LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Historia ina mambo mengi yenye kuleta maudhi, mafunzo na majuto!

Ni sababu zipi za msingi ziliwafanya Waarabu wa Kipalestina (Wapalestina) kuukataa mpango wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1947 (UN partition plan)?
Waarabu waliona umewapendelea zaidi Wayahudi na kuwaminya wao.

Isitoshe hata viongozi wa Israel hawakuutaka, walikuwa na agenda ya kujitanua (Zionism).

Ndio maana magaidi wa Kiyahudi (Lehi) chini ya Yithzak Shamir (waziri mkuu wa Israel miaka ya 1980 mwishoni) walimuua Folke Bernadotte - Wikipedia mpatanishi wa kwanza wa UN wa mzozo huu kupinga huo mpango.

Hivi huu ushabiki mnafaidika nini na umwagaji damu?. Watu wako Satanic bila kujijua. Udini udini udini mnadhani Mungu aliyeumba wanadamu wote anaubaguzi? Never isipokuwa watu wanaamua kutumika na Shetani then anaacha wavune kile wamepanda.
Si Israeli wala Si Wapalestina. Wote ni WAOVU tu.
Na Ushetani huu umeachwa uonyeshe nguvu zake na Mungu kwa miaka mingi ikiwemo kuua Jews kwa haraiki na kuwatawanya coz ya Uasi wao. Lkn hapo ni kwao pia. Ushetani wa kuua Palestinian kwa haraiki kwa uovu wao.
Suluhu si kuua israel haiwezi kuzuia chuki kwa watoto wa kipalestina hata kama wako nchi ya mbali watakuwa na chuki na kisasi na maamuzi ya kulipiza na kukomboa nchi yao kama ilivyokuwa holocust ambayo ilitawanya Jews lkn mioyoni wana kisasi kulipiza na kurudi kwao.
UN ni genge la wahuni ambalo haluna mpango wa suluhu wa Mungu hii ni satanic umbrella kutawala dunia. Angalia double standard
Ukraine vs Russia
Palestinian vs Israel
Wale Wakristo wanaoshabikia mauaji ya wapalestina wamemkataa Mungu na Kristo (al masihi)
Na Islam wanaoshabikia kuua jews na kuwatoa hapo wanaendeleza dini ya visasi iliyoenezwa kwa damu nje na tabia ya Mungu Rahim.
. Vita ni ishara ya kuwa binadamu hatuna busara wala akili ya ku sollve mambo
 
Taifa la Mungu sio hao akina Netanyahu bali ni mimi na wewe na wale wamwaminio Yesu Kristo na kuishi utakatifu.
Sahihi kabisa mkuu...

Wasomaji wa Bible hawajafahamu kuwa baada ya kifo cha Yesu kuna 'jambo' kubwa lilitokea.

yaani baada ya Yesu kufa alitununua na kutufanya watu wa mataifa yote kuwa wateule na wana wa Mungu maadamu tu umemkiri na kumuamini (umeokoka)....Ufunuo wa Yohana 5:1-
 
Wanafiki tu hawa, Ukraine kavamiwa wanamtetea ila kwa Palestina wanaona ni haki kuporwa nchi yao!! I used to sympathise with Ukraine but how I wish Russia destroys it for the sake of western hypocrisy
Arab league nao wanastahili lawama kwa kuwatelekeza Wapalestina huku wakiiacha Marekani kama mwenye jukumu la kutatua huu mzozo pekee.

ilihali Marekani wanajulikana kuwa sera zao zinaambatana na kuihami Israel ambayo ni 'settler colonial state' kama ilivyokuwa Uingereza ilipochukua ardhi ya US kutoka kwa Wahindi wekundu.
 
Hamas wajisalimishe na amani ipatikane
Hii hoja huwa sielewi? Hamas haipo West Bank je kuna amani? Mbona kila siku wapalestina wanapigwa risasi na kuporwa makazi? Hii hoja kuwa Hamas ndio inaharibu amani inatoka wapi!! Nachojua siku Hamas ikifutwa basi Israel itafanya inachofanya kule Westbank kuongeza makazi ya walowezi kwa kupora ardhi ndogo iliyosalia Gaza!!
Mungu wa Israel hafurahii kifo cha mwenye dhambi hata siku moja anatamani kila mtu aifikirie toba ili apote,
Wakiwemo hao wayahudi ambao wamemkataa kumkiri!! Na wao wasipotubu moto wa kuzimu unawahusu. Na kingine Mungu ni wa wote sio wa Israel hiyo ilikua ni specifically agano la kale, ila agano Jipya hakuna tena cha Israel ni kila mtu ana equal chance mbele ya Mungu hakuna favor wala uspecial wa taifa moja.
 
