LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Marekani itaongeza maradufu misaada kwa Israel kuizuia Heboullah isijiunge na hivi Vita.
Mwambie Kimsboy kipenzi cha ayatollah kwamba, afute hizo picha za AI alizotuletea humu, nimegundua Waislam hii vita mmeibeba kimihemuko tu, hakuna mnaloweza, alafu mmejaa duniani kama swali huko porini lakini nothing🤭🤭🤭🤭🤭
 
Hamna loote, Hizbullah mgambo tu wa suma jkt wanawakalisha, vita haipigwi mdomoni maustadh ok

Na Israel alishagundua kwamba nyie ni maneno mengi bila vitendo, aise nimeamini Israel ni kiboko
 
Vita siyo mipasho ya taarabu, mpe taarifa hii kiongozi wenu wa Hezbullah🤣🤣🤣🤣
kwahiyo alikuwa anawahubiria hayo kwamba wao makwao hawana TV ama Redio??
 
No
Washaanza kuufyata hawa watu[emoji1313][emoji1313] tukisema hezbollah ni babkubwa tuelewane

Sky News:

US Secretary of State Blinken will offer a 12-hour temporary ceasefire to Israel.
No ceasefire mwambie, Israel haogopi sauti ya wanawake maustaadhh wa Hezbullah
 
Huo moto wanao wao peke yao? Safari hii watashangaa maana moto utajibiwa kwa moto na mpaka vita hii inamaliIka, kila upande utakuwa na adabu
 
Wanaogopa ni Hezbullah coz wanajua vizuri mziki wa IDF magorofa yote Beirut yatageuzwa vifusi na mali za viongozi wao zilizo Lebanon yanaweza kuteketezwa nda saa 24 tu, wanajua kabisa Israel wamechafukwa na wakija full Hezbollah wanaweza ona cha moto
 
Huo moto wanao wao peke yao? Safari hii watashangaa maana moto utajibiwa kwa moto na mpaka vita hii inamaliIka, kila upande utakuwa na adabu
Wewe unafurahisha umejaa mahaba ya kiustaadh hapa, but in reality Gaza wamejipa taabu, saizi hamna Hamas wote wako shimoni huko, raia wote ni vilio hadi huruma, sasa unasema kila upande utakuwa na adabu huoni wewe ni mjinga, kwahiyo Israel awe na adabu wakati anawachakaza balaah🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Vita timing babu,ngoja wachoshwe kwanza huko gaza
Anayechoka ni nyie maustaadh, ukitaka kujua nchi iliyojizatiti kwa silaha duniani ni Israel, jidanganye coz ujui kilicho nyuma ya pazia wewe, Dunia hii unayoiona ni ya wasomi so nchi za kiarabu haziwezi kumtishia Israel pale ilipo na ndio maana vita zote wamekuwa wakipigwa waarabu😁😁😁😁😁😁😁
 
Marekani alishawaonya hizbullah siku nyingi wasiingilie,maana yake hizbullah ni nux na hayo maneno ya idf ni ya kioga tu/kujihami,wassubiri muziki,Kuna wamba buku sita wameingia Lebanon toka Syria
kwani USA ndie mkuu wao hao Hezbollah hadi wapangiwe na USA? hizi ni gonjera za kuomba huruma kwa raia🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanaogopa ni Hezbullah coz wanajua vizuri mziki wa IDF magorofa yote Beirut yatageuzwa vifusi na mali za viongozi wao zilizo Lebanon yanaweza kuteketezwa nda saa 24 tu, wanajua kabisa Israel wamechafukwa na wakija full Hezbollah wanaweza ona cha moto
Wote wanaweza sababisha kupata hasara, kabla dunia haijaingilia kati na kuomba kumaliza vita.
 
Hezbollah ni jeshi sio wavaa kobazi, wana training kama special forces wengine kama Navy Seal na Sayeret Matkal Israel. Hakuna udini hapo kwani kuna askari wengi hapo ni christians, Hezbollah ilianzishwa kuilinda Lebanon dhidi ya uvamizi wa Israel.
Wewe ni mjinga na muongo Hezbollah ni jeshi la kidini, ni Waislam wa Shia na kiongozi wao mkuu ni Ayatollah Khamenei sasa endelea kubinua matako juu hapo msikitini wakati hata huo msikiti ujui ina itikadi gani shia, sunni, nk🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Changamoto anayokumbana nayo IDF nikua anapigana nawatu wanaotaman kufa ili wakapate mabikira 72 kwakila jihadist mmoja. Ila ukweli nikua Gaza inachapika kwel kwel
 
Wote wanaweza sababisha kupata hasara, kabla dunia haijaingilia kati na kuomba kumaliza vita.
Dogo hujitambui Israel haogopi hao migambo wa Iran, ndg zao Hamas wanashughulikiwa na mko tu hapo karibu nao but hamuwezi kuwasaidia, vita mipasho ndg zangu washia🤣🤣🤣🤣
 
We ni muongo.
 
Wanaogopa ni Hezbullah coz wanajua vizuri mziki wa IDF magorofa yote Beirut yatageuzwa vifusi na mali za viongozi wao zilizo Lebanon yanaweza kuteketezwa nda saa 24 tu, wanajua kabisa Israel wamechafukwa na wakija full Hezbollah wanaweza ona cha moto
Hakuna kitu Israel itafanya kuwa defeat Hezbollah, labda kupiga majengo na madaraja ndicho kabakiza, Israel hata Tanzania tu tunamchapa.
 
Huyu jamaa wa Hezbollah ni fala sana, Dunia imekaa inamsubiri aseme su, kama atapeleka Migambo wake vitani, yeye anaenda kulalamika Israel inaonea watu mambo tuliyosikia miaka na miaka
Hizbullah wakiingia vitani na Israel watailetea maafa nchi ya Lebanon, sidhani kama wapo tayari kwa hilo.
 
Umeolewa kwanza? kuna jamaa anatafuta mke wa 4 ni oustadh flani hivi rafiki yangu sana.
 
Mbona kaongea utumbo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…