LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums

View: https://youtu.be/DXkHJpKZfzA?si=a06fFCAdKEAZCfdm

Ajabu wananza kuwacha watoa habari warushe wanavyo pigwa lakini bado wanaficha mengi.

Leo kikosi cha vifaru kimepigika sawa sawa, Hamasi wanasema Israel kaingia sehemu walizo vunja hazina watu ili ajionyeshe yuko Gaza, Abu Obeida anasema Israel wanajisifu kama wanapigana na Superpower kumbe wanapigana na Hamasi yani hata kunusa Gaza hawajanusa wako 4km kutokea boder na Hamasi anawafata na kuwatandika 😄

Daah inasikitisha sana.
 
Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.

Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!

Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon

Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.

Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo

Tutapeana updates hapa hapa..........
20231102_121651.jpg
20231028_200408.jpg
20231023_225935.jpg
20231025_235454.jpg
 
Ila waambie Hao wavaa vipedo na makobazi wenzako wakilianzisha hakuna ceasefire.Hata jumuiya za kimataifa zikipiga kelele.Sijui huruma ya raia wasio na hatia; wanawake na watoto.Manake sasa hivi UN,Qatar, Saudi Arabia,Jordan, Egypt wanadai ceasefire, wapalestina waachwe na Israeli 🇮🇱
 
Wana JF mnamjua CP, kwa wakati wako unaweza sikiliza YouTube jinsi anavyochambua siasa za mashariki ya kati. Hapa chini anachambua UNAFIKI wa Waislam kuhusiana na suala la Palestina. Je mlipata kujua kuwa Quran yao yenyewe inasema kuwa Allah favors the Jews more than any mankind and jinni? Quran 2:47 Je mlipata kujua kuwa Allah aliwaambia Waisrael kuingia nchi ya ahadi aliyowatengea na wasirudi nyuma ama sivyo watakuwa losers Quran 5:21. Haya maandiko yote viongozi wao hawaonyeshi.
Hii video clip ni ndefu kidogo lakini nakuhakikishia kuwa baada ya kuiangalia itakufungua uelewa wako sana

View: https://www.youtube.com/live/ilL3AgMts74?si=yYKY-vtIv9lZTTcE

Mkuu unaweza ukafagia taarifa mtandaoni ukajiona mtafiti mkubwa kumbe ni layman tu, watoto wa israeli waliamrishwa na allah kuingia ardhi takatifu ya palestina wakati wa nabii musa amani iwe juu yake, na walikataa wakapewa adhabu ya kuzurura jangwani kwa miaka 40, mpaka kile kizazi chote kilichogoma kikaisha ndipo sasa yoshua mwana wa nuun amani iwe juu yake, akaingia kupigana vita na jeshi la wana wa israeli, na akawaingiza kwenye ardhi yao waliyoandikiwa.

Baada ya hapo zikapita karne kadhaa na hatua kadhaa za utawala wao na kuwa kwao kwenye neema na walipoenda kinyume na maamrisho, wakatolewa tena kwenye ardhi hiyo na wakageuzwa watumwa, na mitume wakafuatia wengi mpaka kina nabii sulaymaan amani iwe juu yake walipokuja.

Historia ni ndefu, ila chukua point kuwa hiyo ardhi hawakuandikiwa milele, na pia allah aliwafadhilisha wayahudi juu ya wanadamu wote wa wakati wao! kwa sasa waliofadhilishwa sio wao tena.
 