Arab league nao wanastahili lawama kwa kuwatelekeza Wapalestina huku wakiiacha Marekani kama mwenye jukumu la kutatua huu mzozo pekee.
Nadhani wanaogopa yakitokea ya Syria yaani mgogoro wa geopolitics ukageuza Arab nations kuwa battleground. Walau Erdoğan na Algeria wameonyesha seriousness kunusuru hali inayoendelea ila Saudis wapo neutral maana wana mahusiano ya kidiplomasia na Israel so hawataki compromise hilo kisa Palestine!!

Very unfortunate nchi zenye balls kama North Korea au Cuba ni chache kumface US and its allies toe to toe. Hata Iran anatamani kuingilia lakini ana weigh in risks. Hii vita itaisha siku China au Russia wakisema wanaingia upande wa palestine ili kubalance nguvu ya US huko middle east
 
Waarabu waliona umewapendelea zaidi Wayahudi na kuwaminya wao.

Isitoshe hata viongozi wa Israel hawakuutaka, walikuwa na agenda ya kujitanua (Zionism).

Ndio maana magaidi wa Kiyahudi (Lehi) chini ya Yithzak Shamir (waziri mkuu wa Israel miaka ya 1980 mwishoni) walimuua Folke Bernadotte - Wikipedia mpatanishi wa kwanza wa UN wa mzozo huu kupinga huo mpango.

Ongezea pia waziri mkuu wa Israel Yitzakh Rabin aliyeuwawa kisa alikua moderate kwa palestinians na kutaka kuachia baadhi ya maeneo waliokalia kimabavu!!

Hii inamaanisha whether Palestine wangekubali hizo partitions or not bado wangeondolewa tu. Maana licha ya Israel kutwaa maeneo 1948 or 1967 ila kila mwaka inajitanua tu.
 
Utoto una kusumbua siku ukikua na hayo mavuzi yako kuanza kuota mvi ndio utajua kwa nini wapalestine wana resist against walowezi, utajua kwa nini Babu na Bibi zako walikuwa tayari kuwa na imani ya kwamba risasi zitageuka maji ili tu kuwatia ujasiri kupambana against ushenzi wa wakoloni na wavamizi wa nyumbani kwao.

Babu na Bibi zako walikufa kutetea ardhi hii ambayo wewe upo hapa una jamba jamba tu upumbavu.

Watoto kubalehe na tumavuzi kuanza kuchomoza kuna waendesha vibaya mmejaza makamasi na upumbavu sana kwenye hayo mafuvu yenu.
IDiot
Kila kitu kitapimwa kwa stages iliyofikia, kwa wenye akili kubwa hata kama waliporwa ardhi it s too late, akili ni kukubaliana hapa petu, hapo kaa wewe, unless wanalofanya watanyanganywa kila kitu, Amini, watapigana wee lakini katu hawatashinda, na akili za mazayuni ni kuchukuwa eneo lote hapo Gaza. Restriction should be done now! Kuhusiana na ardhi.
 
Ndio nini hiki unaandika? Sisi kumfukuza Idd Amin ni makosa? Ukraine kumtimua Urusi katika ardhi yake ni makosa? Ila Palestina wakiwavurumusha wavamizi eti wanaitwa magaidi!!
Two different things!,
==============
Kuna uvamizi unaoushughulikia tit - for - tat
Kuna uvamizi, ambao mvamizi anakuja unajaribu kumtoa unashinda, unamuacha anajijenga anatafuta support, anajiimarisha anakuwa mkubwa kweli, na anakuwa amesha exist for over 70yrs,, hekima ni maelewano pekee, Tanzania ilipovamiwa tulijipanga haraka tukamngoa haraka sana.
 
Vipi ukoloni uvamizi wake ulikuepo miaka mingapi? Haikufika 70? Kwa Logic yako nchi Hazikutakiwa kutafuta Uhuru sababu miaka 70 ilipita?
 
