Huwezi kuiangamiza Hamas bali itadhohofishwa tu.Huenda Israel inafanya mashambulizi ya nguvu yenye kuleta maafa ili kuonyesha dunia bado ina nguvu.
Hili shambulio la October 7 limewafedhehesha mno, hata waarabu waliokuwa wanaiona Israel kama inaweza kutegemewa kuizuia Iran, wamerudi nyuma.
Raia wengi wa Palestine wamekufa na watazidi kuuawa ila kuitokomeza Hamas haitakua rahisi, Hamas imeshakuwa ' ideology' haimalizwi kwa bunduki pekee.
Hezbollah ni kundi la Kishia ila lina Wakristo kibao humo ndani yake. Sababu Lebanon ina Wakristo kama 30%+ hivi, zamani walikuwa wengi zaidi ya 60% ila Wapalestina walivyoingia wote Waislamu. Alafu Waislamu wanazaliana sana.Wewe ni mjinga na muongo Hezbollah ni jeshi la kidini, ni Waislam wa Shia na kiongozi wao mkuu ni Ayatollah Khamenei sasa endelea kubinua matako juu hapo msikitini wakati hata huo msikiti ujui ina itikadi gani shia, sunni, nk🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naona umeanza mipasho badala ya hoja.Si ndio wanayabomoa. Au unadhani kukaa na mateka kutawasalimisha na kipigo cha mbwa koko. Mahospitali yenu yaliyopo juu ya maandaki nayo yatapigwa.
Sasa mkuu hizo ni nguvu gani anazo onesha kwa kuuwa watu hovyo zaidi ya kulifanya jeshi lake lionekane la hovyo na lisilo kuwa na weledi.Huenda Israel inafanya mashambulizi ya nguvu yenye kuleta maafa ili kuonyesha dunia bado ina nguvu.
Hili shambulio la October 7 limewafedhehesha mno, hata waarabu waliokuwa wanaiona Israel kama inaweza kutegemewa kuizuia Iran, wamerudi nyuma.
Raia wengi wa Palestine wamekufa na watazidi kuuawa ila kuitokomeza Hamas haitakua rahisi, Hamas imeshakuwa ' ideology' haimalizwi kwa bunduki pekee.
Unajua kuwa hiyo Iron Dome Marekani imetoa pesa kwa Rafael Defense System ili ije baadae itumie teknolojia?Anza kwanza na aid ya dola bilioni 3 kila mwaka, juzi hapo wameomba dola bilioni 14 wapambane na Hamas, silaha za kimarekani ni nyingi tu zinatumika. Ipo wazi ni mnunuaji mkubwa wa silaha za kimarekani kuanzia rifles hadi ndege vita na missiles.
Toka mwaka 2011 hadi mwaka 2021 USA wametoa dola bilioni 1.6, kusaidia kutengeneza iron dome.
2021 Bunge la marekani walipitisha pendekezo kuisaidia Israel dola bilioni 1 katika kusaidia uendeshaji wa Iron Dome. Hii achana na ile budget waliyopewa na USA ambayo ni dola bilioni 3.8 mwaka huo 2021.
Lakini hata hivyo kabla ya pendekezo la bunge la US kuisaidia fedha Israel, tayari US walikua wanaisaidia Israel kutengeneza Iron Dome.
Israel pasipo back up ni wa kawaida sana. Tena sio kawaida ni mlaini.
Kwahiyo unaamini video ya jamaa kaenda kulipua kifaru kwa mkono tu kuchomeka bomu? hiyo ni video grafhics tu animation jiulize karecord nani hapo? Ujinga ni mzigo... kuna aina nyingi za kulipua kifaru gaidi kaadithia tu magaidi wakatengeneza animation kawarushia Waislam wakaamini kama Mudy alivyokuwa anawadanganya kueneza uislam mkawa watumwa wa Moon God Jiwe jeusi. Wenzio wanalia wewe unachekelea tu endelea hadi vicheko viishe Hamas hii ndio 40 yake hachomoki...Yani hilo ndio jeshi lenu wakristo kweli mashoga mtabaki kuwa mashoga tu, una kifaru jamaa anawafata peke yake, anakirupua na nyie mnajinyea kwenye kifaru 😄
Aibu hi mtaificha wapi ma super power wa kishoga wauwaji watoto, wanawake, wavunja mahospital na mashule.
View: https://youtu.be/92mWcBXlF14?si=6-tjaZRrM9aPGYU8
View: https://youtu.be/LDHJ9lHmZzA?si=c2ok9fyw5jJuR4Ug
Live sasa hivi vitu vimeshuka Tel Aviv
Mungu wa nyoko. allah sio munguMungu awakumbuke hawa wanyonge, wanateseka mno na dunia ipo kimya.
