Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Waarabu waliona umewapendelea zaidi Wayahudi na kuwaminya wao.Historia ina mambo mengi yenye kuleta maudhi, mafunzo na majuto!
Ni sababu zipi za msingi ziliwafanya Waarabu wa Kipalestina (Wapalestina) kuukataa mpango wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1947 (UN partition plan)?
Isitoshe hata viongozi wa Israel hawakuutaka, walikuwa na agenda ya kujitanua (Zionism).
Ndio maana magaidi wa Kiyahudi (Lehi) chini ya Yithzak Shamir (waziri mkuu wa Israel miaka ya 1980 mwishoni) walimuua Folke Bernadotte - Wikipedia mpatanishi wa kwanza wa UN wa mzozo huu kupinga huo mpango.