LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ww una shule gani unayoringia?
Hao wapalestina wako vizuri kuliko nchi yako.
For Fun,
-Kama Palestina Ingekua Africa Ingekua nchi ya 15 kwa Utajiri wa pato la mtu mmoja mmoja. Wa hela Kuliko Nchi za Africa zenye Mafuta kama Angola na Nigeria.

-palestine kuna Madokta 2.2 kila Wagonjwa 1000, average ya bara zima Africa ni dokta mmoja kwa kila Wagonjwa 2700 na Tanzania dokta mmoja wagonjwa 20,000.

-literacy rate Palestina ni Asilimia 97.5 bara la Africa on average ni Asilimia 67.4

Hao jamaa wamefungiwa Ndani, umeme shida, Maji shida ila karibia kila metric Wanafanya Vizuri kuliko Majority countries za Africa.
 
MKUU HAYO MASAA BADO?
HAO MAHAYATOLAH WAANZE KUIMBA NGONJERA ZAO TENA 🤣🤣🤣😂.
ILI UANDIKE UZI MWINGINE HAPA KUSIFIA NGONJERA ZAO?
 
Opereshen ya Tufani ya Al Aqsa (Al Aqsa typhoon), haitosahaulika daima.

Ni ushindi mkubwa sana, kisiasa, kiintelijensia, kistrategia na kisaikolojia kwa Wapalestina.
Ushindi uliowaletea maafa ?
 
Nimekuja kuangalia tamko mbona hola, Hakuna tamko. Hezbollah imeshindwa kabla haijaanza
 
Ukiona mkuu wa Hizbullah anatoa tamko basi jua hali ya Muqawama wetu ni mbaya muno?
 
Hata hivyo Hezbollah ni Wasuni sidhani kama wataona urahisi kuitetea Iran kuliko Palestina
Hezbollah ni washia asilimia kubwa (wasunni na wakristo baadhi wamo pia), ndio maana hawapendwi na watawala wa nchi za Ghuba
 
Huyo yehova ndio mungu pekee ambae hana tatizo na mashoga,ndio maana sasa hv hadi kanisani linawatambua mashoga na israel ndio makao makuu ya mashoga wote duniani.
Vipi allah ndio pekee wa waislamu na yeye hana tatizo na mashoga hawa pia maana naona na hawa makao yao makuu ni Ryadh saudi arabia
 
Nimekuja kuangalia tamko mbona hola, Hakuna tamko. Hezbollah imeshindwa kabla haijaanza
🤣😂😂😂 tamko au ngonjera.
Lipo wapi na litabadilishs nn??
Yeye mwenyewe kajificha anawaogopa wayahudi na hata kuhutubia anatumia video zilizorekodiwa
 
Kwani South walituhumiwa kusaidia vita ya Urusi kwa kutoa silaha. Au kufanya mazungumzo na kuendeleza mahusiano ya kidiplomasia waziwazi.
Kutoa Silaha unless haukuwa unafuatilia Hio vita ama umesahau.


Na hizo Allegations alitoa Ambassador wa US hapo South Africa.
Sasa si wapigane nalo hilo jeshi hapo mpakani kama walivyotoa ahadi.
Wapigane mara ngapi sasa, Jana tu kambi imefumuliwa na kamikaze we una assume kama wamekaa tu. It's just ni kwamba hakuna all out war ila skirmish za hapa na pale Zinatokea kila siku.
Gaza ni Eneo la Vita na ipo baharini, Fleet kwenye eneo la vita hazipo kwa wingi zipo kwengine huoni kama hao Lebanon wanaogopewa zaidi?

Israel anapakana na Lebanon, Syria, Jordan, Egpty, Cyprus na Hao Palestina, kwa 1/3 ya Jeshi kuwa stationed Lebanon bado hujui kufanya easy math? Na usisahau si jeshi lote linakaa Border.
Usipanic, fumbua tu macho kwamba ulichokua ukikiamini miaka yote ni uongo.
Noted, so far Hezbollah 2 - Israel 0 bado tu Hio Hattrick.
Wangekua wanayajua hayo mahandaki wangeshatuma drones siku nyingi na kuwaua wote, deep in your heart unajua huo ni uongo.

Nimekuonesha video kibao na IDF wenyewe wamekiri kuretreat maeneo kibao ya Gaza sababu ya Tunel War fares, wenyewe wamekiri kuwa surprised na hayo mashambulizi ila wewe chawa wao sasa unajua kila kitu na upo confident eti wanayajua, they have no clues ya Hio network ya mashimo ya Hamas.
 