Israel-Hamas war updates: Israeli strike hits Gaza medical convoy
These were the updates on the Israel-Hamas war for Friday, November 3.www.google.com
Ujinga mzigo... Nakuhakikishia hutaoa Israel akisimamisha vita sababu haogopi kima yeyete na atapiga hapo na akimaliza atawafuata Hamas wanaopiga kelele nje ya Gaza ndio maana hata Westbank wanasakwa wote hadi waishe hat Serikali ya Palestina inasaidia kuwatonya IDF.. na wewe kelele zikizidi IDF wanakuhusu.. All Arabs Counrty wanaunga mkono kichapo cha Hamas... Kwa Muislam yeyote hata awe abdool wa aina gani hawezi shabikia Hamas... Hezbollah kaona Israel yupo seriously mn this time kaufyata chali... muulize kama ashamaliza kuzika wanajeshi wake 70 aliokuwa anawategemea sana kuitishia Israel Nyau... Vita haiishi hadi Hamas waishe then next ni Hezbollah kisha Iran baba lao linalowachocheaAmerica nasikia katuma ujumbe nchi za kiarabu atafanya kila njia kusimamisha vita hataki vita.
Na watalipa yeye na Saud Arabia ghara zote za kujenga Gaza, kabla ya masaa 24 ujumbe alifikishiwa Nasurlah na Qatar.
Na pili Natanyahau ndio bye bye na Hamasi ataendeleza kichapo mpaa Israel awache vita kwa masharti ya Hamasi.
Akiendelea kupiga civilian Hezbullah ataingia na Israel total war
We wacha kujidanganya Hezbollah leader amesema all possibilities still open in hostilities with Israel.Ujinga mzigo... Nakuhakikishia hutaoa Israel akisimamisha vita sababu haogopi kima yeyete na atapiga hapo na akimaliza atawafuata Hamas wanaopiga kelele nje ya Gaza ndio maana hata Westbank wanasakwa wote hadi waishe hat Serikali ya Palestina inasaidia kuwatonya IDF.. na wewe kelele zikizidi IDF wanakuhusu.. All Arabs Counrty wanaunga mkono kichapo cha Hamas... Kwa Muislam yeyote hata awe abdool wa aina gani hawezi shabikia Hamas... Hezbollah kaona Israel yupo seriously mn this time kaufyata chali... muulize kama ashamaliza kuzika wanajeshi wake 70 aliokuwa anawategemea sana kuitishia Israel Nyau... Vita haiishi hadi Hamas waishe then next ni Hezbollah kisha Iran baba lao linalowachochea
ilo jina lako kwa tafsiri ya mahala nnapo ishi lina maanisha @UnagongwaWw una shule gani unayoringia?
Hao wapalestina wako vizuri kuliko nchi yako.
Saa Ule Uongo wa Wakina TB Joshua...Mwamposa na akina muingira ndio unataka Masheikh nao wafanye utapeli wa aina ile??Sijawai kuona sheikh akitabiri jambo alafu likatokea...
Alafu kabla yakuchagua upande wa wafilisti ambao ni wapalestina, unatakiwa ujue kwamba hao jamaa wameteka Watanzania wenzetu, hivyo pia ni maadui kwetu
Yemen iko dhoofli haina jeshi mtu ambae akiingia utasikia mtiti ni Iran[emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]View attachment 2799330
Kaka hivi vikundi vya kigaidi vinapata msaada toka Ilani, sasa na yeye Ebrahim dawa yake inachemka.Hamna point ya maana Nasrallah kasema. Najua mashabiki zake watakuwa disappointed, hata onyo lake ni jepesi. Eti Israel ikiendekeza escalation mambo yatakuwa mabaya zaidi. Nilitarajia atangaze vita sasa.
Mwanzoni walitangaza Israel ikiingia Gaza wanaishambulia. Leo siku kadhaa majeshi ya Israel yapo Gaza na Hezbollah bado hawajaanzisha vita bali mashambulizi mpakani. Na wapiganaji wa Hezbollah zaidi ya 50 wameuliwa mpaka sasa.
Nimetazama Aljazeera mwanzoni nilitaka kutumia Press TV nikahisi Iranians watatia chumvi. Aljazeera huwezi sema hawajui Kiarabu au watatafsiri vibaya
Mnafuatiliia mabomu yanavyopiga watoto na shule sasa mabwana zenu wanapiga mabomu mpaka magari ya wagonjwa eti Hamas wamo humo wakiambiwa waonyeshe ushahidi hamna.Mtaokoteza mapicha ila sisi tunafuatilia live, na kuna mapicha ukiangalia kule Telegram aisei utalipuka mabomu....
Hivi leo mliandamana na mikanzu yenu?
Sisi tunapiga kila gaidi, awe mtoto,mwanafunzi etc.Mnafuatiliia mabomu yanavyopiga watoto na shule sasa mabwana zenu wanapiga mabomu mpaka magari ya wagonjwa eti Hamas wamo humo wakiambiwa waonyeshe ushahidi hamna.
Ndio kawaida yao mkuu wanapenda kuzaliana ili wawe wengi, wapuuzi sana.Hezbollah ni kundi la Kishia ila lina Wakristo kibao humo ndani yake. Sababu Lebanon ina Wakristo kama 30%+ hivi, zamani walikuwa wengi zaidi ya 60% ila Wapalestina walivyoingia wote Waislamu. Alafu Waislamu wanazaliana sana.
Alafu Wakristo wa Lebanon wengine wana majina ya Kiislamu. So usipumbazwe kwa kusoma jina.