Two different things!,
==============
Kuna uvamizi unaoushughulikia tit - for - tat
Kuna uvamizi, ambao mvamizi anakuja unajaribu kumtoa unashinda, unamuacha anajijenga anatafuta support, anajiimarisha anakuwa mkubwa kweli, na anakuwa amesha exist for over 70yrs,, hekima ni maelewano pekee, Tanzania ilipovamiwa tulijipanga haraka tukamngoa haraka sana.
Ooh kwa logic hii Russia ameikalia Crimea kwa miaka takribani 10 sasa mbona bado USA anasupport Ukraine arudishe ardhi yake na haja apply "busara" hizi?

Au kwanini tulimsupport Mandela kung'oa makaburu waliokaa zaidi ya miaka 70 yako? Au Nyerere na Mandela hawakuwa na busara?
 
Historia ina mambo mengi yenye kuleta maudhi, mafunzo na majuto!

Ni sababu zipi za msingi ziliwafanya Waarabu wa Kipalestina (Wapalestina) kuukataa mpango wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1947 (UN partition plan)?
Watu mnachanganya sana Israel nchi na Israel ambae ni Jacob (Yakoub) baba wa Yusuf.

Wana wa Israel (Yakoub) ni tofauti na nchi inayoitwa "Israel" iliyoanzishwa na Muingereza.
 
Ooh kwa logic hii Russia ameikalia Crimea kwa miaka takribani 10 sasa mbona bado USA anasupport Ukraine arudishe ardhi yake na haja apply "busara" hizi?

Au kwanini tulimsupport Mandela kung'oa makaburu waliokaa zaidi ya miaka 70 yako? Au Nyerere na Mandela hawakuwa na busara?
Mandela alikuwa anapigania kitu gani?,
-ubaguzi
-ukandamizwaji
-haki sawa
-hakupigania kwamba wamevamiwa na ardhi yao imechukiliwa nope!
 
Watu mnachanganya sana Israel nchi na Israel ambae ni Jacob (Yakoub) baba wa Yusuf.

Wana wa Israel (Yakoub) ni tofauti na nchi inayoitwa "Israel" iliyoanzishwa na Muingereza.
Kumewahi kuwepo nchi ya Israel, Judea, Samaria...

Hakujawahi kuwepo mfalme, au mamlaka ya kisiasa inayoitwa Palestine
 
Mandela alikuwa anapigania kitu gani?,
-ubaguzi
-ukandamizwaji
-haki sawa
-hakupigania kwamba wamevamiwa na ardhi yao imechukiliwa nope!
I hope unajua ANC ilikua ina jeshi na ilikua ikitega mabomu kwenye majengo ya wazungu. Yote ikitaka wapishe madaraka watu weusi ndio wacontrol. Same to Palestine wanataka kujitawala sio kuporwa utawala wao na wayahudi.

Sasa basi kwa kuwa wote wana Common goal hata Mandela alisema South Africa haiwezi kuwa huru kama palestina bado inatawaiwa. In fact Israel ilikua ina support serikali ya makaburu kunyanyasa watu weusi.

Cha ajabu unamuunga mkono Mandela ila unapinga wapalestina ilihali wanachopigania ni kile kile.

It's weird
 
Vijana wa Kipalestina wanaendelea kupambana kiaina yao:

Nadhani wanaogopa yakitokea ya Syria yaani mgogoro wa geopolitics ukageuza Arab nations kuwa battleground. Walau Erdoğan na Algeria wameonyesha seriousness kunusuru hali inayoendelea ila Saudis wapo neutral maana wana mahusiano ya kidiplomasia na Israel so hawataki compromise hilo kisa Palestine!!

Very unfortunate nchi zenye balls kama North Korea au Cuba ni chache kumface US and its allies toe to toe. Hata Iran anatamani kuingilia lakini ana weigh in risks. Hii vita itaisha siku China au Russia wakisema wanaingia upande wa palestine ili kubalance nguvu ya US huko middle east
Hizo tawala za Ghuba nyingi ni za kiimla na hazipendwi na raia wao hivyo zinategemea mno ulinzi kutoka kwa Marekani ili kubakia madarakani, ndio maana wanakuwa wagumu kuikosoa Marekani na sera zake kwenye hilo eneo hasa kuelekea Israel na Palestine.

Hata hawa Jordan wanaopiga kelele ni sababu tu wanashinikizwa na raia wao hivyo hawataki kuonekana wapo kimya ndio maana wanajitokeza kupaza sauti.
 
Back
Top Bottom