Nimekuja kuangalia tamko mbona hola, Hakuna tamko. Hezbollah imeshindwa kabla haijaanza
🤣😂😂😂 tamko au ngonjera.
Lipo wapi na litabadilishs nn??
Yeye mwenyewe kajificha anawaogopa wayahudi na hata kuhutubia anatumia video zilizorekodiwa
 
Tutajie silaha ya jeshi la Marekani inayotumika na Israel vitani Gaza
Anza kwanza na aid ya dola bilioni 3 kila mwaka, juzi hapo wameomba dola bilioni 14 wapambane na Hamas, silaha za kimarekani ni nyingi tu zinatumika. Ipo wazi ni mnunuaji mkubwa wa silaha za kimarekani kuanzia rifles hadi ndege vita na missiles.

Toka mwaka 2011 hadi mwaka 2021 USA wametoa dola bilioni 1.6, kusaidia kutengeneza iron dome.
2021 Bunge la marekani walipitisha pendekezo kuisaidia Israel dola bilioni 1 katika kusaidia uendeshaji wa Iron Dome. Hii achana na ile budget waliyopewa na USA ambayo ni dola bilioni 3.8 mwaka huo 2021.

Lakini hata hivyo kabla ya pendekezo la bunge la US kuisaidia fedha Israel, tayari US walikua wanaisaidia Israel kutengeneza Iron Dome.

Israel pasipo back up ni wa kawaida sana. Tena sio kawaida ni mlaini.
 
Israel ni kama jimbo la 51 la US, misaada ya US inawabeba sana.
 
Israel imechanganyikiwa, wamekuwa waoga na hawajui wana deal na kina nani. wanakisia kila mtu, hio ni dalili ya uoga uliopitiliza.
Huenda Israel inafanya mashambulizi ya nguvu yenye kuleta maafa ili kuonyesha dunia bado ina nguvu.

Hili shambulio la October 7 limewafedhehesha mno, hata waarabu waliokuwa wanaiona Israel kama inaweza kutegemewa kuizuia Iran, wamerudi nyuma.

Raia wengi wa Palestine wamekufa na watazidi kuuawa ila kuitokomeza Hamas haitakua rahisi, Hamas imeshakuwa ' ideology' haimalizwi kwa bunduki pekee.
 
Opereshen ya Tufani ya Al Aqsa (Al Aqsa typhoon), haitosahaulika daima.

Ni ushindi mkubwa sana, kisiasa, kiintelijensia, kistrategia na kisaikolojia kwa Wapalestina.
Ni ushindi? Na uko serious kabisa?
 
We muimba kwaya hivi unadhani vita ni nini wewe, unapoingia vita lazima uwe una target, sa target ya Israel ni kitu gani.

Kuwamaliza Hamasi, na kurudisha matekwa na hajafanikisha hata moja katika hayo na hata fanikisha.

Target ya Hamasi ni kuwaonyesha watu Israel si super power, na anaweza kupigika.

Si kama alivyo kuwa anakuzwa na vyomba vya Western na US ukweli haiwezi vita bila kusaidiwa na US na Western

Target ya Hamasi ni kuiangusha economy ya Israel na kafanya, target kuonyesha watu wanaye jidai ndio wana democracy pale Middle East ni wauwaji wanawake, watoto, wagonjwa na upumbafu wa kila aina.

Democracy gani mnayosema anayo Israel? Wao na America vita hawaviwezi zaidi ya kupiga watoto, wanawake, vunja majumba na ma hospital.

Navyo fahamu unapoingia vitani pigana na wanao kusumbua si kuonea watu hawana silaha afu bado mnajisifu 😄

Akili Mali kweli. Ingekuwa vita nikutumia silaha zilizoharamishwa na UN kuwauwa wanawake, watoto, wagonjwa ndio vita ɓasi haina haja kuwekwa sheria ya UN na Human rights ambazo zote US na Israel wanazivunja, najuu ya hayo yote bado Hamasi anawadunda na hawataweza kumshinda wala kurudisha hao matekwa.

Kuhusu Hezbullah hajasema haingi vita alicho sema wanamini wazi Hamasi haihitaji msada wa mtu wanauwezo, na Israel hawezi kuimaliza Hamasi wala hawezi kuridisha hao matekwa.

Na alicho sema wataingia vitani kutokana na vipi vita Gaza inavyo enda na wao wako vitani lakini sio ile vita kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…