Mkuu ni ukweli tunajua kuwa palestina anaonewa lakin hii haifanyi sote tuunge mkono upumbavu wa Hamas unaoenda kusababisha vifo vya watu wengi wa palestina wasio na hatia.Hii ni mbaya sana bora wangetulia vita si vya kukurupuka mtaisha vibaya mno ,raia bora waanze kukimbia kabisa wale wajomba wakianza kurusha yao hawajui huruma ina rangi gani ...
They will bounce back heavily, dangerous and the World shall know how Powerful and Disastrous Israel ( the Country GENTAMYCINE I love mostly ) is.
Karibu na Egypt waingie chapu ,ila tatizo Egypt wana mikataba ya ushirikiano na makubaliano na Israel kuna kipindi wakimbizi wa Palestina walikuwa wanazuiliwa kuingia Misri.Raia wa Gaza kama wana akili waaze kukimbia,leo cha kuwaokoa ni mbio tu