"Uamuzi huu wa kuanzisha operesheni hiyo ulikuwa wa kiPalestina kwa asilimia 100.
Nimechanganya madesa Hamas ndio WasuniAcha kuwadanganya wenzako Hezbollah ni Shia.
Umeisoma/kusikiliza Hotuba? Jamaa ka address vizuri tu mpaka Katoa idadi ya mgawanyo wa Jeshi la IsraelHezbollah walisema mwanzo Israel ikiingia Gaza wanaingia vitani. Leo nikajua watatangaza vita kumbe hotuba ya salamu
Spokesman of the Israeli government @EylonALevy:[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya hotuba kumalizika sote tuliokuwa tunatazama tukacheka tu.Nilidhani leo ndiyo leo tunaona Kiongozi akiamuru vijana wake wainge vitani badala yake ikawa ni blah blah tupu
Tuseme tu ukweli kama sio USA backup ni hizo drone ,Israel ni wepes sanaAnayechoka ni nyie maustaadh, ukitaka kujua nchi iliyojizatiti kwa silaha duniani ni Israel, jidanganye coz ujui kilicho nyuma ya pazia wewe, Dunia hii unayoiona ni ya wasomi so nchi za kiarabu haziwezi kumtishia Israel pale ilipo na ndio maana vita zote wamekuwa wakipigwa waarabu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hizbollah ni kundi la Kishia ila pia linaungwa mkono na Wakristo wengi tu Lebanon, Raisi aliopita Michael Aoun ni Ally mkubwa tu wa Hezbollah.Wewe ni mjinga na muongo Hezbollah ni jeshi la kidini, ni Waislam wa Shia na kiongozi wao mkuu ni Ayatollah Khamenei sasa endelea kubinua matako juu hapo msikitini wakati hata huo msikiti ujui ina itikadi gani shia, sunni, nk🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Morocco tu pale jirani wana mzozo na Algeria. Ungesema Algeria na Arab league sawa ila Algeria na Africa sahau. Hakuna mweusi ataenda pigania Palestina. Yani Waarabu wenyewe wanakula maisha alafu atokee Muafrika kuipigania Palestina?Umeisoma/kusikiliza Hotuba? Jamaa ka address vizuri tu mpaka Katoa idadi ya mgawanyo wa Jeshi la Israel
Elite Soldiers wa IDF wapo stationed Mpaka wa Lebanon kwa Threat ya Hezbollah (hii Inaelezea kwa nini wanakufa kindezi kule Gaza) ukisoma miaka ya wanajeshi waliokufa na kutangazwa na IDF wengi ni miaka 19, 20 etc ina wale wanaotumwa Gaza kufa sio Main Army ya IDF na Hezbollah wame wa Check Point.
Katoa Mgawanyo kabisa kwamba 1/3 wapo mpakani kabisa na 1/2 ya fleet za Israel zipo ufukwe unaopakana na Israel.
Kwamba unaamini ama huamini data zake hilo moja ila utaona kuna ukweli hayo maneno yake.
Quote husika
- I will explain what we did in Lebanon after all this blood.
“The Israeli army initially withdrew its regular troops from our border and sent them to Gaza.
“Our attacks forced the Israeli army to keep troops on the Lebanese border, and we stopped Israeli attempts to transfer its special forces from here to Gaza.
“We exposed ourselves to fire, but we deprived the army of the opportunity to transfer all its forces to Gaza.
“I have exact figures for the strength of the Israeli army, up to a single digit.” And in simple terms, 1/3 of the Israeli army is now on our borders.
“Half of the Israeli fleet is on our beaches. 1/4 of Israeli forces are sent to Lebanon.
— Half of Israeli air defense is directed against Lebanon.
Pia so far hii vita mbichi ndio kama inaanza, kuna Tetesi Algeria wameshasign wanatuma wanajeshi, with Algeria involvement (hawa jamaa wanapendwa karibia na bara Zima la Africa) sitashangaa Nchi nyengine za Ki Africa kuunga mkono.
