Anza kwanza na aid ya dola bilioni 3 kila mwaka, juzi hapo wameomba dola bilioni 14 wapambane na Hamas, silaha za kimarekani ni nyingi tu zinatumika. Ipo wazi ni mnunuaji mkubwa wa silaha za kimarekani kuanzia rifles hadi ndege vita na missiles.
Toka mwaka 2011 hadi mwaka 2021 USA wametoa dola bilioni 1.6, kusaidia kutengeneza iron dome.
2021 Bunge la marekani walipitisha pendekezo kuisaidia Israel dola bilioni 1 katika kusaidia uendeshaji wa Iron Dome. Hii achana na ile budget waliyopewa na USA ambayo ni dola bilioni 3.8 mwaka huo 2021.
Lakini hata hivyo kabla ya pendekezo la bunge la US kuisaidia fedha Israel, tayari US walikua wanaisaidia Israel kutengeneza Iron Dome.
Israel pasipo back up ni wa kawaida sana. Tena sio kawaida ni mlaini.