Waarabu waliona umewapendelea zaidi Wayahudi na kuwaminya wao.Historia ina mambo mengi yenye kuleta maudhi, mafunzo na majuto!
Ni sababu zipi za msingi ziliwafanya Waarabu wa Kipalestina (Wapalestina) kuukataa mpango wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1947 (UN partition plan)?
Sahihi kabisa mkuu...Taifa la Mungu sio hao akina Netanyahu bali ni mimi na wewe na wale wamwaminio Yesu Kristo na kuishi utakatifu.
Arab league nao wanastahili lawama kwa kuwatelekeza Wapalestina huku wakiiacha Marekani kama mwenye jukumu la kutatua huu mzozo pekee.Wanafiki tu hawa, Ukraine kavamiwa wanamtetea ila kwa Palestina wanaona ni haki kuporwa nchi yao!! I used to sympathise with Ukraine but how I wish Russia destroys it for the sake of western hypocrisy
Hii hoja huwa sielewi? Hamas haipo West Bank je kuna amani? Mbona kila siku wapalestina wanapigwa risasi na kuporwa makazi? Hii hoja kuwa Hamas ndio inaharibu amani inatoka wapi!! Nachojua siku Hamas ikifutwa basi Israel itafanya inachofanya kule Westbank kuongeza makazi ya walowezi kwa kupora ardhi ndogo iliyosalia Gaza!!Hamas wajisalimishe na amani ipatikane
Wakiwemo hao wayahudi ambao wamemkataa kumkiri!! Na wao wasipotubu moto wa kuzimu unawahusu. Na kingine Mungu ni wa wote sio wa Israel hiyo ilikua ni specifically agano la kale, ila agano Jipya hakuna tena cha Israel ni kila mtu ana equal chance mbele ya Mungu hakuna favor wala uspecial wa taifa moja.Mungu wa Israel hafurahii kifo cha mwenye dhambi hata siku moja anatamani kila mtu aifikirie toba ili apote,
Nadhani wanaogopa yakitokea ya Syria yaani mgogoro wa geopolitics ukageuza Arab nations kuwa battleground. Walau Erdoğan na Algeria wameonyesha seriousness kunusuru hali inayoendelea ila Saudis wapo neutral maana wana mahusiano ya kidiplomasia na Israel so hawataki compromise hilo kisa Palestine!!Arab league nao wanastahili lawama kwa kuwatelekeza Wapalestina huku wakiiacha Marekani kama mwenye jukumu la kutatua huu mzozo pekee.
Ongezea pia waziri mkuu wa Israel Yitzakh Rabin aliyeuwawa kisa alikua moderate kwa palestinians na kutaka kuachia baadhi ya maeneo waliokalia kimabavu!!Waarabu waliona umewapendelea zaidi Wayahudi na kuwaminya wao.
Isitoshe hata viongozi wa Israel hawakuutaka, walikuwa na agenda ya kujitanua (Zionism).
Ndio maana magaidi wa Kiyahudi (Lehi) chini ya Yithzak Shamir (waziri mkuu wa Israel miaka ya 1980 mwishoni) walimuua Folke Bernadotte - Wikipedia mpatanishi wa kwanza wa UN wa mzozo huu kupinga huo mpango.
IDiotUtoto una kusumbua siku ukikua na hayo mavuzi yako kuanza kuota mvi ndio utajua kwa nini wapalestine wana resist against walowezi, utajua kwa nini Babu na Bibi zako walikuwa tayari kuwa na imani ya kwamba risasi zitageuka maji ili tu kuwatia ujasiri kupambana against ushenzi wa wakoloni na wavamizi wa nyumbani kwao.
Babu na Bibi zako walikufa kutetea ardhi hii ambayo wewe upo hapa una jamba jamba tu upumbavu.
Watoto kubalehe na tumavuzi kuanza kuchomoza kuna waendesha vibaya mmejaza makamasi na upumbavu sana kwenye hayo mafuvu yenu.
Two different things!,Ndio nini hiki unaandika? Sisi kumfukuza Idd Amin ni makosa? Ukraine kumtimua Urusi katika ardhi yake ni makosa? Ila Palestina wakiwavurumusha wavamizi eti wanaitwa magaidi!!
