WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ukweli ndiyo huo.Umesema mkuu, najiuliza mno strategy ya Hamas ilikua ipi.....Maana kinachoelekea Gaza, hasa upande wa Kaskazini itakuwa magofu, Na Israel itaikalia muda mrefu, Idadi ya Wapelestine wanaokufa kila kukicha inatisha.
Gaza 80% Umeme unatoka Israel, Wapelestine wengi ajira yao iko Israel, ukiwazuia kuingia ni maumivu makubwa kwa Wapelestine......anyway tusibiri tuone mwisho wake....Maana naona kilichotekea 1967 na 1973 kinatokea tena.....Hamas imerudisha mno jitihada zake za kupigania haki yake......Wataanza moja tena.
😁😁😁😁😁Tulieni ,vita haijaanza na kama mnadandia habari za cnn na aljazeela mtaburuzwa tu, tafuta chaneli za al manara au almadaayen sema zinanipa shida kwa lugha ila picha nazifahamu kama ninavyofahamu michezo ya kihindi,ila kuna ukweli mtupu ,na mpaka leo hamjajiuliza kwa nini mziraeli anapiga mabomu kwa hazira ???
Kusema ukweli wajeshi waziraeli wanapigwa vibaya sana sana na vifaru vyao vinakatwa pembe ,ndio mkaona ana hasira ,yaani mjeshi wa miguu anaeingia geza ulole basi hatoki.
Nakumbusha tu, hiyo ni vita inapiganwa sio kwamba hamasi wamekaa kimya ndio maana hawawaachi mateka. Shida ni uwanja umeinama. Iran waliowashawishi hamas waanzishe hawaoni waanzie wapi au waendelee wapi.
Hizi ni picha za octoba 7 kijana kuwa serious🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wasabato mna matatizo sana ..Pope aliyeruhusu LGBTQ?
Kanisa ni moyo wako mkuu hayo majengo achana nayo soma ufunuo vizuri.
Insider nikwambie kitu? Tunaishi nyakati mbaya sana ambapo Shetani kwa kupitia Agents wake hapa Duniani anafanya kazi ya ziada akiwa kama Simba soma 1 Peter 5:8 kwa bahati mbaya sana Allah ndiye yule Shetani MKUBWA mwenyewe. No wonder, utashitushwa na kinachoendelea nchi za Magharibi baada ya Uvamizi wa Hamas huko Israel na mauaji na ubakaji waliofanya. Sasa siyo wakati wa kunyoosheana vidole wale wote mnaoamini Mungu wa Kweli na Yule Yesu wa kweli wa Biblia aliye mwana wa Mungu. Hawa Waislam siasa kali wakimalizana na Israel watakuja kwenu kama wakiristo bila kujali dhehebu lenu, wakimaliza hapo watenda kwa wahindu nakadhalikaWasabato mna matatizo sana ..
Insider nikwambie kitu? Tunaishi nyakati mbaya sana ambapo Shetani kwa kupitia Agents wake hapa Duniani anafanya kazi ya ziada akiwa kama Simba soma 1 Peter 5:8 kwa bahati mbaya sana Allah ndiye yule Shetani MKUBWA mwenyewe. No wonder, utashitushwa na kinachoendelea nchi za Magharibi baada ya Uvamizi wa Hamas huko Israel na mauaji na ubakaji waliofanya. Sasa siyo wakati wa kunyoosheana vidole wale wote mnaoamini Mungu wa Kweli na Yule Yesu wa kweli wa Biblia aliye mwana wa Mungu. Hawa Waislam siasa kali wakimalizana na Israel watakuja kwenu kama wakiristo bila kujali dhehebu lenu, wakimaliza hapo watenda kwa wahindu nakadhalikaPope aliyeruhusu LGBTQ?
Kanisa ni moyo wako mkuu hayo majengo achana nayo soma ufunuo vizuri.
Walijua IDF watawakenulia meno mkuu.Nachojiuliza Hamas hawakufikiria kuwa Israel itarudisha mapigo?
Hali ngumu kwa hamasNakumbusha tu, hiyo ni vita inapiganwa sio kwamba hamasi wamekaa kimya ndio maana hawawaachi mateka. Shida ni uwanja umeinama. Iran waliowashawishi hamas waanzishe hawaoni waanzie wapi au waendelee wapi.
Mbona una uongo ? sio Allah favours the Jew bali ni Allah favoured....Wana JF mnamjua CP, kwa wakati wako unaweza sikiliza YouTube jinsi anavyochambua siasa za mashariki ya kati. Hapa chini anachambua UNAFIKI wa Waislam kuhusiana na suala la Palestina. Je mlipata kujua kuwa Quran yao yenyewe inasema kuwa Allah favors the Jews more than any mankind and jinni? Quran 2:47 Je mlipata kujua kuwa Allah aliwaambia Waisrael kuingia nchi ya ahadi aliyowatengea na wasirudi nyuma ama sivyo watakuwa losers Quran 5:21. Haya maandiko yote viongozi wao hawaonyeshi.
Hii video clip ni ndefu kidogo lakini nakuhakikishia kuwa baada ya kuiangalia itakufungua uelewa wako sana
View: https://www.youtube.com/live/ilL3AgMts74?si=yYKY-vtIv9lZTTcE
Dah,mbwa kala jibwa
Yaani Mimi sipo kote huko..mi naishi tu ndugu yangu....... Na Mimi sio insider..... Nikishajitoa huko katika maimaninya kuletwa...Insider nikwambie kitu? Tunaishi nyakati mbaya sana ambapo Shetani kwa kupitia Agents wake hapa Duniani anafanya kazi ya ziada akiwa kama Simba soma 1 Peter 5:8 kwa bahati mbaya sana Allah ndiye yule Shetani MKUBWA mwenyewe. No wonder, utashitushwa na kinachoendelea nchi za Magharibi baada ya Uvamizi wa Hamas huko Israel na mauaji na ubakaji waliofanya. Sasa siyo wakati wa kunyoosheana vidole wale wote mnaoamini Mungu wa Kweli na Yule Yesu wa kweli wa Biblia aliye mwana wa Mungu. Hawa Waislam siasa kali wakimalizana na Israel watakuja kwenu kama wakiristo bila kujali dhehebu lenu, wakimaliza hapo watenda kwa wahindu nakadhalika
Agenda yao ni kubwa na ya kutisha kinyume na mnavyofikiri
Sina muda wa kubishana na islamist.Mbona una uongo ? sio Allah favours the Jew bali ni Allah favoured....
Ziko wapi
Exactly, sema Takbirrrr.kwa bahati mbaya sana Allah ndiye yule Shetani MKUBWA mwenyewe.