Tatizo nyinyi Waislam kila kitu mlikuja kudanganywa na Mtume, Mungu wa kweli Yahweh nyinyi Mtume akawambia na Allah, ambaye ni mungu mpagani, baba wa Mtume, alikuwa mpagani akiwa na Jina Abdullah (hapo pana ALLAH akiwa ni mungu wake wa kipagani)
Yesu kwa kiarabu ni Yesuha Mtume aliyekuja miaka 600 akawadangaya ati ni ISSAH, tena ati baba yake ni Imran (wakati Imran alikuwa baba wa mussa)
Yesu alikufa na kufufuka nyinyi Mtume akawadangaya ati aliyetundikwa na kufa ni mtu mwingine. Mtume pia akawadangaya yeye ndiye Mtume wa mwisho, na hiyo ikimaanisha hata ubara, wakati huo huo akijichanganya kuwa ISSAH alikuwa PURE, NA KWAMBA ISSAH ALINYAKULIWA MBINGUNI AMBAKO MBAKA SASA YUKO HAI NA MUNGU; NA NI ISSAH NDIYO ATARUDI SIKU YA KIYAMA. Yeye Mtume alikufa na mpaka mwili ukaanza kuoza. sasa hapo hajiulizi tu kuwa nani YUKO juu ya mwingine.
Yaani mmejaa Uongo na hadithi za kuunga unga tu. Sishangai kwa sababu mnamtumikia yule Shetani MKUBWA mwenyewe- Allah, ambaye ndiyo alimdanganya Ibilisi Quran 15:39
 
Kwenye wale watoto wa yakobo kumi na mbili akiwepo benyamini/benjamin. Mmekuwa mkisema hawa waisrael si orijino. Sasa hao orijino wapo wapi?
Kwahyo unataka kutuambia kuwa Benjamin ndo Netanyahu?? Yaani kumbe John linamaanisha Pombe eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Narudia tena. Watanzania hatupo hivyo masaa 24 unashabikia vita mara Urusi mara wapi. Hizi chuki zako zinawakilisha jinsi gani wakenya walivyo jamii ya hovyo na chuki za ukabila.

👉 Watanzania hatuna chuki za kidini wala ukabila kila kona watu wanaishi kwa upendo na kuheshimiana chuki zako peleka huko huko Kenya

Mazombi ya kidini hamuna Utanzania wala nini, kwenu hamna kitu kinaitwa uzalendo, mpo radhi muarabu achukue kila kitu kwa Watanzania na mtashabikia tu, leo kuna Watanganyika wameshikiliwa mateka na hao HAMAS lakini mlivyo majitu ya kijinga, mnaendelea kushabikia hao HAMAS kisa dini.
Watu wazima mnaandamana kupinga ujenzi wa kanisa, ni chuki ya kijinga sana hii, itazame tena ujiulize maswali kama kweli una ilmu ya dunia

View: https://youtu.be/pcwvILodCKM
 
Bibie ingia Telegram uone kinachofanywa kwa waarabu wako, utachukia sana yaani hata mimi nimejikuta naanza kuchukia.....
Halafu wewe ulipaswa uwe kwenye huu utumwa wa wanawake wa kiislamu, haupaswi kuwa unatupigia makelele humu
img_20231029_131529-jpg.2796730
Aliyesema utamwacha Baba yako na mama yako nawe utaambatana na mkeo nanyi mtakuwa mwili mmoja huyo ndio Mungu. Hapo jamaa ana miili minne na kule Jannah miili 72 yani mafundisho ya mashetani kabisa.
 
Aliyesema utamwacha Baba yako na mama yako nawe utaambatana na mkeo nanyi mtakuwa mwili mmoja huyo ndio Mungu. Hapo jamaa ana miili minne na kule Jannah miili 72 yani mafundisho ya mashetani kabisa.

Kuna haya maandiko kwenye dini ya hawa hunitoa stimu kabisa kila nikiyaona

MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:

Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa."Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.
 
Kwenye wale watoto wa yakobo kumi na mbili akiwepo benyamini/benjamin. Mmekuwa mkisema hawa waisrael si orijino. Sasa hao orijino wapo wapi?

Wavaa kobazi ndio walivyo hupenda kubadili ukweli uwe uongo na uongo uwe ukweli hata biblia wanasema ni feki Yesu wanasema hakufa msalabani yani aliyekufa msalabani ni feki[emoji28],shetani ndiye baba wa uongo na uislam.
 
Back
Top Bottom