FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Nilishauri kwamba tuutazame huu mgogoro katika perspectives zote! Nina maswali kadhaa kwaajili yako:Unachoshindwa kuelewa na kuzingatia ni kwamba netanyahu na Zionists wenzie hawana uhusiano wowote na Hilo eneo la Palestine,si kwao,ndiyo maana nikakupa mfano wa lugha na Imani ya kiyahudi,Mimi muislam,siwezi sema saudia kwetu kisa mtume alizaliwa huko,waisriwa 'asili' waliokuwepo wakiishi bega kwa bega na wapalestine wao wakiwa minority,na hao real Jews/Israelis wanawapinga akina netanyahu,Zionism ni political movement iliyochanganywa na dini,netanyahu hapo Palestine Hana uhusiano napo,mfano wa Tanganyika na wakongo usiukwepe,Kuna wanyamwezi walienda Kongo zamani na mpaka Leo wapo huko na lugha yao inashabihiana na kinyamwezi,siku wakirudi tabora na kudai nchi yao itakua sawa!?
Bado wakristo wengi hawajui Neno la Mungu na wanaishi bado Agano la kale. Yumeshatoka huko na mambo ya kale yamepita na hayatarudi tena.Wewe bado hujajua mambo,ni kweli ila Mungu Huwa haachi agano lake hata kama Hawa jamaa walimtenda dhambi,mwisho wa nyakati watarudiwa tena na Bwana
Vitu gani vilivyotokea kabla? Umetoa mfano ambao ni unrealistic!SHERIA gani ya kimataifa Na wewe, UN si imeanzishwa 1945? Unaweza ukaanzisha kitu 1945 kije kutoa hukumu ya Vitu vilivyotokea kabla? Leo Kuanzishwe Sheria kula Wali haifai halafu tukukamate sababu ulikua Wali mwaka jana ina make sense kwako?
So Ina maana kabla ya Uhuru wa Tanganyika wangepewa Wa Iran Nchi tukafukuzwa sisi according to you Ingekua sawa sio? Sababu 1960 haukuwa na Uhuru.
Nimeongea mambo mengi tu kuanzia miaka ya 1700 wakati Napoleon alipo taka kuwaleta Wayahudi Palestina na Evidence Zipo library ya kiyahudi na link nimekuekea ila Evidence zote unazipotezea na kuandika unachoamini wewe.
Endelea mkuu kuamini unachotaka sometime ngumu kubishana na mtu ambaye ana majibu yake tayari kichwani.
Wale hawaitaji watu kujiunga Kama mlivyojiunga kule misri na waarabu wenzenu. Kilichotokea misri ataki kusikia juu ya kupigana na Israel zaidi ya mazungumzo tuUna Mahaba ,Kajiunge na Taifa Teule ,mshambulie maadui zenu.
Kazi yao Hamas imekwisha, Israel ni wahuni sio wajinga watatumia sumu kali humo,sema tu mateka wako kwenye hizo tunnels🤣🤣🤣🤣🤣tuongee yooote, lakini cha kushukuru ni kwamba, Israel wameikata Gaza katikati, na kuzingira eneo lote ambalo Hamas wamechimba mahandaki, hivyo hawataondoka hapo hadi hamas waishiwe umeme, maji, chakula na makombora, na watawakamata kama panya tu. hilo ndio la msingi. raia wamekimbilia kusini, wale raia waliobaki kaskazini ambako israel imeshazingira wamejitolea kufa na hawatalaumu mtu kwasababu walipewa nafasi ya kuondoka. hamas sasaivi wapo katikati wamezungukwa pande zote. wanajeshi wa Israel kweli watakufa kwasababu vita ya mahandakini ni ngumu ila at the end of the day hata wakiamua kukaa kimyaa bila kupigana kwa miezi kadhaa, hamas watakufa kwa njaa au watajitokeza juu na kukamatwa.