Tuseme tu ukweli kama sio USA backup ni hizo drone ,Israel ni wepes sana
Kama mwakinyoNimeanza nae ila ananichosha. Maneno mengi na kasisitiza shambulizi la tarehe 7 lilivyokuwa la Hamas 100%
Hivi huwa inakuwaje mnaaamini Hamas au Hezbollah wanaweza kuipiga Israel...Vita timing babu,ngoja wachoshwe kwanza huko gaza
Mama umetoka kuamini Hamas atashinda hadi hukuOpereshen ya Tufani ya Al Aqsa (Al Aqsa typhoon), haitosahaulika daima.
Ni ushindi mkubwa sana, kisiasa, kiintelijensia, kistrategia na kisaikolojia kwa Wapalestina.
South Hapo kama hizo tetesi ni Kweli kahusika kusaidia Vita ya Urusi na Ukraine, usi under estimate influence ya Algeria Africa. Na mpaka Leo western Sahara wana resist ni Sababu ya Algeria.Morocco tu pale jirani wana mzozo na Algeria. Ungesema Algeria na Arab league sawa ila Algeria na Africa sahau. Hakuna mweusi ataenda pigania Palestina. Yani Waarabu wenyewe wanakula maisha alafu atokee Muafrika kuipigania Palestina?
Ametoa data 1/3 ya jeshi ipo mpakani, 1/2 fleet zote zinaelekea Lebanon, kama ni kweli we mwenyewe unafahamu kwamba that's a lot.Israel ina wanajeshi na reserve wengine kiasi kwamba Gaza wamepeleka kiasi. Gaza haina hadhi ya kupigwa kwa kishindo mpaka kujimaliza. Israel inalinda mipaka dhidi ya Jordan, Syria, Egypt na Lebanon. Kusingizia umezuia jeshi la Israel lisipeleke nguvu Gaza ni vijisababu maana hakuna siku Israel itaacha mpaka wake wowote ukiwa wazi.
Hapa hajasema kwamba hawatovamia ila ameongea kwa strategyUlisema utavamia Israel endapo Gaza itavamiwa, Gaza imevamiwa na sasa unadai shambulizi la Israel lilikuwa 100% mpango wa Hamas na hatukujua na hatujachukia. Unaanza kusema tumesaidia jeshi la Israel liwe concentrated kwetu, alitekwambia Israel ingepeleka jeshi zima Gaza nani.
Tusubiri, maana jana tu waneteketeza eneo kubwa tu Israel Na wamelipua kambi na kamikaze.Mikwara tu
Hizbullah kabondwa lini!?..2000 zilipigwa, Israel akaachia eneo la Lebanon kusini aliloshikiria kwa takriban miongo miwili,2006 Israel alidundwa na hizbullah, Syria ana shida zake za ndani,hataki provocations nchi haijatulia, Israel huwaonea wapalestine ambao kawazingira wasiingize chochote,wametoka kwenye manati na kombeo na Sasa Wana modified AK 47 na homemade propelled grenades..na bado Israel jasho linamtokaHivi huwa inakuwaje mnaaamini Hamas au Hezbollah wanaweza kuipiga Israel...
Syria kila siku anabondwa hakuna siku amesema Su, Egypt hadi aliaamua kuwasaidia Israel kuilinda Gaza dhidi ya Hamas.
Kwani kichapo kilichoiamsha dunia usingizini cha tarehe 7 Oktoba alichezea nani?Hivi huwa inakuwaje mnaaamini Hamas au Hezbollah wanaweza kuipiga Israel...
Syria kila siku anabondwa hakuna siku amesema Su, Egypt hadi aliaamua kuwasaidia Israel kuilinda Gaza dhidi ya Hamas.
Ww una shule gani unayoringia?Kuna majamaa majinga umu yana okota video za kwenye Games na picha zilizo tengenezwa kwa AI tools kisha zina leta kama uthibitisho ukisikia ukilaza si ndo huu??
wakati wenzetu tuna pambana na shule nyie mlikua mna pambana na madrasa sasa hapa ndo tofauti unapo iona
Sishabikii yeyote, kikubwa wapigane wa kuichukua Gaza na aichukue!Kijana, tunalia kwa miaka 75. Kipi kingine kitulize zaidi?
Tarehe 7/10/2023 ni ushindi mkubwa sana kwa Wapalestina na wapenda haki wote duniani.
Iandike tarehe hiyo kichwani mwako, usiisahau.
