Christopher krugger
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 215
- 392
Daah inasikitisha sana.
View: https://youtu.be/DXkHJpKZfzA?si=a06fFCAdKEAZCfdm
Ajabu wananza kuwacha watoa habari warushe wanavyo pigwa lakini bado wanaficha mengi.
Leo kikosi cha vifaru kimepigika sawa sawa, Hamasi wanasema Israel kaingia sehemu walizo vunja hazina watu ili ajionyeshe yuko Gaza, Abu Obeida anasema Israel wanajisifu kama wanapigana na Superpower kumbe wanapigana na Hamasi yani hata kunusa Gaza hawajanusa wako 4km kutokea boder na Hamasi anawafata na kuwatandika 😄
Hamas wanadai Israel wanapiga piga na vifaru vyao wakiwa sehemu za Gaza zilizobomolewa Kisha wanaondoka
Hao wote wapo Upande wa Hamas hvy watavutia kwao, n sawa na muislam kuisapot Israel hy haipo.Nenda telegram kwa abdallah atar na Gaza today
Mkuu unaweza ukafagia taarifa mtandaoni ukajiona mtafiti mkubwa kumbe ni layman tu, watoto wa israeli waliamrishwa na allah kuingia ardhi takatifu ya palestina wakati wa nabii musa amani iwe juu yake, na walikataa wakapewa adhabu ya kuzurura jangwani kwa miaka 40, mpaka kile kizazi chote kilichogoma kikaisha ndipo sasa yoshua mwana wa nuun amani iwe juu yake, akaingia kupigana vita na jeshi la wana wa israeli, na akawaingiza kwenye ardhi yao waliyoandikiwa.Wana JF mnamjua CP, kwa wakati wako unaweza sikiliza YouTube jinsi anavyochambua siasa za mashariki ya kati. Hapa chini anachambua UNAFIKI wa Waislam kuhusiana na suala la Palestina. Je mlipata kujua kuwa Quran yao yenyewe inasema kuwa Allah favors the Jews more than any mankind and jinni? Quran 2:47 Je mlipata kujua kuwa Allah aliwaambia Waisrael kuingia nchi ya ahadi aliyowatengea na wasirudi nyuma ama sivyo watakuwa losers Quran 5:21. Haya maandiko yote viongozi wao hawaonyeshi.
Hii video clip ni ndefu kidogo lakini nakuhakikishia kuwa baada ya kuiangalia itakufungua uelewa wako sana
View: https://www.youtube.com/live/ilL3AgMts74?si=yYKY-vtIv9lZTTcE
Mkuu mbona uliacha kutuletea video za vita ya Ukraine?
Yakweli haya au ni chai? 😃😃😃😃Hamas wanadai Israel wanapiga piga na vifaru vyao wakiwa sehemu za Gaza zilizobomolewa Kisha wanaondoka
Tatizo nyinyi Waislam kila kitu mlikuja kudanganywa na Mtume, Mungu wa kweli Yahweh nyinyi Mtume akawambia na Allah, ambaye ni mungu mpagani, baba wa Mtume, alikuwa mpagani akiwa na Jina Abdullah (hapo pana ALLAH akiwa ni mungu wake wa kipagani)Mkuu unaweza ukafagia taarifa mtandaoni ukajiona mtafiti mkubwa kumbe ni layman tu, watoto wa israeli waliamrishwa na allah kuingia ardhi takatifu ya palestina wakati wa nabii musa amani iwe juu yake, na walikataa wakapewa adhabu ya kuzurura jangwani kwa miaka 40, mpaka kile kizazi chote kilichogoma kikaisha ndipo sasa yoshua mwana wa nuun amani iwe juu yake, akaingia kupigana vita na jeshi la wana wa israeli, na akawaingiza kwenye ardhi yao waliyoandikiwa.
Baada ya hapo zikapita karne kadhaa na hatua kadhaa za utawala wao na kuwa kwao kwenye neema na walipoenda kinyume na maamrisho, wakatolewa tena kwenye ardhi hiyo na wakageuzwa watumwa, na mitume wakafuatia wengi mpaka kina nabii sulaymaan amani iwe juu yake walipokuja.
Historia ni ndefu, ila chukua point kuwa hiyo ardhi hawakuandikiwa milele, na pia allah aliwafadhilisha wayahudi juu ya wanadamu wote wa wakati wao! kwa sasa waliofadhilishwa sio wao tena.
Wewe hapo ndo unahamuMna hamu kupunguzwa
Kwahyo unataka kutuambia kuwa Benjamin ndo Netanyahu?? Yaani kumbe John linamaanisha Pombe eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye wale watoto wa yakobo kumi na mbili akiwepo benyamini/benjamin. Mmekuwa mkisema hawa waisrael si orijino. Sasa hao orijino wapo wapi?
View attachment 2801795
Ww lete propaganda wenzako huo wakisikia makombora wanajinyea
Narudia tena. Watanzania hatupo hivyo masaa 24 unashabikia vita mara Urusi mara wapi. Hizi chuki zako zinawakilisha jinsi gani wakenya walivyo jamii ya hovyo na chuki za ukabila.
👉 Watanzania hatuna chuki za kidini wala ukabila kila kona watu wanaishi kwa upendo na kuheshimiana chuki zako peleka huko huko Kenya
Aliyesema utamwacha Baba yako na mama yako nawe utaambatana na mkeo nanyi mtakuwa mwili mmoja huyo ndio Mungu. Hapo jamaa ana miili minne na kule Jannah miili 72 yani mafundisho ya mashetani kabisa.Bibie ingia Telegram uone kinachofanywa kwa waarabu wako, utachukia sana yaani hata mimi nimejikuta naanza kuchukia.....
Halafu wewe ulipaswa uwe kwenye huu utumwa wa wanawake wa kiislamu, haupaswi kuwa unatupigia makelele humu
Aliyesema utamwacha Baba yako na mama yako nawe utaambatana na mkeo nanyi mtakuwa mwili mmoja huyo ndio Mungu. Hapo jamaa ana miili minne na kule Jannah miili 72 yani mafundisho ya mashetani kabisa.
Jeshi la Mungu?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]hebu acha matusi bhanaView attachment 2801452
Kwenye wale watoto wa yakobo kumi na mbili akiwepo benyamini/benjamin. Mmekuwa mkisema hawa waisrael si orijino. Sasa hao orijino wapo wapi?