Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo hotuba yake utakuwa pre recorded kwenye handaki.Tuhesabu dakika sasa
Hapo hamna kitu bomu limefanya, tank armour inabidi kuwa penetrated sio kuwekewa blast. Na hakuna anayeogopa kupigana nao, ndio maaana wamefuatwa. Unamuogopaje mtu alafu unaenda kwake kumpiga.Ogopa kupigana na Watu ambao hawaogopi kifo tena.
Mwanamgambo wa Hamas abeba bomu na kulitega kwenye kifaru cha IDF.
Huyo yehova ndio mungu pekee ambae hana tatizo na mashoga,ndio maana sasa hv hadi kanisani linawatambua mashoga na israel ndio makao makuu ya mashoga wote duniani.Yehova (real God) Vs Allah (the imaginary arab skygod)
mkuu bado tu, mbona hatuwaonai kwenye radar tunaona wakina mama tu na watotoTuhesabu dakika sasa
Hapo hamna kitu bomu limefanya, tank armour inabidi kuwa penetrated sio kuwekewa blast. Na hakuna anayeogopa kupigana nao, ndio maaana wamefuatwa. Unamuogopaje mtu alafu unaenda kwake kumpiga.
Wewe si unajua kundikia tu na Tecno yako huku umejificha chumbani ambao wako uwanja wa vita salamu wanazo unabisha kila kitu cha Hamas. Video zipo hillo bomu kalitega kisha akalipiga na kombora ikitokea blast.Hapo hamna kitu bomu limefanya, tank armour inabidi kuwa penetrated sio kuwekewa blast. Na hakuna anayeogopa kupigana nao, ndio maaana wamefuatwa. Unamuogopaje mtu alafu unaenda kwake kumpiga.
Mkuu kwemaHuyo yehova ndio mungu pekee ambae hana tatizo na mashoga,ndio maana sasa hv hadi kanisani linawatambua mashoga na israel ndio makao makuu ya mashoga wote duniani.
Niambie mkuuHuyo yehova ndio mungu pekee ambae hana tatizo na mashoga,ndio maana sasa hv hadi kanisani linawatambua mashoga na israel ndio makao makuu ya mashoga wote duniani.
Inasikitisha lakini ndo ukweli kuwa:Kumebakia masaa machache kabla ya mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!Maangamizi yanakuja.
Tumebakiza masaa kadhaa kabla ya Nasrallah mkuu wa Hezbollah kutoa tamko!!
Hili tamko limemfanya hadi Bilinkelin kufanya Israel Israel ijumaa hii Nchi za magharibi, mashariki ya kati, Israel na dunia yote kesho itayaelekeza macho na masikio huko Lebanon kwa mwamba mmoja tu si mwingi ni Bwana Nasrallah mkuu wa kundi la Hezbollah la Lebanon
Tamko la kesho ndo litaamua hatma ya mashariki ya kati na utawala wa kizayuni....Hezbollah wana kila silaha mnayoijua ninyi hakuna silaha ambazo hawana.
Tunakwenda kushuhudia hali ya mambo ikibadilika ndani ya masaa kadhaa yajayo
Tutapeana updates hapa hapa..........View attachment 2801828View attachment 2801829View attachment 2801833View attachment 2801837
Unitag.Tutapeana updates hapa hapa.........