Vipi ukoloni uvamizi wake ulikuepo miaka mingapi? Haikufika 70? Kwa Logic yako nchi Hazikutakiwa kutafuta Uhuru sababu miaka 70 ilipita?Two different things!,
==============
Kuna uvamizi unaoushughulikia tit - for - tat
Kuna uvamizi, ambao mvamizi anakuja unajaribu kumtoa unashinda, unamuacha anajijenga anatafuta support, anajiimarisha anakuwa mkubwa kweli, na anakuwa amesha exist for over 70yrs,, hekima ni maelewano pekee, Tanzania ilipovamiwa tulijipanga haraka tukamngoa haraka sana.
I'll come back!Vipi ukoloni uvamizi wake ulikuepo miaka mingapi? Haikufika 70? Kwa Logic yako nchi Hazikutakiwa kutafuta Uhuru sababu miaka 70 ilipita?
Ooh kwa logic hii Russia ameikalia Crimea kwa miaka takribani 10 sasa mbona bado USA anasupport Ukraine arudishe ardhi yake na haja apply "busara" hizi?Two different things!,
==============
Kuna uvamizi unaoushughulikia tit - for - tat
Kuna uvamizi, ambao mvamizi anakuja unajaribu kumtoa unashinda, unamuacha anajijenga anatafuta support, anajiimarisha anakuwa mkubwa kweli, na anakuwa amesha exist for over 70yrs,, hekima ni maelewano pekee, Tanzania ilipovamiwa tulijipanga haraka tukamngoa haraka sana.
Nimemshangaa sana kwamba ukiteswa muda mrefu inabidi ukubali matokeo na usijikomboe.Vipi ukoloni uvamizi wake ulikuepo miaka mingapi? Haikufika 70? Kwa Logic yako nchi Hazikutakiwa kutafuta Uhuru sababu miaka 70 ilipita?
Watu mnachanganya sana Israel nchi na Israel ambae ni Jacob (Yakoub) baba wa Yusuf.Historia ina mambo mengi yenye kuleta maudhi, mafunzo na majuto!
Ni sababu zipi za msingi ziliwafanya Waarabu wa Kipalestina (Wapalestina) kuukataa mpango wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1947 (UN partition plan)?
Mandela alikuwa anapigania kitu gani?,Ooh kwa logic hii Russia ameikalia Crimea kwa miaka takribani 10 sasa mbona bado USA anasupport Ukraine arudishe ardhi yake na haja apply "busara" hizi?
Au kwanini tulimsupport Mandela kung'oa makaburu waliokaa zaidi ya miaka 70 yako? Au Nyerere na Mandela hawakuwa na busara?
Kumewahi kuwepo nchi ya Israel, Judea, Samaria...Watu mnachanganya sana Israel nchi na Israel ambae ni Jacob (Yakoub) baba wa Yusuf.
Wana wa Israel (Yakoub) ni tofauti na nchi inayoitwa "Israel" iliyoanzishwa na Muingereza.
I hope unajua ANC ilikua ina jeshi na ilikua ikitega mabomu kwenye majengo ya wazungu. Yote ikitaka wapishe madaraka watu weusi ndio wacontrol. Same to Palestine wanataka kujitawala sio kuporwa utawala wao na wayahudi.Mandela alikuwa anapigania kitu gani?,
-ubaguzi
-ukandamizwaji
-haki sawa
-hakupigania kwamba wamevamiwa na ardhi yao imechukiliwa nope!
Philistine.Kumewahi kuwepo nchi ya Israel, Judea, Samaria...
Hakujawahi kuwepo mfalme, au mamlaka ya kisiasa inayoitwa Palestine
Hizo tawala za Ghuba nyingi ni za kiimla na hazipendwi na raia wao hivyo zinategemea mno ulinzi kutoka kwa Marekani ili kubakia madarakani, ndio maana wanakuwa wagumu kuikosoa Marekani na sera zake kwenye hilo eneo hasa kuelekea Israel na Palestine.Nadhani wanaogopa yakitokea ya Syria yaani mgogoro wa geopolitics ukageuza Arab nations kuwa battleground. Walau Erdoğan na Algeria wameonyesha seriousness kunusuru hali inayoendelea ila Saudis wapo neutral maana wana mahusiano ya kidiplomasia na Israel so hawataki compromise hilo kisa Palestine!!
Very unfortunate nchi zenye balls kama North Korea au Cuba ni chache kumface US and its allies toe to toe. Hata Iran anatamani kuingilia lakini ana weigh in risks. Hii vita itaisha siku China au Russia wakisema wanaingia upande wa palestine ili kubalance nguvu ya US huko middle east