Hakuna mahali niliposema kuwa "Palestine" haikuwepo!
Ulileta barua ya Napoleon kama ushahidi kwamba "Palestine" ilikuwepo ingawa sijawahi kupinga popote. Je, umeisoma vizuri hiyo barua? Unakubaliana na Napoleon kwamba "Palestine" ni "Land of Israel" na kutokana na tawala za kimabavu za madola yaliyokuwa yakiitawala "Palestine" zilipelekea Wayahudi kuishi uhamishoni kwa maelfu ya miaka?
Unaionaje hiyo perspective?
Palestine ambayo ilikuwepo maelfu ya miaka ni tofauti na "Palestina" hii inayozungumziwa hivi leo kama "taifa la Waarabu wa Kipalestina". Nimeshafafanua hii hoja kwenye post zilizopita. Na bahati nzuri, umekuwa ukileta ushahidi wewe mwenyewe unaounga mkono baadhi ya hoja zangu.
Kila ambacho umekuwa ukikileta hapa kama "ushahidi" kuhusu "Palestine" iliyokuwepo kabla ya 1947 hakithibitishi utaifa wa kile kinachoitwa "Palestina" hivi sasa kama "taifa la Waarabu wa Kipalestina".
Hoja ya Netanyahu ni kwamba wapalestina ni waarabu walivamia, na ndio hoja za hao mashetani wa west aka Zionism, ni hoja dhaifu ambayo inapingika kirahisi kwa
1. Sayansi
2. Historia
3. Dini.
1. Kisayansi wapalestina si waarabu per Se, ukipima gene zao asilimia hadi 60 zinafanana na wayahudi na watu wa kale wa kaanani, Kifupi wapalestina wana gene kali za kiyahudi kuliko hao wanaojiita wayahudi, ila Netanyahu na washenzi wenzake kila siku wanapingana na hawa wana sayansi.
2. Kidini ukisoma Conquest za kiisilamu maeneo yote Egpty, Nenda mpaka Spain Andalusia, nenda North America, Iran mpaka Mongolia huko waarabu walipeleka tu viongozi hawakujichanganya na raia husika za Hizo nchi ndio maana Egpty mpaka Leo Imepakana na Ghuba ila ukipima Dna Zao ni chini ya Asilimia 20 wana Dna Ya kiarabu.
So waarabu hawapo popote si Egpty, si Palestina, si Algeria si Morocco, Hata ukienda Iran ambayo imepakana karibu na waarabu ni Kama asilimia 2 tu dna yao ni ya Kiarabu.
Hivyo si kweli kwamba wale ni wavamizi toka Nchi za kiarabu
3. Angalia Culture Wapalestina na levant kwa Ujumla hawavai Kanzu, nguo zao tofauti na waarabu wengine, Aina zao za kucheza, vyakula vyao, na mambo mengine tofauti kabisa na waarabu wenyewe.
So wapalestina ni wapalestina, mpalestina wa Leo na aliekuwepo hapo Miaka 3000 aliopita ni yule yule, hatuna Haja ya kuzunguka, DNA pekee Inatosha kuthibitisha hili. Ashkenaz Jews Leo wana DNA dhaifu ya kiyahudi kushinda hao Wapalestina wanao waua.
Jews break down into three genetic groups, all of which have Middle Eastern origins – which are shared with the Palestinians and Druze.
www.haaretz.com
Ukitaka kuelewa Mchezo wa Zionist/British wana force kila mtu awe mwarabu, Mcopt wa Egpty hataki kuitwa mwarabu ila wanalazimisha, Berbers wa Libya ama Algeria hataki kuitwa mwarabu ila anaitwa hivyo hivyo, Druze, amazhingh, Chechens, kushite, Assyrian, Samaritan na makundi kibao hapo Middle East yoyote yanajumushwa yanaitwa tu waarabu hali ya kuwa waarabu ni wale tu wanaoishi kwenye ile Ghuba.