Kama bado hujauelewa kuwa ule ni ushindi wa karne, utauelewa hivi karibuni.
Ndo maana 🇮🇱🇮🇱 hasikii sauti za aina yoyote Kwa Hawa wahuni .Kila Mpalestina ni hamas, hilo lisikutie wasiwasi.
Kichapo walichochezea wayahudi siku waliyokuwa wanalewa (wikiendi), kila pombe zikiwatoka inabidi waongezee, mpaka leo akili hazijawakaa sawa.
Maneno ya Hassan Nassrallah leo hii hayo- Kamanda Mkuu wa Hizbullah.
Kwani South walituhumiwa kusaidia vita ya Urusi kwa kutoa silaha. Au kufanya mazungumzo na kuendeleza mahusiano ya kidiplomasia waziwazi.South Hapo kama hizo tetesi ni Kweli kahusika kusaidia Vita ya Urusi na Ukraine, usi under estimate influence ya Algeria Africa. Na mpaka Leo western Sahara wana resist ni Sababu ya Algeria.
Sasa si wapigane nalo hilo jeshi hapo mpakani kama walivyotoa ahadi.Ametoa data 1/3 ya jeshi ipo mpakani, 1/2 fleet zote zinaelekea Lebanon, kama ni kweli we mwenyewe unafahamu kwamba that's a lot.
Basi Israel haijiwezi vamia sasa visingizio vya nini. Haina jeshi kubwa tumekubali, ni ombaomba tumekubali. Aya mnaogopa ombaomba na adui dhaifu?Na Israel wanatembeza Bakuli Usa sasa hivi ila huku mnawasifia wana jeshi kubwa kulinda mipaka yote, Jamaa pia Ali adress hilo la jeshi la Israel
European and Western leaders come from all over the world to express their support for Israel, this shows the weakness and need of the Zionist regime for foreign help to survive.
- Where is Israel, which used to boast of its strongest army in the world? Where is your Air Force? Where do you get high quality weapons?
— From the first days, Israel requested new weapons from the United States... Is this a strong country capable of getting back on its feet?
“American generals and their experts come to the organization, and from the first day it was decided to open American weapons caches. Israel asked for $10 billion. Is this a strong state? Is this a state that can stand on its own feet?
“Hamas expected this Israeli retaliation, and such a great action deserves great sacrifices, and the people of Gaza were ready to sacrifice.
“Gaza had no choice but to either wait and die or resist.
Tunaona jeshi kubwa Duniani linavyotembeza Bakuli na Kusaidiwa mpaka Chakula, bunduki, makombora etc, lenyewe halijiwezi.
Kipigo cha mbwa koko kinasubiriwa kwa hao wanamgambo wanaodekezwa. Hezbollah ikiishinda Israel vitani nipigwe ban ya maisha. Waite hata mods. Mlizoea ile 2006 mnapigwa kwa kuogopa raia, sasa hivi Israel itabomoa hata hizo hospitali zenu endapo zina makazi ya wanyang'anyi.Hapa hajasema kwamba hawatovamia ila ameongea kwa strategy
“We entered the battle on October 8th.
“Some people say that today I would announce our intervention, but we have been interfering since October 8, the second day of the Al-Aqsa Storm.”
“Some people want us to go to full-scale war, and for them, action on the northern border may be seen as limited, but this is definitely not the case.
“We will not stop there [on the Lebanese-Palestinian border] and will move on to a new stage.
“The resistance in Lebanon is and will continue to wage a real war on the border"
Tusubiri, maana jana tu waneteketeza eneo kubwa tu Israel Na wamelipua kambi na kamikaze.
Nyie sijui mnataka nini[emoji1][emoji1] Nilitegemea kiongozi leo kutangaza kuingia vitani rasm baada ya ile 'ultimatum' kumbe ni hizi blah blah tu zilizo zoeleka siku zote.
HEZBOLLAH NDIO WANAHAA KWA KUONGEA NGONJERA TU BILA VITENDO.Nyie sijui mnataka nini
If he declares war on Israel, you will say there is no balance and Lebanon will be destroyed
If he threatens Israel, you say just talk
If 57 martyrs came, you'd say that it is not enough to call for an open war
If he remained silent, you would say afraid What is your role? Maana unahaha tu.....