Umesema mkuu, najiuliza mno strategy ya Hamas ilikua ipi.....Maana kinachoelekea Gaza, hasa upande wa Kaskazini itakuwa magofu, Na Israel itaikalia muda mrefu, Idadi ya Wapelestine wanaokufa kila kukicha inatisha.
Gaza 80% Umeme unatoka Israel, Wapelestine wengi ajira yao iko Israel, ukiwazuia kuingia ni maumivu makubwa kwa Wapelestine......anyway tusibiri tuone mwisho wake....Maana naona kilichotekea 1967 na 1973 kinatokea tena.....Hamas imerudisha mno jitihada zake za kupigania haki yake......Wataanza moja tena.