Tumia akili ustaadh, Israel hamuwezi na hamtamuweza, cheki mmeungana Iran, Syria, Hezbullah, Yemen, makundi yenu ya muqawama huko Iraq, nk, but bado mnabweka tu.
Sijaona mapya kwenye hotuba yenu hiyo, nyie ni ovyo sana mnalia nyuma Israel bila any action si ujinga huu.
Kila siku, ni kuandika humu thread na kuleta mapicha hapa za AI ili Dunia iwaonee huruma, Israel ndie baba yenu Middle East, akisema mnatulia kimya, kashajimegea Gaza ila nyie ni kulia tu🤣🤣🤣
We muimba kwaya hivi unadhani vita ni nini wewe, unapoingia vita lazima uwe una target, sa target ya Israel ni kitu gani.
Kuwamaliza Hamasi, na kurudisha matekwa na hajafanikisha hata moja katika hayo na hata fanikisha.
Target ya Hamasi ni kuwaonyesha watu Israel si super power, na anaweza kupigika.
Si kama alivyo kuwa anakuzwa na vyomba vya Western na US ukweli haiwezi vita bila kusaidiwa na US na Western
Target ya Hamasi ni kuiangusha economy ya Israel na kafanya, target kuonyesha watu wanaye jidai ndio wana democracy pale Middle East ni wauwaji wanawake, watoto, wagonjwa na upumbafu wa kila aina.
Democracy gani mnayosema anayo Israel? Wao na America vita hawaviwezi zaidi ya kupiga watoto, wanawake, vunja majumba na ma hospital.
Navyo fahamu unapoingia vitani pigana na wanao kusumbua si kuonea watu hawana silaha afu bado mnajisifu 😄
Akili Mali kweli. Ingekuwa vita nikutumia silaha zilizoharamishwa na UN kuwauwa wanawake, watoto, wagonjwa ndio vita ɓasi haina haja kuwekwa sheria ya UN na Human rights ambazo zote US na Israel wanazivunja, najuu ya hayo yote bado Hamasi anawadunda na hawataweza kumshinda wala kurudisha hao matekwa.
Kuhusu Hezbullah hajasema haingi vita alicho sema wanamini wazi Hamasi haihitaji msada wa mtu wanauwezo, na Israel hawezi kuimaliza Hamasi wala hawezi kuridisha hao matekwa.
Na alicho sema wataingia vitani kutokana na vipi vita Gaza inavyo enda na wao wako vitani lakini sio ile vita kubwa.