Sawa,Mwana Wa Israel.Wale hawaitaji watu kujiunga Kama mlivyojiunga kule misri na waarabu wenzenu. Kilichotokea misri ataki kusikia juu ya kupigana na Israel zaidi ya mazungumzo tu
Hizo mipicha yalipigwa kipindi hawajavamia Israel na kuchinja watoto ustaadh, saiz hakuna Hamas mtaani Gaza usitudanganye bibie🤣🤣🤣
Mwambie saa hizi Hamas wanavaa baibui na ushungi Kama yeye.uwezi tofautisha maana wote wanaonekana Ni wa kikeHizo mipicha yalipigwa kipindi hawajavamia Israel na kuchinja watoto ustaadh, saiz hakuna Hamas mtaani Gaza usitudanganye bibie🤣🤣🤣
Hamas hawezi vaa gwanda saiz na ajitokeze hadharani, wote wako chini ya ardhi ila wanafuatwa huko huko na wahuni wa IDF
Lakini haina active militants wa Hamas wala tunnel networks kufanya mashambulizi. But they equally get rough treatment kama Gaza tu from the zionist regime.lakini ina ushawishi na wafuasi ndani ya West Bank vilevile.
Mkuu ina maana hujui kuna drone attacks zinafanyika West Bank?Labda kuwepo na hoja na ushahidi kwamba hayo mauaji yanayofanyika West Bank ni ya makusudi
Wanafiki tu hawa, Ukraine kavamiwa wanamtetea ila kwa Palestina wanaona ni haki kuporwa nchi yao!! I used to sympathise with Ukraine but how I wish Russia destroys it for the sake of western hypocrisyMan of the match,jamaa anapiga kazi kwelikweli
Power & diplomacy ya USA ipo kwenye uso wakeView attachment 2805306
Wafilisti ni wagiriki, huko nyumba za ibada ndio mnapotoshwa kuwa philistines ni palestines?Wafilisti wanaaangamia kama kuku endelea kujifariji
Mambo ya wafilisti na palestina wapi na wapi? Unabii wa Edomu na leo hayo makabila yameshapotea na yanayoendelea palestina wapi na wapi? If that's the case niambie kwanini kabila la Dani limefutwa ilihali Mungu aliahidi kutowaacha wana Israel milele? Ukielewa ndii utajua Bible is dynamic usikariri.1:6 SRUVDC
Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waiiteka nyara kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu,Bwana atatuma moto juu ya Gaza uyateketeze majumba; Always bible prophecy Huwa inatimia
SRUVDC: Swahili Revised Union Version
Shirikisha
Wapalestina Wakristo hata 3% hawafiki, ni negligible asilimia chache kuliko hata Wakristo wa Saudi Arabia. So tukisema takribani Wapalestina wote ni Waislamu hiyo sio ajabu.Nani kakudanganya Wapalestina wote ni waisilamu?
Si ni kama hivi umesema unavyohisi, au ulitaka niseme kila kitu cha Wakristo Palestina? Mbona hujasema wanavyonyanyaswa uko Gaza hadi wapo wachache, au nayo hii tumlaumu USA. Almost Wakristo wote wa Palestina wapo West Bank.Na si useme tu kweli Usa ndio kasababisna Wakristo wengi wakimbie Lebanon?
Huelewi chochote.1:6 SRUVDC
Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waiiteka nyara kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu,Bwana atatuma moto juu ya Gaza uyateketeze majumba; Always bible prophecy Huwa inatimia
SRUVDC: Swahili Revised Union Version
Shirikisha
Ndugu yangu bila dhihaka naomba hili somo mana mimi mwenyewe nafahamu hivyoWafilisti ni wagiriki, huko nyumba za ibada ndio mnapotoshwa kuwa philistines ni palestines?
