LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Dogo hujitambui Israel haogopi hao migambo wa Iran, ndg zao Hamas wanashughulikiwa na mko tu hapo karibu nao but hamuwezi kuwasaidia, vita mipasho ndg zangu washia🤣🤣🤣🤣
Kama ni wewe uliyepo kwenye avatar njoo PM, kuna Oustadh anatafuta mke, tena kama uki convert kuwa muislamu anakupa nyumba.
 
Kanyoe upike macaroni,haya siyo mambo yako, ukimaliza tinda nyusi upake wanja
 
Kikubwa msianze kulialia humu.. Wacha wapigane
Kijana, tunalia kwa miaka 75. Kipi kingine kitulize zaidi?

Tarehe 7/10/2023 ni ushindi mkubwa sana kwa Wapalestina na wapenda haki wote duniani.

Iandike tarehe hiyo kichwani mwako, usiisahau.

Kama bado hujauelewa kuwa ule ni ushindi wa karne, utauelewa hivi karibuni.
 
Israel inabidi watulie tu, ule mkwara wa Nasrallah leo si wa kitoto, halafu si mkwara, yule mzee akiongea ujue kaongea, 2006 aliwaambia nitawapeni surprise, na kweli, IDF walikuwa hawafahamu kama Merkava inaweza kupigwa ikasambaa vipande.
 
Arabs league on ceasefire
Wakati mnachochea vita halafu mnataka kusitisha Tena🤔
....
United Nations Failed Badly on Gaza Resolution- Arab League Chief
.
Arab league Demand Ceasefire Immediately ☪️
.
Arab league UN Ambassadors on Israel Gaza Issue 🎤
.
Arab league United Nations Ambassadors Remarks at United Nations Headquarters NEWYORK Today After United Nations Security Council Meeting
.
#Israel #Palestine #Netanyahu #MiddleEast #latest #gaza #Jerusalem #telaviv #today #video #jew #israeli #shadab #live #Video #Arab #arabic #iran #jews #UnitedNations #un #newyork #newyork #Speech
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/toptvcanada/videos/1022000192400731/
 
Nimeona hapa israel imepiga kombora msafara wa ambulance ukitokea Al Shifa hospital, hii piga ua lazima walitonywa Hamas walikuwemo humo.
 
Zikachemka kwa tiger za Jarumani sio chini ya Erwin Rommel kisanga alikua
Tiger zilikuwa useless kwenye unforgiving environment ya Urusi. Zilikuwa zinafleeze na kukwama kwenye tope. Na zilikuwa chache sana hazikuleta impact kubwa.
T-34 ilikuwa simple, affordable, rahisi kusafirisha na mass produced.

Alafu Rommel hakupigana Eastern front na kilichokuwa kinaendelea kule alikuwa anahadithiwa kwa propaganda na Waffen-SS na Gestapo za Heinrich Himmler. Rommel kapigana Misri kidogo, Tunisia zaidi kwenye African campaign uko akakutana na Field Marshall Bernard Montgomery 'Monty' na ndiko alipata jina la Desert Fox.

Akaja kupanga beach fortifications kuzuia allied landing kule France. Akaja amriwa ajiue alipopanga njama na maofisa wengine kumuua Hitler nadhani kwenye July plot au plot nyingine iliyofuata.

Eastern front kulikuwepo kina Kluge, Jodl na Keitel nao walifelishwa na mbinu za kiwendawazimu za Hitler aliyeleta ujuaji. Ujerumani ile ilikuwa na maofisa classic huwezi wapata jeshi lolote hadi dunia iishe
 
[emoji1][emoji1] Nilitegemea kiongozi leo kutangaza kuingia vitani rasm baada ya ile 'ultimatum' kumbe ni hizi blah blah tu zilizo zoeleka siku zote.
 
"This decision to launch operation was 100% Palestinian.
They kept it secret and Hamas didn't tell anyone about it. This secrecy is what made October 7 successful.

This secrecy didn't bother us. We congratulated them for keeping it secret and this didn't affect our decision making"

Nasrallah kasema hivyo basi Hamas inawezekana hawana chao. Na confrontation iliyopita kabla ya hii Hamas walifyatua maroketi wakawacontact Hezbollah vizuri alafu baadae Hezbollah chinichini ikapita ikadai haihusiki na mashambulizi yale.

Ninawaza labda Iran anataka aiache Hezbollah ikiwa intact ili imsaidie endapo atavamiwa. Hata hivyo Hezbollah ni Wasuni sidhani kama wataona urahisi kuitetea Iran kuliko Palestina
 
kipa katia mpira kwapani
Tamko kama tamko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya hotuba kumalizika sote tuliokuwa tunatazama tukacheka tu.Nilidhani leo ndiyo leo tunaona Kiongozi akiamuru vijana wake wainge vitani badala yake ikawa ni blah blah tupu
 
Nimeona hapa kuna msafara wa ambulance ukielekea Al Shiffa hospital umepiwa rocket, hii piga ua lazima Hamas walikuwemo humo.
Kila Mpalestina ni hamas, hilo lisikutie wasiwasi.

Kichapo walichochezea wayahudi siku waliyokuwa wanalewa (wikiendi), kila pombe zikiwatoka inabidi waongezee, mpaka leo akili hazijawakaa sawa.

Maneno ya Hassan Nassrallah leo hii hayo- Kamanda Mkuu wa Hizbullah.
 
Acha kuwadanganya wenzako Hezbollah ni Shia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…