafrika wengi mfano wakati wa makaburi walitoa misaada ya kila aina kwa makaburu ili waendelee kuwauwa watu weusi kule Africa ya kusini bado zile cases za waafrika waethiopia kufungwa vizazi wasizae kwa nguvu!
Kwa yanayoendelea naiomba serikali ivunje uhusiano mara moja na huu utawala katili wa Israel View attachment 2799632View attachment 2799631View attachment 2799633View attachment 2799634
Wakati Hamas inachokoza kwa makombora mliimba "Ara Akibaru"... mmepigwa sasa mnaanza kuzitukana dini!! hizo dini ndo ziliwatuma kuichokoza Israel?Dini zimepumbaza watu. Israel wanafanyia watu unyama usio na mfano lakini dini zimepumbaza watu hawataki kuliona hilo, wanakesha wakiiombea Israel wakati mungu mwenyewe ameshindwa kuilinda Israel.
Mungu mwenyezi uwezo wa kuilinda Israel hana halafu mijitu mipumbavu inakesha kuiombea Israel na inapeleka maombi kwa huyo huyo mungu asie na uwezo wowote wa kuilinda Israel yake, hizi ni akili ama mavi?
Unakuja lijitu ligogo ama lihehe la huko iringa limeshindwa 'kuwaombea' (kitu kinaitwa maombi hakina msaada wowote kwenye maisha ya binaadam) wangoni ama wahehe wenzie, anakesha na kufunga kuiombea Israel na unakuta anatembea na bendera ya Israel kwenye gari ama nyumba yake.
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine kitu kinachoitwa Mungu hakipo na wala hakina uwezo wowote wa kufanya chochote.
Ujinga ni ugonjwa pia wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sanaKweli ukiwa muislamu hata Kama umesoma lazima uwe na chembe chembe za utahaira katika ubongo.
Mbona hajafa George bush? Mbona hajafa netanyau?
WAISLAMU NA WAARABU WANAJITAHIDI NA FEKI NYUZI KUWACHAFUA WAYAHUDI LAKINI HAIWEZEKANI MAANA BINADAMU TUNAZO AKILI TIMAMU.
NB : Walichokifanya hamas September 07 walitegemea wayahudi watawachekea na kuwakenulia meno?
Shida Hamas wanatumia nguvu nyingi bila akili.Nachojiuliza Hamas hawakufikiria kuwa Israel itarudisha mapigo?
Shida Hamas wanatumia nguvu nyingi bila akili.