Ni jambo baya lakini, ukisikiliza media za ndani ya Israel, raia wa kawaida wanatamani Netanyau adondoshe bomu kubwa lifute Gaza afu ajiuzulu. ni ajabu nimesikia hivyo, itakuwa ni kosa kubwa sala na kivita na wataongeza chuki. najuahilo hawatakuja kufanay hata siku moja. pia, wanajeshi wengi wa Israel wanakufa ila wamejitolea kufa as long as at the end of the day Hamas atafutwa. Hamas walijiandaa kwa muda mrefu sana na ni makomandoo wa ukweli sio wa mchezo mchazo kiasi kwamba wangekuwa na nguvu sawa za kijeshi, israel asingechukua hata wiki wangeshaimaliza, sasa zana ndio wanakosa ila uwezo wa mmoja mmoja wanao mkubwa na wametrain kwa muda huko Iran na maeneo mengine duniani. what we are praying ni kwamba, Hamas wajisalimishe na amani ipatikane, maisha yaendelee kwasababu wapalestina wengi sana wanakufa, na Mungu hafurahii wanavyokufa hata kama wamemkataa wakamkubali allah asiye mungu wa kweli. Mungu wa Israel hafurahii kifo cha mwenye dhambi hata siku moja anatamani kila mtu aifikirie toba ili apote, upendo wake kwetu ni sawa kwa wote generally (though wale wanaompokea ndio huwa watoto wa karibu zaidi nani mboni ya jicho lake).Kazi yao Hamas imekwisha, Israel ni wahuni sio wajinga watatumia sumu kali humo,sema tu mateka wako kwenye hizo tunnels🤣🤣🤣🤣🤣
Israel nguvu yake ni kubwa na pia wana teknolojia, yaani hadi bulldozers za kijeshi😁😁😁😁😁 armored bulldozer aise Israel nomaaaa!!!!
Wawe makini tu wasidhuru raia, ila wale wajuu angani walioshusha mabomu siku za mwanzoni mwanzoni walitumia mihemuko na hasira sana walioua sana raia🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭
Mkuu rudi tu kwenye mambo yako ya silaha haya mambo hata huyajui kila ukifungua midomo kuandika unaandika data za uongo.Wapalestina Wakristo hata 3% hawafiki, ni negligible asilimia chache kuliko hata Wakristo wa Saudi Arabia. So tukisema takribani Wapalestina wote ni Waislamu hiyo sio ajabu.
Si ni kama hivi umesema unavyohisi, au ulitaka niseme kila kitu cha Wakristo Palestina? Mbona hujasema wanavyonyanyaswa uko Gaza hadi wapo wachache, au nayo hii tumlaumu USA. Almost Wakristo wote wa Palestina wapo West Bank.
Ina Maana hujui Historia ya kilwa kwamba Iliuzwa kwa Prince wa Iran?Vitu gani vilivyotokea kabla? Umetoa mfano ambao ni unrealistic!
Iran haijawahi kuwa na mandate ya eneo la Tanganyika kwa namna yeyote ile. Hakuna Mswahili aliyefukuzwa ili Muirani apewe "nchi". Kihistoria, wafanyabiashara wenye asili ya Uajemi (na Waarabu pia) waliweka makazi yao maeneo mengi ya pwani ya Bahari ya Hindi na kisha kuchanganyika na jamii zingine. Hakukuwa na nchi huru iliyoitwa Tanganyika wakati huo.
Maana yake ni kuwa, kama kulikuwa na population inayotambulika ya wazaliwa wa Tanganyika wenye asili ya Iran ndani ya eneo la Tanganyika, ilikuwa halali na wao pia kuwa Watanzania baada ya uhuru. Pia ni halali kuwa raia wa Tanzania kwa mtu yeyote yule ambaye alirejea Tanganyika kabla ya uhuru kama mzawa [wa asili] wa eneo la Tanganyika (na Zanzibar vilevile).
Mkuu unabishana vitu obvious hayo mambo yako ya Sovereign ni vitu vya sasa ni vitu ambavyo vimetengenezwa karibuni, kama sio Berlin Conference basi ni baada ya UN kutengenezwa.Tukirejea Palestine ya zamani, hiyo barua ya Napoleon unayoisema haithibitishi utaifa wa "Palestine" kama nchi huru ya Wapalestina wa sasa. Isitoshe, "Palestine" inayotajwa humo ni "land of ancient Israel" kipindi Wayahudi wakiwa uhamishoni kutokana na umateka wa madola yaliyokuwa yakiitawala "Palestine".
Nadhani haya sio mabishano tu. Wengine tupo hapa kuelimishana!