LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mbona kipindi Ukraine ilipo kuwa inapost picha za wanajeshi wa Urusi walio kufa ulikuwa humu una chekelea?
 
Kweli ni ya kawaida lakini kamuambia America hizo Carrier's zako hazitutishi, pili tupo kwenye vita inategemea na vita inavyo enda hatuwahidi hatuta piga Israel kutumia missiles na kawapa warning Israel wakivuka mipaka ya kuwauwa civilian Lebanon naye atawauwa civilian wa Israel.

Kawambia Israel hakuna ushindi wa askari wamepata hata mmoja, hio ya kuwauwa wanawake na kuvunja majumba hata nchi ina ndege inaweza kufanya hivyo si lazima uwe na ndege nyingi 😄

Kawambia Israel matekwa hawawezi kuwapata bila kubadilishana na wafungwa wa Palestine sababu hawana uwezo wa kuwakomboa.

Kawambia Israel Hamasi aliuwa wanajeshi tu hao civilian ni jeshi la Israel ndio limewauwa wachunguze na kuhusu watoto pia ni uwongo Hamasi hakuchinja watoto.

Kawambia jeshi la Israel linatumiwa na America na America ndio anapigana hi vita Gaza.

Amesema jeshi la Israel wanadhani kuwauwa wanawake. A watoto ndio watawatia pressure Hamasi hizo ni ndoto tu.
 
Mbona hata wanajeshi wa Israel wameuawa pande zote zimepoteza na sio Hizbulah tu,hata jana kuna wanajeshi wa Israel waliuawa mpakani kwa shambulizi la Hizbulah.
 
Kipindi IDF wanaingia Gaza ndio ulikuwa muda muafaka kwa Hizbullah na wenzake kuanzisha vita rasmi nilipoona kimya nikajia tu ndio imeisha hiyo Hamas walinywe maana wamelikoroga wenyewe.
 
Kwa kifupi nilivyo elewa, Hezbollah inataka kum support Hamas endapo Israel itaendelea kupiga Gaza, lakini Nasrallah anasema Israel isijaribu kushambulia eneo lolote Lebanon kwani ni makosa makubwa, wana uwezo wa kupiga monowari na kuizamisha.

Sasa hapo hii ni ngumu ni kauli ya utata, mi kwa ufupi naona Israel na Hezbollah wanaogopana, hawa Hezbolllah wakirusha maroketi kuna wananchi watakufa wengi Israel, Iron Dome si kitu hapo.

Lakini Pia Israel inaweza peleka moto Lebanon ikaua watu, nadhani hata raia wa Israel hawataki kuingia kwenye vita na Hezbollah, na Lebanon wananchi hawataki kuingia kwenye vita na IDF.

Lakini kuna mengi yanayoendelea chini, ndio maana US wanadai Hezbollah anataka kusaidiwa SA-22 na Wagna.
 
kipa katia mpira kwapani
Tamko kama tamko
😂😂😂😂😂
 
Hawa hezbollah na magaidi mengine hayana ubabe wowote.Imagine hawana kambi wanajificha nyuma ya raia wasio na hatia.Wajitokeze wasonge front wauone motroooo
 
Kauliza swali muhimu sana America alimtisha akingia vitani atamshambulia ameingia yupo vitani ana mtandika Israel toka mwezi wa 10 tarehe 8.







Ameuliza pia Israel wapi kagain in military terms Ni zero



Huyu in muwaji watoto na wanawake na wagonjwa tu yani silaha yake ni kuvunja majumba tu 😅
 
Hawa hezbollah na magaidi mengine hayana ubabe wowote.Imagine hawana kambi wanajificha nyuma ya raia wasio na hatia.Wajitokeze wasonge front wauone motroooo
Hezbollah ni jeshi sio wavaa kobazi, wana training kama special forces wengine kama Navy Seal na Sayeret Matkal Israel. Hakuna udini hapo kwani kuna askari wengi hapo ni christians, Hezbollah ilianzishwa kuilinda Lebanon dhidi ya uvamizi wa Israel.
 
Marekani alishawaonya hizbullah siku nyingi wasiingilie,maana yake hizbullah ni nux na hayo maneno ya idf ni ya kioga tu/kujihami,wassubiri muziki,Kuna wamba buku sita wameingia Lebanon toka Syria
 
Kipindi IDF wanaingia Gaza ndio ulikuwa muda muafaka kwa Hizbullah na wenzake kuanzisha vita rasmi nilipoona kimya nikajia tu ndio imeisha hiyo Hamas walinywe maana wamelikoroga wenyewe.
Vita timing babu,ngoja wachoshwe kwanza huko gaza
 
Silaha za NATO na USA walizompa Ukraine zimefika kwa Taliban
 
Unaropokwa
 
Kuna majamaa majinga umu yana okota video za kwenye Games na picha zilizo tengenezwa kwa AI tools kisha zina leta kama uthibitisho ukisikia ukilaza si ndo huu??
wakati wenzetu tuna pambana na shule nyie mlikua mna pambana na madrasa sasa hapa ndo tofauti unapo iona
 
hivyo visilaha vyote vitasambaratishwa kwa drone kadhaa tu wala hakuna kitu hapo. jeshi ni silaha, akili, pesa, chakula, na technolojia. ukiwa na maguvu ila huna pesa, huna technolojia na huna chakula, utashindwa tu. hapo yakipigwa mabom kadhaa tu wataanza kuomba msaada wa chakula toka UN kama ilivyo Gaza sasaivi.
 
Tumia akili ustaadh, Israel hamuwezi na hamtamuweza, cheki mmeungana Iran, Syria, Hezbullah, Yemen, makundi yenu ya muqawama huko Iraq, nk, but bado mnabweka tu.

Sijaona mapya kwenye hotuba yenu hiyo, nyie ni ovyo sana mnalia nyuma Israel bila any action si ujinga huu.

Kila siku, ni kuandika humu thread na kuleta mapicha hapa za AI ili Dunia iwaonee huruma, Israel ndie baba yenu Middle East, akisema mnatulia kimya, kashajimegea Gaza ila nyie ni kulia tu🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…