LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ogopa kupigana na Watu ambao hawaogopi kifo tena.
Mwanamgambo wa Hamas abeba bomu na kulitega kwenye kifaru cha IDF.
Hapo hamna kitu bomu limefanya, tank armour inabidi kuwa penetrated sio kuwekewa blast. Na hakuna anayeogopa kupigana nao, ndio maaana wamefuatwa. Unamuogopaje mtu alafu unaenda kwake kumpiga.
 
Dogo unahangaika. Hao Hezbollah ni mara ya kwanza kukutana kwenye vita na Israel?. Unafikiri kwa kipigo kinachoendelea kwa hao mbwa Hamas unafikiri Hezbollah hawaogopi?. Wasingekuwa waoga wangeacha maneno kitambo wangeingia kuwasaidia vipedo wenzao.

Pia unakumbuka vile vita vya siku 6 Israel na mataifa yote yanaizunguka Israel? Vile vita vilimfanya power master wenu Egypt (Misri)asaini kutorudia tena kuichokoza Israel kivita. Kwa hiyo ujue Israel imejidhatiti vilivyo kwa yoyote atakaejipendekeza
 
Yehova (real God) Vs Allah (the imaginary arab skygod)
Huyo yehova ndio mungu pekee ambae hana tatizo na mashoga,ndio maana sasa hv hadi kanisani linawatambua mashoga na israel ndio makao makuu ya mashoga wote duniani.
 
Yaani hyo hotuba inasubiri kwa hamu na netanyau kuliko hata hezbollah maana leo hata chakula hakipiti mdomoni hamu ya kula hana
 
Myahudi azidishe maombi. Kupambana na mtu asie ogopa kufa ni issue nzito
 
Hapo hamna kitu bomu limefanya, tank armour inabidi kuwa penetrated sio kuwekewa blast. Na hakuna anayeogopa kupigana nao, ndio maaana wamefuatwa. Unamuogopaje mtu alafu unaenda kwake kumpiga.
 
Hapo hamna kitu bomu limefanya, tank armour inabidi kuwa penetrated sio kuwekewa blast. Na hakuna anayeogopa kupigana nao, ndio maaana wamefuatwa. Unamuogopaje mtu alafu unaenda kwake kumpiga.
Wewe si unajua kundikia tu na Tecno yako huku umejificha chumbani ambao wako uwanja wa vita salamu wanazo unabisha kila kitu cha Hamas. Video zipo hillo bomu kalitega kisha akalipiga na kombora ikitokea blast.
 
Attachments

  • b0e4340b-8e98-4abe-8138-ed2da68785d2.mov
    1.1 MB
  • b0e4340b-8e98-4abe-8138-ed2da68785d2.mov
    1.1 MB
Kwa kadiri
Inasikitisha lakini ndo ukweli kuwa:

washauwawa wapalestina zaidi ya 9,000 na Israel naamini wakati hezbollah wanatoa tamko itakuwa wapalestina wengine zaidi wameuwawa, kwa kifupi kwa kadiri matamko na laana kwa israel zinavyoongezeka ndivyo gaza inavyosagwa na wapalestina wengi zaidi wanauwawa kwa hiyo laana, matamko hayana msaada kwa wapalestina.
 
Washaanza kuufyata hawa watu[emoji1313][emoji1313] tukisema hezbollah ni babkubwa tuelewane

Sky News:

US Secretary of State Blinken will offer a 12-hour temporary ceasefire to Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…